Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wapalestina wazuiwa kuinga Jerusalem

Polisi wa Israeli wametangaza mafuku ya kuingia kwenye mji wa zamani wa Jerusalem dhidi ya Wapalestina kwa muda wa siku mbili

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Wapalestina 2 wauawa na Waisraeli

Maafisa wa afya wa Palestina wanasema wapalestina wawili wameuawa baada ya vikosi vya Israeli kufyatua risasi katika ukingo wa Magharibi.

 

10 years ago

BBCSwahili

Waumini washambuliwa Jerusalem

Takriban waisreli wanne wameuawa na wnegine 8 kujeruhiwa katika kile polisi wanasema ni shambulio la kigaidi dhidi ya Sinagogi eneo la magharibi ya Jerusalem.

 

9 years ago

BBCSwahili

Jerusalem wakumbwa na machafuko

Leo ni siku ya pili ya makailiano katika eneo la al-Aqsa mjini Jerusalem, kati ya polisi wa Israeli na vijana wa Kipalestina

 

10 years ago

BBCSwahili

Wapalestina wanashukiwa kuua na kuteka

Jeshi la Israel limesema wapalestina wawili wanashukiwa kuhusika katika kuteka na kuua vijana watatu wakiisrael mwezi juni 2014

 

11 years ago

BBCSwahili

Wapalestina sita wauawa Gaza

Wapelina wapatao sita wameuawa katika mashambulizi ya mabomu yaliyofanywa na Israel katika eneo la Gaza.

 

11 years ago

BBCSwahili

Wapalestina wakimbia Gaza kaskazini

Umoja wa Mataifa wasema baadhi ya Wapalestina wahama Gaza kaskazini wakiogopa mashambulio yajayo yatayowalenga wao

 

11 years ago

BBCSwahili

Mashambulizi mapya yawaua wapalestina 17

Maafisa wa Palestina wanasema kuwa takriban watu 17 waliuawa baada ya mashambulizi mapya ya Israel huko Gaza.

 

11 years ago

Mwananchi

Wapalestina wasema alikuwa mwenzao

Wapalestina wamekuwa katika maombolezo kumkumbuka Rais wa Kwanza Mwafrika wa Afrika Kusini, Nelson Mandela aliyefariki dunia Alhamisi iliyopita baada ya kuugua kwa muda mrefu.

 

9 years ago

BBCSwahili

Wapalestina 2 wauawa,wanajeshi 4 wajeruhiwa

Wapalestina 2 wameuawa baada ya mashambulizi ya magari ambapo wanajeshi 4 Waisraeli walijeruhiwa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani