Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waziri Mkuu Pinda ashiriki mazishi ya KOMBANI mjini Morogoro

IMGS4381

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na mkewe Tunu wakitoa heshima za mwisho kwa Aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Utumishi, Celina Kombani katika sala iliyofanyika kwenye uwanja wa jamhuri Mjini Morogoro Septemba 29, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

IMGS4462

Makamu wa Rais, Dr. Mohammed Ghalib Bilal akisalimiana na Waziri Mkuu, Mizengo Pind katika mazishi ya aliyekuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi, Celina Kombani yaliyofanyika Shambani kwa marehemu nje kidogo ya mji wa  Morogoro Septemba...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU PINDA ASHIRIKI MAZISHI MKUU WA MKOA WA MARA,MAREHEMU JOHN TUPA MKOANI MOROGORO

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akiweka mchanga katika kaburi la aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mara, John Tupa,  kwenye mazishi yaliyofanyika  nyumbani kwa marehemu, Kilosa Machi 29, 2014.  Waziri Mkuu Mizengo  Pinda akiweka shada la maua kwenye kaburi la aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mara, John Tupa katika mazishi yaliyofanyika nyumbani kwa Marehemu, Kilosa, Machi 29, 2014. Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akimfariji  Mzee Gabriel Tupa baba mzazi wa aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mara, John Tupa ...

 

11 years ago

GPL

WAZIRI MKUU PINDA ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU MHOGOLO MJINI DODOMA

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na mkewe Tunu wakiweka shada la maua katika kaburi la Askofu Godfrey Mhogolo wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Central Tanganyika, yaliyofanyika kwenye Viwanja vya Kanisa Kuu la Roho Mtakatifu mjini Dodoma Aprili 5, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU MHOGOLO WA ANGLIKANI MJINI DODOMA

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Mkewe Tunu wakiweka shada la maua katika kaburi la Askofu Godfrey Mhogolo wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Central Tanganyika, yaliyofanyika kwenye viwanja vya Kanisa Kuu la Roho Mtakatifu mjini Dodoma Aprili 5, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 

9 years ago

Mwananchi

Waziri Kombani azikwa, Pinda aongoza mazishi

Waziri Mkuu Mizengo Pinda leo ameongoza umati wa wakazi wa Mkoa wa Morogoro na viunga vyake  katika kuuaga mwili wa aliyekuwa Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais,Menejimenti ya Utumushi wa Umma, Celina Kombani kwenye Uwanja wa Jamhuri mjini hapa. 

 

9 years ago

Michuzi

Rais Kikwete ashiriki mazishi ya Mtoto wa Jaji Mkuu mjini Tanga

 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimfariji Jaji Mkuu Mhe.Mohamed Chande Othman kufuatia kifo cha mwanaye Said Mohamed Chande wakati Rais alipokwenda Chumbageni Tanga kuhudhuria mazishi ya marehemu. Jaji Mkuu Mhe.Mohamed Chande Othman akiweka udongo katika kaburi la mwanaye Said Mohamed Chande wakati wa mazishi yaliyofanyika katika makaburi ya Chumbageni Tanga leo jioni. Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiweka udongo katika kaburi la Marehemu Said Mohamed Chande wakati ya mazishi yaliyofanyika...

 

10 years ago

Vijimambo

WAZIRI MEMBE ASHIRIKI MAZISHI YA MUFTI MKUU ISSA SHABAN BIN SIMBA

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe akiweka udongo kwenye kaburi la marehemu Mufti mkuu Issa Shaban Bin Simba wakati wa mazishi yaliyofanyika katika makaburi ya Nguzo Nane mjini humo Juni 16.2015.Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe akitoa neno kwa umati wa waombolezaji katika msiba wa Mufti mkuu Issa Shaban Bin Simba nyumbani katika Mtaa wa Majengo mjini Shinyanga, baada ya...

 

10 years ago

Vijimambo

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Waziri wa Nchi,Ofisi ya Waziri Mkuu, William Lukuvi wakiteta na Kiongozi wa Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe, Bungeni mjini Dodoma

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Waziri wa Nchi,Ofisi ya Waziri Mkuu, William Lukuvi (kushoto) wakiteta na Kiongozi wa Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe, Bungeni mjini Dodoma Novemba 29, 2014.Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Waziri wa Nchi,Ofisi ya Waziri Mkuu, William Lukuvi (kushoto) wakiteta na Kiongozi wa Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe, Bungeni mjini Dodoma Novemba 29, 2014.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU KASSIM MAJLIWA ASHIRIKI SWALA YA IJUMAA MJINI KIGOMA

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza baada ya kushiriki katika Swala ya Ijumaa Kwenye Msikiti wa Mujahidina  eneo Buzebazeba mjini Kigoma, Februari 21, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwapungia wananchi  baada ya kushiriki Swala ya Ijumaa kwenye Msikiti wa Mujahidina, eneo la Buzebazeba mjini Kigoma, Februari  21, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani