mwanamichezo Majid Adam Issa Maki afariki dunia
![](http://2.bp.blogspot.com/-gTNGX3DLZc8/VlgGS2F76tI/AAAAAAAIIjo/nnDgDKN1KYE/s72-c/2d232b78-9e67-4060-9e05-e2711ec0e2af.jpg)
Tasnia ya michezo hususani kandanda imepata pigo kubwa kwa kuondokewa na mwanamichezo mkongwe Majid Adam Issa Maki (pichani) aliyefariki alfajiri ya leo. Msiba upo nyumbani kwa marehemu Yombo, Dar es salaam na mazishi yanatarajiwa kufanyika leo saa kumi katika makaburi ya Kisutu.Marehemu, ambaye ni mtoto wa Mwalimu Adam Issa Maki, atakumbukwa kama mmoja wa wachezaji mahiri wa klabu ya Sunderland (Simba) na pia mmoja wa waanzilishi wa klabu ya Red star ambako alikuwa team manager.
Inna...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/iC8gEB0kF6mBd7r6*8rSsXekJ*wCwi-bk9AUNlcLhatBnZpnFwCzLv2fq73rgAc5qaguKf20Ho7tClSIM8vg93ZfQThCBOFE/13.gif)
ADAM KUAMBIANA AFARIKI DUNIA
10 years ago
Mtanzania15 Jun
Sheikh Issa Shaaban Simba afariki dunia
Habari zilizotufikia hivi punde ni kwamba Mufti Mkuu wa Tanzania, Sheikh Issa Shaaban Simba amefariki asubuhi ya leo.
Kwa taarifa zaidi juu ya kifo chake tutaendelea kuwajulisha, Innalilah wainailah Rajiun.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/dj7KjSQgc-Q5UNqMz*p7AYFS5SjVhG3IMG3*SUa02aHINbagJ2k*M3yrDqvY*IPnZaPP6R8zTKZpDDdRicqr9uTsPZDMsc74/BREAKING.gif)
TANZIA: MUFTI ISSA BIN SHAABAN SIMBA AFARIKI DUNIA
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-Iebe9m5XXaM/VX6Bt5wJjMI/AAAAAAAHfek/JJqax9PgWR0/s72-c/ShekheMkuu.jpg)
BREAKING NEWZ: MUFTI SHEKH MKUU WA TANZANIA, ISSA BIN SHAABAN SIMBA AFARIKI DUNIA
![](http://1.bp.blogspot.com/-Iebe9m5XXaM/VX6Bt5wJjMI/AAAAAAAHfek/JJqax9PgWR0/s640/ShekheMkuu.jpg)
MUFTI Shekh Mkuu wa Tanzania, Issa Bin Shaaban Simba amefariki dunia leo katika hospitali ya TMJ jijini Dar es Salaam.
MUNGU ILAZE MAHALI PEMA PEPONI ROHO YA MAEREHEMU.
Endelea kufuatilia taarifa zaidi.
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-I2L9RxSe4U0/VX6Gp_kJbcI/AAAAAAABQNI/DLiflAhZ77A/s72-c/MSIKITI.2.jpg)
BREAKING NEWS: MUFTI MKUU WA TANZANIA SHEIKH ISSA SHAABAN SIMBA AFARIKI DUNIA LEO ASUBUHI
![](http://3.bp.blogspot.com/-I2L9RxSe4U0/VX6Gp_kJbcI/AAAAAAABQNI/DLiflAhZ77A/s640/MSIKITI.2.jpg)
Habari zilizotufikia hivi punde zinaarifu kuwa Mufti Mkuu wa Tanzania, Sheikh Shaaban Issa Simba amefariki dunia.Akidhibitisha kutokea kwa kifo hicho Shehe Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Sheikh Alhadi Mussa Salim amesema Mufti amefikwa na umauti hii leo asubuhi."Ni kweli Mufti Mkuu wa Tanzania, Sheikh Shaaban Issa Simba amefariki hii leo asubuhi kwa maradhi ya sukari na presha," alisema kwa ufupi Sheikh...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-ROpU0VKigkU/VMWozGyhbFI/AAAAAAAAWKw/SIQg6lwna4Q/s72-c/0001.jpg)
tanzia: Issa Ahmed Othman aliyekuwa Mshauri wa Rais Zanzibar katika masuala ya Utalii afariki dunia
![](http://3.bp.blogspot.com/-ROpU0VKigkU/VMWozGyhbFI/AAAAAAAAWKw/SIQg6lwna4Q/s1600/0001.jpg)
Aliyekuwa...
11 years ago
Mwananchi22 Feb
Mtume aliyetabiri mwisho wa dunia afariki dunia
10 years ago
Dewji Blog15 Jun
MUFTI Mkuu wa Tanzania, Sheikh Issa Bin Shaaban Simba, afarikki dunia
Mufti Simba enzi za Uhai wake..
Mufti Mkuu wa Tanzania, Sheikh Issa Bin Shaaban Simba, amefariki dunia alfajiri ya leo katika hospitali ya TMJ jijini Dar es Salaam.
Taarifa kutoka mamlaka husika na dini na ndugu wa karibu walieleza kuwa, mwili wa marehemu umeondolewa hospitali hapo na kuhamishiwa hospitali kuu ya Jeshi ya Lugalo kungoja taratibu za mazishi.
Kwamujibu Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum amesema kuwa marehemu alikuwa akisumbuliwa na maradhi ya moyo...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-4Kfev1vFN5o/VHjiqB1rr1I/AAAAAAAG0DQ/xOAvEtEbAg0/s72-c/unnamed%2B(1).png)
NEWS FLASH: CHEF ISSA AFANYA MAAJABU KWENYE KOMBE LA DUNIA LA MAPISHI 2014 NCHINI LUXEMBORG
![](http://2.bp.blogspot.com/-4Kfev1vFN5o/VHjiqB1rr1I/AAAAAAAG0DQ/xOAvEtEbAg0/s1600/unnamed%2B(1).png)
Kushinda kombe la dunia si mchezo katika tasnia yoyote ile nasi hatuna...