CHEF ISSA KAPANDE AKARIBISHWA UBALOZI WA TANZANIA NCHINI SWEDEN
![](http://1.bp.blogspot.com/-Vrz0Pzr9qGk/VH82sDWeLuI/AAAAAAAG1B0/1OfI3DkiT5A/s72-c/unnamed%2B(61).jpg)
Jumatatu tarehe 1-12-2014 Excutive Chef Issa Kipande maarufu kama Chef Issa alipata heshima kubwa sana ya kuonana na balozi wa Tanzania nchini Sweden, Mhe. Dorah Msechu pamoja na Wafanyakazi wote wa ubalozi ambao walimpokea kwa furaha sana na kumpa pongezi nyingi wakijivunia ushindi alioupata nchini Luxembourg kwenye Mashindano ya Chef's World Cup 2014.Chef Issa ameiambia Globu ya Jamii leo kuwa alifarijika sana kwa upendo, heshima na ushirikiano alioupata toka kwa Mheshimiwa balozi na...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog06 Jun
Mambo yaenda yakiongezeka Chef Issa Kapande, apongezwa na JK
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza mtaalamu wa kimataifa wa mambo ya mapishi aishiye Sweden Chef Issa Kapande ambaye mwaka jana alikuwa katika timu ya taifa ya Sweden kwenye mashindano ya kombe la dunia la mapishi walikoibuka na medali ya dhahabu. Chef Issa, ambaye hivi karibuni amefungua mgahawa mkubwa kuliko yote wa Ki Afrika katika Ulaya yote mjini Trolhattan, nje kidogo ya jiji la Stockholm, wenye uwezo wa kuchukua watu 400 kwa wakati mmoja.
10 years ago
Michuzi23 Jun
jarida la utalii nchini sweden laufagilia mgahawa wa mtanzania chef issa katika mji wa trollhattan
![IMG-20150616-WA0008](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/06/IMG-20150616-WA0008.jpg)
10 years ago
Michuzi03 Apr
CHEF ISSA KIPANDE AFUNGUA MGAHAWA WAKE SWEDEN
![IMG_1562](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/04/IMG_1562.jpg)
Mgeni rasmi Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Mh. Dora Msechu (wa tatu kushoto) akiwa na mwenyeji wake Meya wa Trollhattan, Paul Akerlund (wa tatu kulia), Afisa kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa nchini Tanzania, Tagie Daisy Mwakawago (kulia), Mmiliki wa mgahawa unaotoa huduma za chakula cha kitanzania unaofahamika kama "Lunch by Chef Issa" (The house of Tanzanian food) uliopo katika mji wa Trollhattan, Sweden unaomilikiwa na mtanzania Chef Issa Kapande (wa pili kulia)...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-rCRzDeQ2lRI/VTW8Ey3WtTI/AAAAAAAHSKY/6hMUQFTdnc4/s72-c/unnamed%2B(73).jpg)
Chef Issa ahudumia Uongozi wa mkoa wa Trollhättan kwenye restaurant ya kitanzania sweden
![](http://1.bp.blogspot.com/-rCRzDeQ2lRI/VTW8Ey3WtTI/AAAAAAAHSKY/6hMUQFTdnc4/s1600/unnamed%2B(73).jpg)
10 years ago
Dewji Blog21 Apr
Chef Issa ahudumia Uongozi wa mkoa wa Trollhättan kwenye restaurant ya Kitanzania Sweden
Chef Issa Kipande (wa tatu kutoka kulia) akipongezwa na kamati ya Uongozi wa mkoa wa Trollhättan nchini Sweden waliofika kupata chakula cha mchana ‘lunch’ katika Mgahawa huo wa Kitanzania.
Mgahawa mkubwa unaotoa huduma za chakula cha Kitanzania unaomilikiwa na mpishi maarufu duniani, Issa Kapande `Chef Issa’, uliofunguliwa hivi karibuni, nchini Sweden na kuvunja rekodi ya dunia, kwa tayari watu mbalimbali wamekuwa wakitembelea hapo na kupataa huduma safi ya vyakula mbalimbali vilivyo vya...
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-f2GfWiEm07s/VjeiOBf4UmI/AAAAAAAID9s/k-FfYdd-yUU/s72-c/unnamed%2B%25288%2529.jpg)
Mgahawa wa Chef issa mjini Trollhatan, sweden, walisha waombolezaji 1000 baada ya mazishi ya mwafrika aliyeuwawa kibaguzi
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-88bgRenlEUc/VYcvlCYc7RI/AAAAAAAHiOk/lkYigOAbjNQ/s72-c/unnamed%2B%252844%2529.jpg)
Chef Issa aanzisha whatsapp group la Ma-Chef wa Kitanzania popote walipo duniani
![](http://2.bp.blogspot.com/-88bgRenlEUc/VYcvlCYc7RI/AAAAAAAHiOk/lkYigOAbjNQ/s640/unnamed%2B%252844%2529.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-4Kfev1vFN5o/VHjiqB1rr1I/AAAAAAAG0DQ/xOAvEtEbAg0/s72-c/unnamed%2B(1).png)
NEWS FLASH: CHEF ISSA AFANYA MAAJABU KWENYE KOMBE LA DUNIA LA MAPISHI 2014 NCHINI LUXEMBORG
![](http://2.bp.blogspot.com/-4Kfev1vFN5o/VHjiqB1rr1I/AAAAAAAG0DQ/xOAvEtEbAg0/s1600/unnamed%2B(1).png)
Kushinda kombe la dunia si mchezo katika tasnia yoyote ile nasi hatuna...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-lucvmQdQSZc/VHLpSaiHRVI/AAAAAAAGzHs/NCP8c8IQ3RM/s72-c/chef%2Bissa%2Band%2Bmr%2Bwine.jpg)
CHEF ISSA KUPEPERUSHA BENDERA YA TANZANIA JIJINI LUXEMBOURG KWENYE Villeroy & Boch Culinary World Cup 2014 kuanzia leo 24 mpaka 28 november 2014
Mpaka sasa Chef Issa Kapande mbali ya kushinda tuzo nyingi tofauti ndani na nje ya nchi katika fani yake ya upishi pia anashikilia rekodi ya kua Chef Mtanzania Msomi na mdogo kuliko wote aliewahi kufungua na kuongoza hotel ya nyota tano ( Certified Executive Chef) akiwa na umri wa miaka 25 tu. Hili...