Waziri Kombani azikwa, Pinda aongoza mazishi
Waziri Mkuu Mizengo Pinda leo ameongoza umati wa wakazi wa Mkoa wa Morogoro na viunga vyake katika kuuaga mwili wa aliyekuwa Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais,Menejimenti ya Utumushi wa Umma, Celina Kombani kwenye Uwanja wa Jamhuri mjini hapa.Â
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog30 Sep
Waziri Mkuu Pinda ashiriki mazishi ya KOMBANI mjini Morogoro
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na mkewe Tunu wakitoa heshima za mwisho kwa Aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Utumishi, Celina Kombani katika sala iliyofanyika kwenye uwanja wa jamhuri Mjini Morogoro Septemba 29, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Makamu wa Rais, Dr. Mohammed Ghalib Bilal akisalimiana na Waziri Mkuu, Mizengo Pind katika mazishi ya aliyekuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi, Celina Kombani yaliyofanyika Shambani kwa marehemu nje kidogo ya mji wa Morogoro Septemba...
9 years ago
VijimamboMAKAMU WA RAIS DK. BILAL AONGOZA MAZISHI YA WAZIRI WA NCHI OFISI YA RAIS MENEJIMENTI YA TUMISHI WA UMMA MAREHEMU CELINA KOMBANI LEO
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/09/KOMBANI-MAZIKO-MORO-5.jpg)
DK. BILAL, PINDA WAONGOZA MAMIA KATIKA MAZIKO YA WAZIRI KOMBANI MORO
9 years ago
GPLMAMA WA MKE WA WAZIRI MKUU TUNU PINDA AZIKWA JIJINI DAR
9 years ago
MichuziMAMA WA MKE WA WAZIRI MKUU TUNU PINDA AZIKWA JIJINI DAR
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-kmGH15sjVQ4/Xp7P3nV4mrI/AAAAAAAB2dk/h0fCPYR2Hv4anqrNokVwLSOn_h9yqF3UwCLcBGAsYHQ/s72-c/fdbf1c82af85d5604c18f521bca350d7.jpg)
SPIKA NDUGAI AONGOZA WAOMBOLEZAJI MAZISHI YA BABA MZAZI WA WAZIRI SIMBACHAWENE
![](https://1.bp.blogspot.com/-kmGH15sjVQ4/Xp7P3nV4mrI/AAAAAAAB2dk/h0fCPYR2Hv4anqrNokVwLSOn_h9yqF3UwCLcBGAsYHQ/s640/fdbf1c82af85d5604c18f521bca350d7.jpg)
![](https://1.bp.blogspot.com/-Men0lgYf-fk/Xp7P8mI0zhI/AAAAAAAB2do/ouxdI4jjEO8YK48tBDnUAMYv2p5ex4q3wCLcBGAsYHQ/s640/6c2be6718b3c898b24f695c36996dc08.jpg)
11 years ago
GPLWAZIRI MKUU PINDA ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU MHOGOLO MJINI DODOMA
10 years ago
VijimamboMaalim na Balozi Seif washiriki mazishi ya mkwe wa Waziri Mkuu , Mizengo Pinda