Mgahawa wa Chef issa mjini Trollhatan, sweden, walisha waombolezaji 1000 baada ya mazishi ya mwafrika aliyeuwawa kibaguzi
![](http://1.bp.blogspot.com/-f2GfWiEm07s/VjeiOBf4UmI/AAAAAAAID9s/k-FfYdd-yUU/s72-c/unnamed%2B%25288%2529.jpg)
Mnamo tarehe 22/10/2015 kijana mmoja wa Kiswedish alivamia shule ya Krona iliyopo mji wa Trollhatan uliopo jirani na mji wa Goteborg ambao ni mji wa pili kwa ukubwa nchini Sweden.Kjjana huyo alivamia shule hiyo akiwa amevalia mavazi ya Halloween na kuanza kuchoma visu watoto . Alifanikiwa kuchoma visu walimu wawili na watoto wawili na maaaskari wawili kabla ya polisi kumpiga risasi na na kumuua dunia hapo hapo. Watu aliowajeruhi walikimbizwa hospital ambapo mwalimu mmoja na mwanafunzi mmoja...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi03 Apr
CHEF ISSA KIPANDE AFUNGUA MGAHAWA WAKE SWEDEN
![IMG_1562](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/04/IMG_1562.jpg)
Mgeni rasmi Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Mh. Dora Msechu (wa tatu kushoto) akiwa na mwenyeji wake Meya wa Trollhattan, Paul Akerlund (wa tatu kulia), Afisa kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa nchini Tanzania, Tagie Daisy Mwakawago (kulia), Mmiliki wa mgahawa unaotoa huduma za chakula cha kitanzania unaofahamika kama "Lunch by Chef Issa" (The house of Tanzanian food) uliopo katika mji wa Trollhattan, Sweden unaomilikiwa na mtanzania Chef Issa Kapande (wa pili kulia)...
10 years ago
Michuzi23 Jun
jarida la utalii nchini sweden laufagilia mgahawa wa mtanzania chef issa katika mji wa trollhattan
![IMG-20150616-WA0008](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/06/IMG-20150616-WA0008.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-Vrz0Pzr9qGk/VH82sDWeLuI/AAAAAAAG1B0/1OfI3DkiT5A/s72-c/unnamed%2B(61).jpg)
CHEF ISSA KAPANDE AKARIBISHWA UBALOZI WA TANZANIA NCHINI SWEDEN
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-rCRzDeQ2lRI/VTW8Ey3WtTI/AAAAAAAHSKY/6hMUQFTdnc4/s72-c/unnamed%2B(73).jpg)
Chef Issa ahudumia Uongozi wa mkoa wa Trollhättan kwenye restaurant ya kitanzania sweden
![](http://1.bp.blogspot.com/-rCRzDeQ2lRI/VTW8Ey3WtTI/AAAAAAAHSKY/6hMUQFTdnc4/s1600/unnamed%2B(73).jpg)
10 years ago
Dewji Blog21 Apr
Chef Issa ahudumia Uongozi wa mkoa wa Trollhättan kwenye restaurant ya Kitanzania Sweden
Chef Issa Kipande (wa tatu kutoka kulia) akipongezwa na kamati ya Uongozi wa mkoa wa Trollhättan nchini Sweden waliofika kupata chakula cha mchana ‘lunch’ katika Mgahawa huo wa Kitanzania.
Mgahawa mkubwa unaotoa huduma za chakula cha Kitanzania unaomilikiwa na mpishi maarufu duniani, Issa Kapande `Chef Issa’, uliofunguliwa hivi karibuni, nchini Sweden na kuvunja rekodi ya dunia, kwa tayari watu mbalimbali wamekuwa wakitembelea hapo na kupataa huduma safi ya vyakula mbalimbali vilivyo vya...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-88bgRenlEUc/VYcvlCYc7RI/AAAAAAAHiOk/lkYigOAbjNQ/s72-c/unnamed%2B%252844%2529.jpg)
Chef Issa aanzisha whatsapp group la Ma-Chef wa Kitanzania popote walipo duniani
![](http://2.bp.blogspot.com/-88bgRenlEUc/VYcvlCYc7RI/AAAAAAAHiOk/lkYigOAbjNQ/s640/unnamed%2B%252844%2529.jpg)
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-7LO1kBtFB6U/VYBEFQE88NI/AAAAAAAHf9M/rgktIuXCZbc/s72-c/unnamed%2B%252877%2529.jpg)
RAIS KIKWETE AONGOZA MAELFU YA WAOMBOLEZAJI KWENYE MAZISHI YA MUFTI MKUU WA TANZANIA MAREHEMU SHEIKH ISSA SHAABAN BIN SIMBA MKOANI SHINYANGA LEO
![](http://4.bp.blogspot.com/-7LO1kBtFB6U/VYBEFQE88NI/AAAAAAAHf9M/rgktIuXCZbc/s640/unnamed%2B%252877%2529.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-GhDrkWUYGUo/VYBEFgPgiUI/AAAAAAAHf9Q/Za6XSKrHYTk/s640/unnamed%2B%252878%2529.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-7LO1kBtFB6U/VYBEFQE88NI/AAAAAAAHf9M/rgktIuXCZbc/s72-c/unnamed%2B%252877%2529.jpg)
JUST IN: Rais Kikwete aongoza maelfu ya Waombolezaji kwenye Mazishi ya Mufti Mkuu wa Tanzania MArehemu Sheikh Issa Shaaban bin Simba Mkoani Shinyanga leo
![](http://4.bp.blogspot.com/-7LO1kBtFB6U/VYBEFQE88NI/AAAAAAAHf9M/rgktIuXCZbc/s640/unnamed%2B%252877%2529.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-GhDrkWUYGUo/VYBEFgPgiUI/AAAAAAAHf9Q/Za6XSKrHYTk/s640/unnamed%2B%252878%2529.jpg)
11 years ago
Michuzi04 Jun
mazishi ya mtoto nasra mjini morogoro yakusanya maelfu ya waombolezaji
![](https://3.bp.blogspot.com/-vG_lq178v9U/U42q25S_6_I/AAAAAAAAUSw/_-ty4V2a95c/s1600/1.jpg)