Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAELFU WAMZIKA ADAM KUAMBIANA KINONDONI DAR

Mashada yakiwa tayari juu ya kaburi la Marehemu Adam Philipo Kuambiana,muda mfupi baada ya shughuli za mazishi kukamilika. Jacob Steven 'JB',akiweka shada kwenye kaburi hilo. Msanii wa fialmu Bongo,Mariam akiweka…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

MWILI WA ADAM KUAMBIANA WAAGWA BUNJU B, DAR

Mwili wa Adam Kuambiana ukiandaliwa tayari kwa kuagwa nyumbani kwake Bunju B jioni hii. Waombolezaji wakiwa msibani tayari kuaga mwili. Wa tatu kutoka kulia waliokaa mbele ni mke wa marehemu Janeth Rithe ambaye ni Diwani Kata ya Kunduchi, Dar.…

 

11 years ago

Bongo Movies

11 years ago

Michuzi

MAMIA WAMZIKA MEJA MSTAAFU SAMWEL ISAAC CHEKINGO KWENYE MAKABURI YA KINONDONI JIJINI DAR

DSC_0140 DSC_0143 Marafiki wa karibu wa familia ya marehemu wakiwa wamesimama kuupoke mwili wa marehemu Meja Mstaafu Isaac Chekingo ulipowasili nyumbani kwake Kinondoni jijini Dar mwishoni mwa Juma. DSC_0047 Mtoto mkubwa wa marehemu (mwenye koti la suti jeusi) akijadiliana jambo na baadhi ya wanakamati wa msiba ulioongozwa na Afande Thomas Ndonde wa JWTZ. DSC_0041 Baadhi ya waombolezaji wakitoa mkono wa pole kwa familia ya marehemu Meja Mstaafu Samwel Isaac Chekingo. DSC_0069 Mtoto mkubwa wa marehemu Samson Samwel Chekingo...

 

11 years ago

GPL

MAMIA WAMZIKA MEJA MSTAAFU SAMWEL ISAAC CHEKINGO KWENYE MAKABURI YA KINONDONI JIJINI DAR‏

Askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wakibeba mwili wa marehemu Meja Mstaafu Samwel Isaac Chekingo mara baada ya kuwasili nyumbani kwake Kinondoni kwa ajili ya ibada maalum. Marafiki wa karibu wa familia ya marehemu wakiwa wamesimama kuupoke mwili wa…

 

11 years ago

Michuzi

BURIANI ADAM KUAMBIANA





Adam Kuambiana enzi za uhai wake.
MWIGIZAJI na Muongozaji filamu maarufu Bongo, Adam Kuambiana amefariki dunia wakati akipelekwa hospitali ya Mama Ngoma iliyopo Mwenge jijini Dar es Salaam kwa matibabu alfajiri ya leo. 
Habari zinasema Marehemu alianguka chooni akiwa location katika hoteli ya Silver Rado iliyopo Sinza kwa Remmy, Dar es salaam . Kabla ya mauti kumfika, Adam alikuwa akilalamika kuwa anasumbuliwa na tumbo. Globu ya Jamii inaungana na familia ya marehemu, ndugu,...

 

11 years ago

GPL

ADAM KUAMBIANA AZIKWA

Mazishi ya mwongozaji na mwigizaji wa filamu Bongo, Adam Kuambiana yamefanyika katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar. Kabla ya mazishi mwili wa marehemu uliagwa na maelfu katika Viwanja vya Leaders jijini Dar. Mungu ailaze roho ya marehemu, mahali pema peponi.…

 

10 years ago

Tanzania Daima

Maelfu wamzika Rais Sata

MAELFU ya wananchi wa Zambia pamoja na viongozi mbalimbali duniani, jana walifurika kuhitimisha safari ya mwisho ya aliyekuwa Rais ya nchi hiyo, Michael Satta katika mazishi yake yaliyofanyika kwenye viwanja...

 

10 years ago

Habarileo

Maelfu wamzika Mufti Simba

Rais Jakaya Kikwete akiweka udongo kwenye kaburi la marehemu Sheikh Mkuu wa Tanzania, Mufti Issa Shaaban bin Simba, aliyezikwa jana mkoani Shinyanga. (Picha na Ikulu).RAIS Jakaya Kikwete, jana aliwaongoza maelfu ya wakazi wa Shinyanga na mikoa jirani, viongozi wa dini, Serikali na wanasiasa kumzika aliyekuwa Mufti na Shehe Mkuu wa Tanzania, Issa bin Shaaban Simba ,78, (pichani) aliyeaga dunia juzi jijini Dar es Salaam na kuzikwa jana jioni mjini hapa.

 

11 years ago

GPL

ADAM KUAMBIANA AFARIKI DUNIA

Adam Kuambiana enzi za uhai wake. MWIGIZAJI Adam Kuambiana amefariki dunia wakati akipelekwa hospitali ya Mama Ngoma iliyopo Mwenge jijini Dar es Salaam kwa matibabu. Marehemu ameanguka chooni akiwa location katika hoteli ya Silver Rado iliyopo Sinza kwa Remy, Dar. Kabla ya mauti kumfika, Adam alikuwa akilalamika kuwa anasumbuliwa na tumbO. MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI.… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani