Mama Tunu Pinda awasili jijini Mwanza tayari kwa ufunguzi wa Tamashsa la Wanawake
Mke wa Wazirii Mkuu,Mama Tunu Pinda akipokea shada la maua kutoka kwa Mtoto Raiyah Adam mara baada ya kutua kwenye Uwanja wa Ndege wa Mwanza,tayari kwa ufunguzi wa Tamashsa la Wanawake (Women Dialogue Front 2014) ikiwa ni sehemu ya maanzimisho ya siku ya Wanawake Duniani yaliyofanyika katika hoteli ya JB Belmont.Tamasha hilo lililoandaliwa na Kampuni ya Mikaela.aliyesimama Kulia ni Kaimu Mkuu wa Mkoa na Mkuu wa Mkoa wa Geita,Mh. Said Magarula anaefuata ni Bi. Edith Mudogo Mwenyekiti wa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziMAMA WA MKE WA WAZIRI MKUU TUNU PINDA AZIKWA JIJINI DAR
9 years ago
GPLMAMA WA MKE WA WAZIRI MKUU TUNU PINDA AZIKWA JIJINI DAR
10 years ago
Dewji Blog13 Aug
Mama Tunu Pinda aula kuwa Balozi wa Amani Duniani jijini Seoul, Korea Kusini
Mke wa Waziri Mkuu Mama Tunu Pinda akiwa na Rais wa Universal Peace Federation (UPF), Dk. Thomas Walsh (kushoto) na Mwenyekiti wa UPF, Dk. Charles Yang mara baada ya kutunukiwa cheti cha kumtambua kama Balozi wa Amani Duniani katika hafla ya kufunga Mkutano wa Dunia kuhusu Amani na Usalama uliomalizika jana usiku (Agosti 12, 2014) jijini Seoul, Korea Kusini. (PICHA NA IRENE BWIRE WA OWM).
Mke wa Waziri Mkuu Mama Tunu Pinda (wa pili kulia mstari wa mbele) katika picha ya pamoja viongozi...
11 years ago
MichuziMAMA TUNU PINDA ASHIRIKI MKUTANO WA DUNIA KUHUSU AMANI NA USALAMA JIJINI SEOUL,KOREA KUSINI
![](http://2.bp.blogspot.com/-6Pr83NMg6Qc/U-o4I_WOz9I/AAAAAAACnRE/KYMqbIVJ9mQ/s1600/DSC03141.jpg)
11 years ago
Dewji Blog11 Aug
Mama Tunu Pinda ahudhuria mkutano wa dunia kuhusu Amani na Usalama jijini Seoul, Korea Kusini
Mke wa Waziri Mkuu Mama Tunu Pinda akitambulishwa wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Dunia kuhusu Amani na Usalama ulioanza leo (Agosti 10, 2014) jijini Seoul, Korea Kusini. Wengine kutoka kushoto ni Mke wa Rais wa visiwa vya Marshall, Bibi Lieom Anono Loeak, Rais wa WFWP (International), Prof. Yeon Choi Moon, Waziri Mkuu wa Timor Mashariki, Xanana Gusmao na mke wa Rais wa visiwa vya Samoa, Bibi Filifilia Tamasese (PICHA NA IRENE BWIRE WA OWM).
Mke wa Waziri Mkuu Mama Tunu Pinda akiwa na...
11 years ago
Dewji Blog12 Aug
Mama Tunu Pinda kwenye Mkutano wa Dunia kuhusu Amani na Usalama unaoendelea jijini Seoul, Korea Kusini
Mke wa Waziri Mkuu Mama Tunu Pinda akifuatilia matukio kwenye ukumbi wa Mkutano wa Dunia kuhusu Amani na Usalama unaoendelea jijini Seoul, Korea Kusini. Wa pili kulia ni Rais mstaafu wa Mali, Prof. Dioncounda Traore. Wa kwanza kushoto ni Rais wa Samoa, Bw. Tui Atua Tupua Tamasese na mkewe Bibi Filifilia Tamasese. (PICHA NA IRENE BWIRE WA OWM).
Baadhi ya wajumbe kutoka Kenya, Tanzania na Lesotho ambao wanashiriki Mkutano wa Dunia kuhusu Amani na Usalama unaoendelea jijini Seoul, Korea...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-ryJ2oI9N-xg/VMZVlVspwCI/AAAAAAAG_mc/pU7kYcfbPeo/s72-c/unnamed%2B(45).jpg)
MAMA TUNU PINDA ATOA WITO KWA WAKULIMA KUTUMIA WATALAMU WA KILIMO
![](http://3.bp.blogspot.com/-ryJ2oI9N-xg/VMZVlVspwCI/AAAAAAAG_mc/pU7kYcfbPeo/s1600/unnamed%2B(45).jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-PqAUFiPxgHA/VMZVlTo0NCI/AAAAAAAG_mY/rMWTankZquk/s1600/unnamed%2B(46).jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-VHUIrRa2qys/UwCdLYkoG-I/AAAAAAAFNbE/Y6Llj0PgFnE/s72-c/images.jpg)
MTAJI WA VICOBA NCHINI UNAKUA KWA KASI SANA - MAMA TUNU PINDA
![](http://4.bp.blogspot.com/-VHUIrRa2qys/UwCdLYkoG-I/AAAAAAAFNbE/Y6Llj0PgFnE/s1600/images.jpg)
Alisema hayo alipokuwa akizindua rasmi muungano wa VICOBA wenye vikundi 46 na vikundi 25 vyenye jumla ya wanachama 600 ambao ndio waliopo katika mchakato wa muungano huo, Jana Mchana Jumamosi, Februari 15, 2014 katika Kata ya Kimanga Jijini Dar es Salaam.
Mfumo wa VICOBA umeendelea kushamiri na kuenea katika maeneno mbalimbali nchini ambapo wananchi wengi hasa...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-t9X_szdB1Lw/VEoKVzwavEI/AAAAAAAGtD0/fF_aSjW-ZyI/s72-c/DSC_0018.jpeg)
Mama Tunu Pinda Mgeni rasmi katika Mkutano wa akina mama wa Kitanzania waishio Uingereza
Mama Tunu Pinda alihudhuria Mkutano huo kwa mualiko wa mwenyeji wake Mrs Joyce Kallaghe Mke wa Balozi wa Tanzania Uk, Peter Kallaghe.
Mtoa mada aliyeongozana na Mama Tunu , alikuwa ni Mama Anna Matinde , mwanamke Mjasiriamali mahiri na aliyebobea ambaye ana kofia mbalimbali za Uwakilishi wa...