Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CHEF ISSA KIPANDE AFUNGUA MGAHAWA WAKE SWEDEN

IMG_1562
Mgeni rasmi Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Mh. Dora Msechu (wa tatu kushoto) akiwa na mwenyeji wake Meya wa Trollhattan, Paul Akerlund (wa tatu kulia), Afisa kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa nchini Tanzania, Tagie Daisy Mwakawago (kulia), Mmiliki wa mgahawa unaotoa huduma za chakula cha kitanzania unaofahamika kama "Lunch by Chef Issa" (The house of Tanzanian food) uliopo katika mji wa Trollhattan, Sweden unaomilikiwa na mtanzania Chef Issa Kapande (wa pili kulia)...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

jarida la utalii nchini sweden laufagilia mgahawa wa mtanzania chef issa katika mji wa trollhattan

Jarida la Wizara ya Maliasili Makumbusho na Utalii katika mji wa Trollhättan na Vänersborg limeijumuisha Tanzanian Restaurant - Lunch by chef Issa kwenye orodha ya migahawa bora katika miji hiyo miwili ni jambo la kujivunia hasa mafanikio haya ndani ya miezi miwili tangu kufunguliwaIMG-20150616-WA0008Jarida la makala ya biashara na uwekezaji la Fokus Väst la mji wa Trollhättan Sweden limethibitisha rasmi nakujivunia Tanzanian Restaurant - Lunch by chef Issa kua ni mgahawa halisi wa kiafrika mkubwa kuliko yote...

 

9 years ago

Michuzi

Mgahawa wa Chef issa mjini Trollhatan, sweden, walisha waombolezaji 1000 baada ya mazishi ya mwafrika aliyeuwawa kibaguzi

Mnamo tarehe 22/10/2015 kijana mmoja wa Kiswedish alivamia shule ya Krona iliyopo mji wa Trollhatan uliopo jirani na mji wa Goteborg ambao ni mji wa pili kwa ukubwa nchini Sweden.Kjjana huyo alivamia shule hiyo akiwa amevalia mavazi ya Halloween na kuanza kuchoma visu watoto . Alifanikiwa kuchoma visu walimu wawili na watoto wawili na maaaskari  wawili kabla ya polisi kumpiga risasi na na kumuua dunia hapo hapo. Watu aliowajeruhi walikimbizwa hospital ambapo mwalimu mmoja na mwanafunzi mmoja...

 

10 years ago

Michuzi

CHEF ISSA KAPANDE AKARIBISHWA UBALOZI WA TANZANIA NCHINI SWEDEN

Jumatatu tarehe 1-12-2014 Excutive Chef Issa Kipande maarufu kama Chef Issa alipata heshima kubwa sana ya kuonana na balozi wa Tanzania nchini Sweden, Mhe.  Dorah Msechu pamoja na Wafanyakazi wote wa ubalozi ambao walimpokea kwa furaha sana na kumpa pongezi nyingi wakijivunia ushindi alioupata nchini Luxembourg kwenye Mashindano ya Chef's World Cup 2014.Chef Issa ameiambia Globu ya Jamii leo kuwa  alifarijika sana kwa upendo, heshima na ushirikiano alioupata toka kwa Mheshimiwa balozi na...

 

10 years ago

Dewji Blog

Chef Issa ahudumia Uongozi wa mkoa wa Trollhättan kwenye restaurant ya Kitanzania Sweden

unnamed (73)

Chef Issa Kipande (wa tatu kutoka kulia) akipongezwa na kamati ya Uongozi wa mkoa wa Trollhättan nchini Sweden waliofika kupata  chakula cha mchana ‘lunch’ katika Mgahawa huo wa Kitanzania.

Mgahawa mkubwa unaotoa huduma za chakula cha Kitanzania unaomilikiwa na mpishi maarufu duniani, Issa Kapande `Chef Issa’, uliofunguliwa hivi karibuni, nchini Sweden na kuvunja rekodi ya dunia, kwa tayari watu mbalimbali  wamekuwa wakitembelea hapo na kupataa huduma safi ya vyakula mbalimbali vilivyo vya...

 

10 years ago

Michuzi

Chef Issa ahudumia Uongozi wa mkoa wa Trollhättan kwenye restaurant ya kitanzania sweden

Chef Issa akipongezwa na kamati ya Uongozi wa mkoa wa Trollhättan nchini Sweden waliofika kupata pata  lunch katika restaurant ya Kitanzania.  ooohhh!  proud to be Tanzanian...

 

10 years ago

Michuzi

Chef Issa aanzisha whatsapp group la Ma-Chef wa Kitanzania popote walipo duniani

Chef Issa ameanzisha group la Whatsapp kwa ajili ya Tanzanian chef's popote duniani ambalo anasema kama wewe ni Chef unaweza jiunga kwa kutuma request mobile No. +46709297384 Lengo likiwa ni kukutana,  kufahamiana,  na kusaidiana kitaaluma. Ma-Chef wote wa Kitanzania mnakaribishwa.

 

10 years ago

Dewji Blog

Mambo yaenda yakiongezeka Chef Issa Kapande, apongezwa na JK

IMGL2372

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza mtaalamu wa kimataifa wa mambo ya mapishi aishiye Sweden Chef Issa Kapande ambaye mwaka jana alikuwa katika timu ya taifa ya Sweden kwenye mashindano ya kombe la dunia la mapishi walikoibuka na medali ya dhahabu. Chef Issa, ambaye hivi karibuni amefungua mgahawa mkubwa kuliko yote wa Ki Afrika katika Ulaya yote mjini Trolhattan, nje kidogo ya jiji la Stockholm, wenye uwezo wa kuchukua watu 400 kwa wakati mmoja.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani