‘MTOTO WA BOKSI’ KUAGWA, KUZIKWA LEO MORO
![](http://api.ning.com:80/files/CrfMSzuE5d4Cf9y7rB4uU*dDafBejBSkuyvt1ZPMwWaVfQ73IwPjP5UebEK5nT9AAipokWdyTZSUEGCqbN6Tug721BiEcW2O/nasrah.jpg)
Mtoto Nasra Rashid (4) enzi za uhai wake. MWILI wa mtoto Nasra Rashid (4) utaagwa katika Uwanja wa Jamhuri mkoani Morogoro kuanzia saa 2 hadi saa 3 asubuhi leo. Mwili huo baadaye utazikwa katika makaburi ya Kola, mkoani humo. Nasra alifariki dunia usiku wa kuamkia Jumapili Juni 1, mwaka huu akiwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili alipokuwa akitibiwa baada ya kuugua kutokana na kuishi kwenye boksi kwa muda wa miaka… ...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
CloudsFM02 Jun
MTOTO ALIYEWEKWA KWENYE BOKSI KWA MIAKA MINNE KUZIKWA KWA HESHIMA ZOTE,KUAGWA KATIKA UWANJA WA JAMHURI,MOROGORO
Msiba wa mtoto Nasra Mvungi (4), aliyeteswa kwa kufungiwa katika boksi kwa miaka minne, ambako ndiko alikokuwa akipewa chakula, kwenda haja kubwa na ndogo na kulala, imeibua simanzi jijini Dar es Salaam, Morogoro na katika maeneo mbalimbali nchini.
Jana taarifa za kufariki kwa Nasra aliyekuwa katika Chumba cha Wagonjwa Mahututi katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, zilisambaa katika maeneo mbalimbali nchini na baadaye kuthibitishwa na Msemaji wa hospitali hiyo, Aminiel Aligaeshi.
Mwishoni...
11 years ago
Mwananchi03 Jun
‘Mtoto wa boksi’ kuzikwa leo, ndugu wa babake wajitokeza
11 years ago
Mwananchi05 Jun
Al Saed kuanzisha mfuko wa ‘mtoto wa boksi’ Moro
11 years ago
Tanzania Daima29 May
Majibu ya mtoto wa boksi leo
MAJIBU ya vipimo vya afya vilivyofanyika juzi kwa mtoto Nasra Rashid (4), aliyefichwa kwenye boksi mkoani Morogoro, kwa muda wa miaka minne, yanatarajiwa kutolewa leo. Mtoto huyo awali alilazwa katika...
10 years ago
CloudsFM02 Mar
marehemu Kapt.John Komba kuagwa leo katika viwanja vya karimjee ,Dar kuzikwa kwao kesho Nyasa
11 years ago
Mwananchi27 May
Afya ya ‘mtoto wa boksi’ yabadilika ghafla, kuletwa Dar leo
9 years ago
BBCSwahili04 Sep
Mtoto aliyefariki baharini kuzikwa leo
10 years ago
Tanzania Daima12 Oct
Shija kuagwa na Bilal, kuzikwa na Kikwete
MWILI wa aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Mabunge ya Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Madola (CPA), Dk. William Shija, unatarajiwa kuagwa leo katika viwanja vya Karimjee, jijini Dar es...
10 years ago
Dewji Blog11 Jul
Mtoto Tabia Mkulukute apoteza maisha baada ya kugongwa na gari na kuzikwa leo Bunju ‘A’
Mtoto Tabia ambaye aliyegongwa na gari Pichani mwenye gauni la njano, enzi ya uhai wake.
Gari la Ofisa Mtendaji Mtaa wa Bunju ‘B’ Abdillah Mkeyenge lilivyoharibiwa.
Ofisa Mtendaji Mtaa wa Bunju ‘B’ Abdillah Mkeyenge akizungumza na wanahabari mkasa ulivyo tokea kama alivyoona.
Maeneo ya jirani ya kituo hicho taswira ilivyokuwa ikionekana.
Wananchi wakiwa ng’ambo ya Barabara wakiangalia jinsi kituo kilivyochomwa moto.
Mwanahabari Jamaly Hashimu wa kituo cha TBC akipata taarifa...