MAMA WA MKE WA WAZIRI MKUU TUNU PINDA AZIKWA JIJINI DAR
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akimfariji Mke wa Waziri Mkuu, mama Tunu Pinda (kushoto) ambaye alifiwa na Mama yake , Hajjat Pili Mlolwa Rehani, nyumbani kwa marehemu, Tabata Magengeni jijini Dar es salaam Septemba 17, 2015. Kuliani Mama Hasina Kawawa. Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda akiwa na Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Sophia Simba Wapili kushoto na Mama Hasina Kawawa waliokwenda kumfariji kufuatia kifo...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziMAMA WA MKE WA WAZIRI MKUU TUNU PINDA AZIKWA JIJINI DAR
9 years ago
Dewji Blog18 Sep
Mama wa Mama Tunu Pinda azikwa Dar
Makamu wa Rais,Dkt. Mohamed Bilal akimfariji mke wa Waziri Mkuu,Mama Tunu Pinda wakati alipokwenda Tabata magengeni jijini Dar es salaam, nyumbani kwa marehemu, Hajjat Pili Mlolwa Rehani ambaye ni mama wa Mama Tunu, aliyefariki Septemba 17, 2015. Kulia ni Mama Hasina Kawawa,watatu kulia ni Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Sophia Simba na wanne kulia ni Naibu Waziri wake Pindi Chana. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi akimfariji mke wa Waziri...
10 years ago
Dewji Blog14 Mar
Mama Pinda akisalimiana na mke wa Waziri Mkuu wa Japan
Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda akisalimiana na Mke wa Waziri Mkuu wa Japan, Mama Akie Abe katika hafla iliyoandaliwa na Waziri Mkuu wa Japan Shinzo Abe kwa washiriki wa Mkutano wa tatu wa dunia kuhusu upunguzaji wa hatari ya majanga duniani ulioanza machi 14 katika mji wa Sendai Japan. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
11 years ago
MichuziMama Tunu Pinda awasili jijini Mwanza tayari kwa ufunguzi wa Tamashsa la Wanawake
10 years ago
Dewji Blog13 Aug
Mama Tunu Pinda aula kuwa Balozi wa Amani Duniani jijini Seoul, Korea Kusini
Mke wa Waziri Mkuu Mama Tunu Pinda akiwa na Rais wa Universal Peace Federation (UPF), Dk. Thomas Walsh (kushoto) na Mwenyekiti wa UPF, Dk. Charles Yang mara baada ya kutunukiwa cheti cha kumtambua kama Balozi wa Amani Duniani katika hafla ya kufunga Mkutano wa Dunia kuhusu Amani na Usalama uliomalizika jana usiku (Agosti 12, 2014) jijini Seoul, Korea Kusini. (PICHA NA IRENE BWIRE WA OWM).
Mke wa Waziri Mkuu Mama Tunu Pinda (wa pili kulia mstari wa mbele) katika picha ya pamoja viongozi...
10 years ago
Dewji Blog02 Jan
Shughuli mbalimbali za Waziri Mkuu Pinda na mkewe Tunu wilayani Mlele
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi wa shule ya sekondari ya Usevya wakati alipoitembelea na kuzungumza na walimu na wanafunzi wa shule hiyo Januari 1, 2015. (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na mkewe Mama Tunu Pinda akiwa katika picha ya pamoja na walimu wa shule ya sekondari ya Usevya wakati alipoitembelea na kuzungumza na walimu na wanafunzi wa shule hiyo Januari 1, 2015.
Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda akionyesha DVD...
11 years ago
Dewji Blog11 Aug
Mama Tunu Pinda ahudhuria mkutano wa dunia kuhusu Amani na Usalama jijini Seoul, Korea Kusini
Mke wa Waziri Mkuu Mama Tunu Pinda akitambulishwa wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Dunia kuhusu Amani na Usalama ulioanza leo (Agosti 10, 2014) jijini Seoul, Korea Kusini. Wengine kutoka kushoto ni Mke wa Rais wa visiwa vya Marshall, Bibi Lieom Anono Loeak, Rais wa WFWP (International), Prof. Yeon Choi Moon, Waziri Mkuu wa Timor Mashariki, Xanana Gusmao na mke wa Rais wa visiwa vya Samoa, Bibi Filifilia Tamasese (PICHA NA IRENE BWIRE WA OWM).
Mke wa Waziri Mkuu Mama Tunu Pinda akiwa na...
11 years ago
MichuziMAMA TUNU PINDA ASHIRIKI MKUTANO WA DUNIA KUHUSU AMANI NA USALAMA JIJINI SEOUL,KOREA KUSINI
11 years ago
Dewji Blog12 Aug
Mama Tunu Pinda kwenye Mkutano wa Dunia kuhusu Amani na Usalama unaoendelea jijini Seoul, Korea Kusini
Mke wa Waziri Mkuu Mama Tunu Pinda akifuatilia matukio kwenye ukumbi wa Mkutano wa Dunia kuhusu Amani na Usalama unaoendelea jijini Seoul, Korea Kusini. Wa pili kulia ni Rais mstaafu wa Mali, Prof. Dioncounda Traore. Wa kwanza kushoto ni Rais wa Samoa, Bw. Tui Atua Tupua Tamasese na mkewe Bibi Filifilia Tamasese. (PICHA NA IRENE BWIRE WA OWM).
Baadhi ya wajumbe kutoka Kenya, Tanzania na Lesotho ambao wanashiriki Mkutano wa Dunia kuhusu Amani na Usalama unaoendelea jijini Seoul, Korea...