NEWS FLASH: CHEF ISSA AFANYA MAAJABU KWENYE KOMBE LA DUNIA LA MAPISHI 2014 NCHINI LUXEMBORG
.png)
Executive Chef Issa Kipande tunayemfahamu kama Chef Issa (aliyeshika kombe) wiki hii amefanya makubwa kwa kuwa mmoja wa ma-Chef wa timu ya Stockholm, Sweden, kushiriki na hatimaye kushika nafasi ya kwanza katika kipengele cha timu za kanda kwenye mashindano ya Kombe la Dunia la Mapishi 2014 yajulikanayo kama Villeroy & Boch Culinary World Cup 2014 yaliyofanyika nchini Luxemborg. Mshindi wa jumla alikuwa Singapore.
Kushinda kombe la dunia si mchezo katika tasnia yoyote ile nasi hatuna...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi19 Jul
11 years ago
Michuzi18 Jul
10 years ago
Michuzi
CHEF ISSA KUPEPERUSHA BENDERA YA TANZANIA JIJINI LUXEMBOURG KWENYE Villeroy & Boch Culinary World Cup 2014 kuanzia leo 24 mpaka 28 november 2014
Mpaka sasa Chef Issa Kapande mbali ya kushinda tuzo nyingi tofauti ndani na nje ya nchi katika fani yake ya upishi pia anashikilia rekodi ya kua Chef Mtanzania Msomi na mdogo kuliko wote aliewahi kufungua na kuongoza hotel ya nyota tano ( Certified Executive Chef) akiwa na umri wa miaka 25 tu. Hili...
10 years ago
Michuzi
Chef Issa aanzisha whatsapp group la Ma-Chef wa Kitanzania popote walipo duniani

10 years ago
Michuzi.jpg)
CHEF ISSA KAPANDE AKARIBISHWA UBALOZI WA TANZANIA NCHINI SWEDEN
10 years ago
Michuzi.jpg)
Chef Issa ahudumia Uongozi wa mkoa wa Trollhättan kwenye restaurant ya kitanzania sweden
.jpg)
10 years ago
Dewji Blog21 Apr
Chef Issa ahudumia Uongozi wa mkoa wa Trollhättan kwenye restaurant ya Kitanzania Sweden
Chef Issa Kipande (wa tatu kutoka kulia) akipongezwa na kamati ya Uongozi wa mkoa wa Trollhättan nchini Sweden waliofika kupata chakula cha mchana ‘lunch’ katika Mgahawa huo wa Kitanzania.
Mgahawa mkubwa unaotoa huduma za chakula cha Kitanzania unaomilikiwa na mpishi maarufu duniani, Issa Kapande `Chef Issa’, uliofunguliwa hivi karibuni, nchini Sweden na kuvunja rekodi ya dunia, kwa tayari watu mbalimbali wamekuwa wakitembelea hapo na kupataa huduma safi ya vyakula mbalimbali vilivyo vya...
10 years ago
Michuzi23 Jun
jarida la utalii nchini sweden laufagilia mgahawa wa mtanzania chef issa katika mji wa trollhattan

11 years ago
GPL