Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mama Tunu Pinda ahudhuria mkutano wa dunia kuhusu Amani na Usalama jijini Seoul, Korea Kusini

20140810_091140

Mke wa Waziri Mkuu Mama Tunu Pinda akitambulishwa wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Dunia kuhusu Amani na Usalama ulioanza leo (Agosti 10, 2014) jijini Seoul, Korea Kusini. Wengine kutoka kushoto ni Mke wa Rais wa visiwa vya Marshall, Bibi Lieom Anono Loeak, Rais wa WFWP (International), Prof. Yeon Choi Moon, Waziri Mkuu wa Timor Mashariki, Xanana Gusmao na mke wa Rais wa visiwa vya Samoa, Bibi Filifilia Tamasese (PICHA NA IRENE BWIRE WA OWM).

20140810_091211

Mke wa Waziri Mkuu Mama Tunu Pinda akiwa na...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

MAMA TUNU PINDA ASHIRIKI MKUTANO WA DUNIA KUHUSU AMANI NA USALAMA JIJINI SEOUL,KOREA KUSINI

  Mke wa Waziri Mkuu Mama Tunu Pinda  (katikati) katika picha ya pamoja na Rais wa Samoa, Bw. Tui Atua Tupua Tamasese (kulia) na mkewe Bibi Filifilia Tamasese  (Agosti 12, 2014). Wa pili kushoto ni Katibu Mkuu wa Universal Peace Federation (UPF), Bw. Tageldin Hamad ambao wameandaa mkutano huo.    Mke wa Waziri Mkuu Mama Tunu Pinda  (katikati) katika picha ya pamoja na Katibu Mkuu wa Universal Peace Federation (UPF), Bw. Tageldin Hamad (kushoto) ambao wameandaa mkutano huo. Kulia ni Dk....

 

11 years ago

Dewji Blog

Mama Tunu Pinda kwenye Mkutano wa Dunia kuhusu Amani na Usalama unaoendelea jijini Seoul, Korea Kusini

DSC03131

 Mke wa Waziri Mkuu Mama Tunu Pinda akifuatilia matukio kwenye ukumbi wa Mkutano wa Dunia kuhusu Amani na Usalama unaoendelea jijini Seoul, Korea Kusini.  Wa pili kulia ni Rais mstaafu wa Mali, Prof. Dioncounda Traore. Wa kwanza kushoto ni Rais wa Samoa, Bw. Tui Atua Tupua Tamasese na mkewe Bibi Filifilia Tamasese. (PICHA NA IRENE BWIRE WA OWM).

DSC03127

Baadhi ya wajumbe kutoka Kenya, Tanzania na Lesotho ambao wanashiriki Mkutano wa Dunia kuhusu Amani na Usalama unaoendelea jijini Seoul, Korea...

 

11 years ago

Michuzi

mama pinda katika mkutano wa Dunia wa masuala ya Amani, Usalama na Maendeleo jijini Seoul, Korea Kusini.

 Mke wa Waziri Mkuu Mama Tunu Pinda (wa tatu kushoto) akiwa na viongozi wakuu wakifuatilia mada kwenye mkutano wa siku moja ulioandaliwa na Shirikisho la Wanawake na Amani Duniani  (WFWP) kwenye ukumbi wa Jumba la Makumbusho la Kimkoo, jijini Seoul, Korea Kusini leo mchana (Agosti 11, 2014). Kutoka kushoto ni Balozi wa Uruguay nchini Korea, Alba Rosa Legnani, Mke wa Rais wa visiwa vya Marshall, Bibi Lieom Anono Loeak na wa kwanza kulia ni mke wa Rais wa zamani wa Uruguay, Bibi Mercedes...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mama Tunu Pinda aula kuwa Balozi wa Amani Duniani jijini Seoul, Korea Kusini

205026

Mke wa Waziri Mkuu Mama Tunu Pinda  akiwa na Rais wa Universal Peace Federation (UPF), Dk. Thomas Walsh (kushoto) na Mwenyekiti wa UPF, Dk. Charles Yang mara baada ya kutunukiwa cheti cha kumtambua kama Balozi wa Amani Duniani katika hafla ya kufunga Mkutano wa Dunia kuhusu Amani na Usalama uliomalizika jana usiku (Agosti 12, 2014) jijini Seoul, Korea Kusini. (PICHA NA IRENE BWIRE WA OWM).

205215

Mke wa Waziri Mkuu Mama Tunu Pinda  (wa pili kulia mstari wa mbele) katika picha ya pamoja viongozi...

 

10 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AHUDHURIA MKUTANO WA AMANI NA USALAMA WA BARAZA LA AMANI NA USALAMA LA UMOJA WA AFRIKA JIJNI NAIROBI

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Jomo Kenzatta jijini Nairobi leo kujiunga na viongozi wengine wanaounda Baraza la Amani na Usalama la nchi za umoja wa Afrika (AU) kwenye mkutano wa kuzungumzia masuala ya tioshio la ugaidi linalolikabili bara hilo na dunia kwa ujumla. Inspekta Jenerali wa Polisi Ernest Mangu na Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange wakielekea kwenye ukumbi wa mikutano katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Jomo Kenzatta...

 

10 years ago

Michuzi

mkutano wa saba wa maji wa dunia seoul, Korea


Spika Anne Makinda na Naibu Waziri wa Maji Mhe. Amos Makalla wakiwa ndani ya treni toka Seoul kwenda Gyeongbuk kushiriki mkutano saba wa Maji wa duniaMkutano ukiendeleaNaibu Waziri Maji Mhe Amos Makalla akifuatilia mkutano

 

10 years ago

Michuzi

Mama Tunu Pinda Mgeni rasmi katika Mkutano wa akina mama wa Kitanzania waishio Uingereza

Mama Tunu Pinda alikuwa Mgeni rasmi katika Mkutano cha akina mama wa Kitanzania waishio Uingereza , Kilichoandaliwa na Kikundi cha Umoja wa Wanawake kiitwacho Tanzania Women Association UK (TAWA UK).
Mama Tunu Pinda alihudhuria Mkutano huo kwa mualiko wa mwenyeji wake Mrs Joyce Kallaghe Mke wa Balozi wa Tanzania Uk, Peter Kallaghe.
Mtoa mada aliyeongozana na Mama Tunu , alikuwa ni Mama Anna Matinde , mwanamke Mjasiriamali mahiri na aliyebobea ambaye ana kofia mbalimbali za Uwakilishi wa...

 

10 years ago

Michuzi

Mama Tunu Pinda atunukiwa Cheti cha Ubalozi wa Amani Duniani

Mke wa Waziri Mkuu Mama Tunu Pinda akiwa na Rais wa Universal Peace Federation (UPF), Dk. Thomas Walsh (kushoto) na Mwenyekiti wa UPF, Dk. Charles Yang mara baada ya kutunukiwa cheti cha kumtambua kama Balozi wa Amani Duniani katika hafla ya kufunga Mkutano wa Dunia kuhusu Amani na Usalama uliomalizika jana usiku (Agosti 12, 2014) jijini Seoul, Korea Kusini. Mke wa Waziri Mkuu Mama Tunu Pinda (wa pili kulia mstari wa mbele) katika picha ya pamoja viongozi wenzake 10 waliotunukiwa vyeti...

 

10 years ago

Michuzi

MAMA TUNU PINDA AYAOMBA MADHEHEBU YOTE NCHINI KUIOMBEA AMANI TANZANIA

Mke wa Waziri Mkuu Tunu Pinda akiwahutubia waumini wakanisa katoliki Yombo Vituka wakati washerehe ya Kumkumbuka Bikira Maria iliyo andaliwa na umoja wa wanawake wakatoliki WAWATA Dekania ya Ukonga,Mama Pinda alitumia nafasi hiyo kuwaomba waTanzania kuendelea kudumisha amani iliyopo kwani kuna nchi nyingine zinamatatizo hata hawawezi kupata nafasi ya kuhudhuria ibada kutokana na vita vya wenyewe kwa wenyewe.Mama Tunu Pinda akinunua sanamu ya mfano wa Bikira Maria ambayo ilikwa inauzwa katika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani