Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


mazishi ya mtoto nasra mjini morogoro yakusanya maelfu ya waombolezaji

 Hatimaye Mtoto Nasra Mvungi aliyefariki Juni mosi mwaka huu kufuatia kuaishi katika matesa makubwa kutoka kwa mama yake mkubwa baada ya mama yake kufariki na kuishi katika boksi bila huduma muhimu anazostahili kupatiwa binadamu hasa mtoto mdogo mwenye umri wa mwaka mmoja amezikwa kwa heshima zote na wakazi wa Morogoro wakiongozwa na Mkuu wa Mkoa huo, Joel Nkaya Bendera, Mbunge wa Morogoro mjini, Abdulaziz Abood na mfanyabiashara wa mabasi na vituo vya mafuta mkoani Morogoro Al Saed Omary....

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

MAZISHI YA MTOTO NASRA MJINI MOROGORO YAKUSANYA MAELFU YA WAOMBOLEZAJI SIKU YA JANA

Mbunge Abdulaziz Abood akiweka udongo katika kaburi la marehemu Nasra na kuahidi kumfanyia hitma baada ya siku 40 tangu kuzikwa kwake
Mfanyabiashara Al Saed Omar nae akiweka udongo katika kaburi la marehemu.…

 

10 years ago

Vijimambo

Rais Kikwete aongoza maelfu ya waombolezaji kwenye mazishi ya Dkt AbdallahKigoda mjini Handeni, Tanga

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili nyumbani kwa aliyekuwa Waziri wa Viwanda na Biashara Marehemu Dkt Abdallah Kigoda mjini Handeni Alhamisi Oktoba 15, 2015 kuongoza mamia ya waombolezaji katika mazishi ya Waziri huyo aliyekuwa pia Mbunge wa Handeni kwa zaidi ya miongo miwili. PICHA ZOTE NA IKULU   Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka sahihi kwenye kitabu cha maombolezo  nyumbani kwa aliyekuwa Waziri wa Viwanda na Biashara Marehemu Dkt Abdallah Kigoda mjini Handeni Alhamisi Oktoba 15, 2015...

 

10 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete aongoza maelfu ya waombolezaji kwenye mazishi ya Dkt. Abdallah Kigoda mjini Handeni, Tanga

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili nyumbani kwa aliyekuwa Waziri wa Viwanda na Biashara Marehemu Dkt Abdallah Kigoda mjini Handeni Alhamisi Oktoba 15, 2015 kuongoza mamia ya waombolezaji katika mazishi ya Waziri huyo aliyekuwa pia Mbunge wa Handeni kwa zaidi ya miongo miwili.     Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka sahihi kwenye kitabu cha maombolezo  nyumbani kwa aliyekuwa Waziri wa Viwanda na Biashara Marehemu Dkt.Abdallah Kigoda mjini Handeni Alhamisi Oktoba 15, 2015 kuongoza mamia ya...

 

10 years ago

Michuzi

JUST IN: Rais Kikwete aongoza maelfu ya Waombolezaji kwenye Mazishi ya Mufti Mkuu wa Tanzania MArehemu Sheikh Issa Shaaban bin Simba Mkoani Shinyanga leo

 Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiweka ugongo kwenye Kaburi la Marehemu Sheikh Mkuu wa Tanzania, Mufti Issa Shaaban bin Simba, aliezikwa leo Juni 16, 2015 kwenye Makaburi ya Waislam, Nguzo Nane Mkoani Shinyanga.Masheikh kutoka sehemu mbalimbali hapa nchini wakimzika Mufti Mkuu wa Tanzania, Sheikh Issa Shaaban bin Simba, aliezikwa leo Juni 16, 2015 kwenye Makaburi ya Waislam, Nguzo Nane Mkoani Shinyanga.

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS KIKWETE AONGOZA MAELFU YA WAOMBOLEZAJI KWENYE MAZISHI YA MUFTI MKUU WA TANZANIA MAREHEMU SHEIKH ISSA SHAABAN BIN SIMBA MKOANI SHINYANGA LEO

 Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiweka ugongo kwenye Kaburi la Marehemu Sheikh Mkuu wa Tanzania, Mufti Issa Shaaban bin Simba, aliezikwa leo Juni 16, 2015 kwenye Makaburi ya Waislam, Nguzo Nane Mkoani Shinyanga.Masheikh kutoka sehemu mbalimbali hapa nchini wakimzika Mufti Mkuu wa Tanzania, Sheikh Issa Shaaban bin Simba, aliezikwa leo Juni 16, 2015 kwenye Makaburi ya Waislam, Nguzo Nane Mkoani Shinyanga.

 

10 years ago

Michuzi

Mgahawa wa Chef issa mjini Trollhatan, sweden, walisha waombolezaji 1000 baada ya mazishi ya mwafrika aliyeuwawa kibaguzi

Mnamo tarehe 22/10/2015 kijana mmoja wa Kiswedish alivamia shule ya Krona iliyopo mji wa Trollhatan uliopo jirani na mji wa Goteborg ambao ni mji wa pili kwa ukubwa nchini Sweden.Kjjana huyo alivamia shule hiyo akiwa amevalia mavazi ya Halloween na kuanza kuchoma visu watoto . Alifanikiwa kuchoma visu walimu wawili na watoto wawili na maaaskari  wawili kabla ya polisi kumpiga risasi na na kumuua dunia hapo hapo. Watu aliowajeruhi walikimbizwa hospital ambapo mwalimu mmoja na mwanafunzi mmoja...

 

10 years ago

Dewji Blog

Waziri Mkuu Pinda ashiriki mazishi ya KOMBANI mjini Morogoro

IMGS4381

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na mkewe Tunu wakitoa heshima za mwisho kwa Aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Utumishi, Celina Kombani katika sala iliyofanyika kwenye uwanja wa jamhuri Mjini Morogoro Septemba 29, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

IMGS4462

Makamu wa Rais, Dr. Mohammed Ghalib Bilal akisalimiana na Waziri Mkuu, Mizengo Pind katika mazishi ya aliyekuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi, Celina Kombani yaliyofanyika Shambani kwa marehemu nje kidogo ya mji wa  Morogoro Septemba...

 

10 years ago

Michuzi

Rais Kikwete ashiriki mazishi ya Mtoto wa Jaji Mkuu mjini Tanga

 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimfariji Jaji Mkuu Mhe.Mohamed Chande Othman kufuatia kifo cha mwanaye Said Mohamed Chande wakati Rais alipokwenda Chumbageni Tanga kuhudhuria mazishi ya marehemu. Jaji Mkuu Mhe.Mohamed Chande Othman akiweka udongo katika kaburi la mwanaye Said Mohamed Chande wakati wa mazishi yaliyofanyika katika makaburi ya Chumbageni Tanga leo jioni. Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiweka udongo katika kaburi la Marehemu Said Mohamed Chande wakati ya mazishi yaliyofanyika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani