RAIS KIKWETE AONGOZA MAELFU YA WAOMBOLEZAJI KWENYE MAZISHI YA MUFTI MKUU WA TANZANIA MAREHEMU SHEIKH ISSA SHAABAN BIN SIMBA MKOANI SHINYANGA LEO
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiweka ugongo kwenye Kaburi la Marehemu Sheikh Mkuu wa Tanzania, Mufti Issa Shaaban bin Simba, aliezikwa leo Juni 16, 2015 kwenye Makaburi ya Waislam, Nguzo Nane Mkoani Shinyanga.Masheikh kutoka sehemu mbalimbali hapa nchini wakimzika Mufti Mkuu wa Tanzania, Sheikh Issa Shaaban bin Simba, aliezikwa leo Juni 16, 2015 kwenye Makaburi ya Waislam, Nguzo Nane Mkoani Shinyanga.
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziJUST IN: Rais Kikwete aongoza maelfu ya Waombolezaji kwenye Mazishi ya Mufti Mkuu wa Tanzania MArehemu Sheikh Issa Shaaban bin Simba Mkoani Shinyanga leo
10 years ago
Dewji Blog16 Jun
Rais Kikwete aomboleza kifo cha Sheikh Mkuu wa Tanzania Mufti Sheikh Issa Bin Shaaban Simba
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mkono na marehemu Sheikh Mkuu wa Tanzania Mufti Sheikh Issa Bin Shaaban Simba (kushoto) enzi za uhai wake.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete ametuma salamu za rambirambi kwa Waislamu wote nchini na Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA)) kufuatia kifo cha Sheikh Mkuu wa Tanzania Mufti Sheikh Issa Bin Shaaban Simba.
Marehemu Mufti amefariki leo 15/6/2015 asubuhi katika hospitali ya TMJ – DSM alipokuwa amelazwa akisumbuliwa na ugonjwa wa sukari na shinikizo...
10 years ago
MichuziRAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE AMETUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI KWA WAISLAMU WOTE NA BAKWATA KUFUATIA KIFO CHA SHEIKH MKUU WA TANZANIA MUFTI SHEIKH ISSA BIN SHAABAN SIMBA
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIADIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS
Telephone: 255-22-2114512, 2116898 E-mail: ikulucommpress@googlemail.comWebsite : www.ikulu.go.tz Fax: 255-22-2113425
PRESIDENT’S OFFICE, STATE HOUSE, 1 BARACK OBAMA ROAD, 11400 DAR ES SALAAM.Tanzania. TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais Jakaya Mrisho Kikwete ametuma salamu za rambirambi kwa Waislamu wote nchini na Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA)) kufuatia kifo...
10 years ago
GPLRAIS KIKWETE AONGOZA MAELFU MAZISHI YA MUFTI MKUU WA TANZANIA SHINYANGA LEO
10 years ago
Dewji Blog15 Jun
MUFTI Mkuu wa Tanzania, Sheikh Issa Bin Shaaban Simba, afarikki dunia
Mufti Simba enzi za Uhai wake..
Mufti Mkuu wa Tanzania, Sheikh Issa Bin Shaaban Simba, amefariki dunia alfajiri ya leo katika hospitali ya TMJ jijini Dar es Salaam.
Taarifa kutoka mamlaka husika na dini na ndugu wa karibu walieleza kuwa, mwili wa marehemu umeondolewa hospitali hapo na kuhamishiwa hospitali kuu ya Jeshi ya Lugalo kungoja taratibu za mazishi.
Kwamujibu Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum amesema kuwa marehemu alikuwa akisumbuliwa na maradhi ya moyo...
10 years ago
MichuziMAKAM WA RAIS DK,GHARIB BILAL AONGOZA MAMIA, KUAGA MWILI WA ALIYEKUWA MUFTI ALHAJ SHEIKH SHAABAN ISSA BIN SIMBA
10 years ago
VijimamboMAKAMU WA RAIS DK,GHARIB BILAL AONGOZA MAMIA, KUAGA MWILI WA ALIYEKUWA MUFTI ALHAJ SHEIKH SHAABAN ISSA BIN SIMBA
Sehemu ya waombolezaji katika msiba wa aliyekuwa...
10 years ago
MichuziCHADEMA WAMLILIA Mufti Mkuu wa Tanzania Tanzania, Sheikh Issa Shaaban bin Simba
10 years ago
Dewji Blog17 Jun
Rais Kikwete aongoza maelfu ya Waislam kwenye Mazishi ya Sheikh Mkuu wa Tanzania
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiweka ugongo kwenye Kaburi la Marehemu Sheikh Mkuu wa Tanzania, Mufti Issa Shaaban bin Simba, aliezikwa Juni 16, 2015 kwenye Makaburi ya Waislam, Nguzo Nane Mkoani Shinyanga.(Picha na IKULU).
Masheikh kutoka sehemu mbalimbali hapa nchini wakimzika Sheikh Mkuu wa Tanzania, Mufti Issa Shaaban bin Simba, aliezikwa Juni 16, 2015 kwenye Makaburi ya Waislam, Nguzo Nane Mkoani Shinyanga.