Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ADAM KUAMBIANA AFARIKI DUNIA

Adam Kuambiana enzi za uhai wake. MWIGIZAJI Adam Kuambiana amefariki dunia wakati akipelekwa hospitali ya Mama Ngoma iliyopo Mwenge jijini Dar es Salaam kwa matibabu. Marehemu ameanguka chooni akiwa location katika hoteli ya Silver Rado iliyopo Sinza kwa Remy, Dar. Kabla ya mauti kumfika, Adam alikuwa akilalamika kuwa anasumbuliwa na tumbO. MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI.… ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

mwanamichezo Majid Adam Issa Maki afariki dunia

Tasnia ya michezo hususani kandanda  imepata pigo kubwa kwa kuondokewa na mwanamichezo mkongwe Majid Adam Issa Maki (pichani) aliyefariki alfajiri ya leo. Msiba upo nyumbani kwa marehemu Yombo, Dar es salaam na mazishi yanatarajiwa kufanyika leo saa kumi katika makaburi ya Kisutu.Marehemu, ambaye ni mtoto wa Mwalimu Adam Issa Maki,  atakumbukwa kama mmoja wa wachezaji mahiri wa klabu ya Sunderland (Simba) na pia mmoja wa waanzilishi wa klabu ya Red star ambako alikuwa team manager.

Inna...

 

11 years ago

Michuzi

BURIANI ADAM KUAMBIANA





Adam Kuambiana enzi za uhai wake.
MWIGIZAJI na Muongozaji filamu maarufu Bongo, Adam Kuambiana amefariki dunia wakati akipelekwa hospitali ya Mama Ngoma iliyopo Mwenge jijini Dar es Salaam kwa matibabu alfajiri ya leo. 
Habari zinasema Marehemu alianguka chooni akiwa location katika hoteli ya Silver Rado iliyopo Sinza kwa Remmy, Dar es salaam . Kabla ya mauti kumfika, Adam alikuwa akilalamika kuwa anasumbuliwa na tumbo. Globu ya Jamii inaungana na familia ya marehemu, ndugu,...

 

11 years ago

GPL

ADAM KUAMBIANA AZIKWA

Mazishi ya mwongozaji na mwigizaji wa filamu Bongo, Adam Kuambiana yamefanyika katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar. Kabla ya mazishi mwili wa marehemu uliagwa na maelfu katika Viwanja vya Leaders jijini Dar. Mungu ailaze roho ya marehemu, mahali pema peponi.…

 

11 years ago

Tanzania Daima

Buriani Amina Ngaluma, Adam Kuambiana

WIKI hii imekuwa ni ya majonzi na simanzi kwa wapenzi na mashabiki wa masuala ya burudani, baada ya kuwapoteza nguli wake wake Amina Ngaluma na Adam Kuambiana ambao hatunao tena...

 

11 years ago

GPL

Adam Kuambiana kuzikwa kesho alipozikwa Kanumba

Marehemu Adam Kuambiana aliyeaga dunia juzi Jumamosi. Na Richard Bukos
SHABIKI wa Yanga na msanii wa filamu za maigizo nchini kutoka kambi ya Bongo Muvi, aliyejizolea umaarufu miaka ya hivi karibuni, Adam Kuambiana aliyeaga dunia juzi Jumamosi, anatarajiwa kuzikwa kesho Jumanne kwenye makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam alipozikwa msanii mwenzake, Steven Kanumba.
Akizungumza na Championi Jumatatu, jana, Rais wa Bongo...

 

11 years ago

Michuzi

Shiwata wawalilia Amina Ngaluma na Adam Kuambiana

MTANDAO wa Wasanii Tanzania (SHIWATA)umepokea kwa majonzi kifo cha mwanamuziki mashuhuri na maarufu wa mwanamuziki wa dansi nchini,Amina Ngaluma "Japanese" aliyefariki nchini Thailand.
Marehemu Ngaluma aliyekuwa mwanachama wa SHIWATA atakumbukwa kwa mengi mazuri aliyoyafanya akiwa mwanamuziki wa kike mwenye kipaji cha kutunga,kuimba na kutawala jukwaa katika maonesho ya akiwa na bendi mbalimbali ikiwemo Tam Tam, Double M,Tanzania One Theatre (TOT).
Ngaluma pia amewahi kufanya maonesho...

 

11 years ago

GPL

MAELFU WAMZIKA ADAM KUAMBIANA KINONDONI DAR

Mashada yakiwa tayari juu ya kaburi la Marehemu Adam Philipo Kuambiana,muda mfupi baada ya shughuli za mazishi kukamilika. Jacob Steven 'JB',akiweka shada kwenye kaburi hilo. Msanii wa fialmu Bongo,Mariam akiweka…

 

11 years ago

GPL

MWILI WA ADAM KUAMBIANA WAAGWA BUNJU B, DAR

Mwili wa Adam Kuambiana ukiandaliwa tayari kwa kuagwa nyumbani kwake Bunju B jioni hii. Waombolezaji wakiwa msibani tayari kuaga mwili. Wa tatu kutoka kulia waliokaa mbele ni mke wa marehemu Janeth Rithe ambaye ni Diwani Kata ya Kunduchi, Dar.…

 

11 years ago

GPL

MAMIA WAMUAGA MAREHEMU ADAM KUAMBIANA VIWANJA VYA LEADERS

Jeneza lenye mwili wa marehemu Adam Kuambiana likiwa mbele ya waombolezaji. Shilole (kulia) akiwa na baadhi ya waombolezaji.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani