STEVE NYERERE, BABA HAJI WATAKA KUJICHAPA MSIBANI
![](http://api.ning.com:80/files/nc61tuPNc3NedhPYdsQVM9AIlDFPlpveahQSUebM7zTAFty7Kiha6cL6J-uAKVl*BJkynBVxQ6xIHi-kt3LgGcOgvM3lErL7/steve.jpg)
Stori: Mayasa Mariwata na Shani Ramadhani MAJANGA! Mwenyekiti wa Klabu ya Bongo Movie, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ na muigizaji Adam Haji ‘Baba Haji’ nusura wazichape baada ya kupishana kauli. Mwenyekiti wa Bongo Muvi, 'Steve Nyerere' (aliyeshika chupa ya maji) akilia kwa uchungu katika msiba wa Recho. ‘Uwanja wa vita’ ulikuwa ni kwenye msiba wa mwigizaji mwenzao Sheila Haule...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Bongo Movies17 Jun
JB na Steve Nyerere wadaiwa kuvutana mashati msibani mwa Adam Kuambiana. Chanzo ni pesa
Katika hali isiyokuwa ya kawaida na kushtua wasanii Jakob Steven Jb na Steve Magele Nyerere wamepiga nguvu kavukavu karibu na eneo la msiba wa marehemu Adam Kuambiana huko Bunju huku kisa kikiwa kugeukana kwenye dili la matangazo.
Kwa mujibu wa tovuti ya maskanibongotz zilisema kuwa msanii steve nyerere ndiye aliyeanza kumchokoza msanii Jb kwa kumchana baada ya kumgeuka kwenye mchongo wa matangazo ya kampuni moja ya simu iliyopo maeneo ya Moroco Jijini Dar.
Habari zaidi zilisema wakati...
10 years ago
Bongo Movies14 Jun
Picha: Mazishi ya Baba wa Msanii Steve Nyerere
Hizi ni baadhi ya picha za mazishi ya baba yake staa wa Bongo Movies, Steve Nyerere yaliyofanyika leo makaburi ya Kinondoni. Bwana alitoa na Bwana ametwaa jina lake lihibidiwe Amein.
Picha kwa hisani ya Le Mutuz on Instagram
10 years ago
Dewji Blog16 Jun
DC Makonda aongoza mamia mazishi ya Baba wa msanii Steve Nyerere
Marehemu Francis Festus Mengele, enzi za uhai wake.
Shangazi wa Msanii, Steve Nyerere, Grace Mengele (katikati), akiwa na wadogo zake Steve Nyerere wakati akiwasili makaburi ya Kinondoni kwa mazishi ya mpendwa wao, Francis Mengele.
Watoto wa marehemu na dada zake wakiwa kwenye ibada ya maziko makaburi ya Kinondoni.
Ibada ya maziko ikiendelea.
Hali ilivyokuwa...
10 years ago
MichuziMAKONDA AONGOZA MAMIA MAZISHI YA BABA YAKE MSANII STEVE NYERERE
BOFYA HAPA KUONA PICHA...
10 years ago
GPLPAUL MAKONDA AONGOZA MAMIA MAZISHI YA BABA WA STEVE NYERERE
10 years ago
VijimamboMKUU WA WILAYA YA KINONDONI, PAUL MAKONDA, AONGOZA MAMIA MAZISHI YA BABA YAKE MSANII STEVE NYERERE
9 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/GrumRRxu4WA/default.jpg)
9 years ago
GPL14 Oct
9 years ago
Global Publishers28 Dec
Baba Haji adai anasakwa auawe!
Mwigizaji wa Bongo Movies, Haji Adam ‘Baba Haji’.
Mwandishi wetu
Roho mkononi! Mwigizaji wa Bongo Movies, Haji Adam ‘Baba Haji’ ameviomba vyombo vya dola, TCRA na Rais John Pombe Magufuli kumsaidia akidai kwamba anasakwa auawe na kundi lisilojulikana.
Akizungumza na Ijumaa Wikienda kwa njia ya simu akiwa mafichoni, Baba Haji alifunguka kuwa amekoswakoswa mara kadhaa kutiwa mikononi na watu hao wanaoonekana kuwa na nia mbaya wakiwa na lengo la kumuua bila sababu hivyo kwa sasa anatembea na...
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10