Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mama Pinda akisalimiana na mke wa Waziri Mkuu wa Japan

PG4A6003

Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda akisalimiana na Mke wa Waziri Mkuu wa Japan, Mama Akie Abe  katika hafla iliyoandaliwa na Waziri Mkuu wa Japan Shinzo Abe kwa washiriki wa Mkutano wa tatu wa dunia  kuhusu upunguzaji wa hatari ya majanga duniani ulioanza machi 14 katika mji wa Sendai Japan. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

MAMA WA MKE WA WAZIRI MKUU TUNU PINDA AZIKWA JIJINI DAR

 Mke wa Rais Mama Salma Kikwete  akimfariji Mke wa Waziri Mkuu, mama Tunu Pinda (kuhosto) ambaye alifiwa na Mama yake , Hajjat Pili Mlolwa Rehani, nyumbani wa marehemu, Tanata Magengeni jijini Dar es salaam Septemba 17, 2015. Kuliani  Mama Hasina Kawawa. Makamu wa Rais,Dkt. Mohamed Bilal akimfariji mke wa Waziri Mkuu,Mama Tunu Pinda wakati alipokwenda Tabata magengeni jijini Dar es salaam, nyumbani kwa marehemu, Hajjat Pili Mlolwa Rehani   ambaye ni mama wa Mama Tunu, aliyefariki...

 

9 years ago

GPL

MAMA WA MKE WA WAZIRI MKUU TUNU PINDA AZIKWA JIJINI DAR

Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akimfariji Mke wa Waziri Mkuu, mama Tunu Pinda (kushoto) ambaye alifiwa na Mama yake , Hajjat Pili Mlolwa Rehani, nyumbani kwa marehemu, Tabata Magengeni jijini Dar es salaam Septemba 17, 2015. Kuliani Mama Hasina Kawawa. Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda akiwa na Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Sophia Simba Wapili kushoto na Mama Hasina Kawawa waliokwenda kumfariji kufuatia kifo...

 

11 years ago

Michuzi

Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akutana na Naibu Waziri Mwandamizi wa Mambo ya Nje wa Japan

Waziri Mkuu Mizengo Pinda akisalimiana na Naibu Waziri Mwandamizi wa Mambo ya Nje wa Japan Norio Mitsuya alipomtembelea ofisini kwake jana . Waziri Mkuu Mizengo Pinda akibadilishana mawazo na Naibu Waziri Mwandamizi wa Mambo ya Nje wa Japan Norio Mitsuya alipomtembelea ofisini kwake jana. Picha zote na Ofisi ya Waziri Mkuu.

 

10 years ago

Dewji Blog

Mheshimiwa Waziri Mkuu Pinda na mkewe wawasili Japan

PG4A5716

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana  na Balozi Mteule wa Japan nchini Tanzania, Mhe. Masahiro Yoshida kwenye Hoteli ya New Otani jijini Tokyo  Machi 13, 2015 ambako Machi 14, 2015 anatarajiwa kumwakilisha Rais Jakaya Kikwete katika Mkutano Kuhusu namna ya kukabiliana na maafa  utakaofanyika Sendai. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu). PG4A5728 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Balozi Mteule wa Japan Nchini Tanzania, Mhe. Masahiro Yoshida kwenye Hoteli ya New Otani jijini Tokyo  Machi 13,...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU,MIZENGO PINDA AHITIMISHA ZIARA YAKE NCHINI JAPAN

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na ujumbe wake wakizungumza na Viongozi wa kampuni ya Japan ya kuengeneza vifaa vya mawasiliano ya simu ya NEC ambayo inashirikiana na Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) katika suala la ufundi na vifaa, wakati alipotembelea Ofisi za Kampuni hiyo jijini Tokyo Machi 18, 2015. Kulia kwake ni Mwenyekiti wa Bodi ya NEC Kaono Yono.Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimkabidhi zawadi ya kinyago Mwenyekiti wa Bodi ya Kampuni ya kutengeneza vifaa vya mawasiliano ya simu, Kaono...

 

11 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA CCM,KINANA AMTEMBELEA MAMA YAKE MZAZI WAZIRI MKUU PINDA MKOANI KATAVI LEO

 Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Mama Mzazi wa Waziri Mkuu,Mh Pinda, mapema mchana huu nyumbani kwake,Katika kijiji cha Kibaoni Wilaya Mlela mkoani Katavi,alipokwenda kumtembelea na kumjulia hali. Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza jambo na Mama Mzazi wa Waziri Mkuu,Mh Pinda, mapema mchana huu nyumbani kwake,Katika kijiji cha Kibaoni Wilaya Mlele mkoani Katavi,alipokwenda kumtembelea na kumjulia hali.Kinana yuko Mkoani Katavi kwa ziara ya...

 

10 years ago

Vijimambo

Waziri Mkuu Mizengo Pinda Ahani Msiba wa wa mtoto wa Mama Kyendesya

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimfariji mbunge wa zamani wa Viti Maalum, Florence Kyendesya  wakati alipokwenda nyumbani kwa mbunge huyo  kuhani msiba wa mtoto wa  Mama Kyendesya,  Machi2, 2015.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

 

10 years ago

Dewji Blog

Mama Pinda na wanaharakati wa amani wa JAPAN

PG4A6333

Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda akizungumza na Mtafiti Mwandamizi wa Taasisi ya INSTITUTE FOR PEACE POLITICIES  ya Japan, Yoshihiro Yamazaki  (kulia) na Katibu Mkuu wa tasisi ya amani ya Universal Peace Federation ya Japan, Seiichi Kikuya katika chakula cha jioni alichoandaliwa na Tasisi hiyo kwenye hoteli ya New Otani jijini Tokyo Machi 16, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

PG4A6335

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani