Mama Pinda na wanaharakati wa amani wa JAPAN
Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda akizungumza na Mtafiti Mwandamizi wa Taasisi ya INSTITUTE FOR PEACE POLITICIES ya Japan, Yoshihiro Yamazaki (kulia) na Katibu Mkuu wa tasisi ya amani ya Universal Peace Federation ya Japan, Seiichi Kikuya katika chakula cha jioni alichoandaliwa na Tasisi hiyo kwenye hoteli ya New Otani jijini Tokyo Machi 16, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog14 Mar
Mama Pinda akisalimiana na mke wa Waziri Mkuu wa Japan
Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda akisalimiana na Mke wa Waziri Mkuu wa Japan, Mama Akie Abe katika hafla iliyoandaliwa na Waziri Mkuu wa Japan Shinzo Abe kwa washiriki wa Mkutano wa tatu wa dunia kuhusu upunguzaji wa hatari ya majanga duniani ulioanza machi 14 katika mji wa Sendai Japan. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
11 years ago
Mtanzania11 Aug
Mama Pinda: Wanawake wote tunataka amani
Mke wa Waziri Mkuu Mizengo Pinda, Mama Tunu Pinda
NA MWANDISHI WETU, SEOUL
MKE wa Waziri Mkuu Mizengo Pinda, Mama Tunu Pinda, amesema wanawake wote duniani wanalilia amani na hawapendi vita wala machafuko kwani husababisha amani kutoweka.
Mama Pinda alitoa wito huo jana wakati akitoa mada kama mzungumzaji mkuu kwenye mkutano wa dunia wa siku tano ulioanza Seoul, Korea Kusini jana.
Mkutano huo ambao umeandaliwa na Taasisi ya Universal Peace Federation (UPF) ambayo inatoa ushauri kwenye Baraza...
11 years ago
MichuziWANAWAKE WOTE DUNIANI TUNALILIA AMANI - MAMA PINDA
Ametoa wito huo leo mchana (Jumapili, Agosti 10, 2014) wakati akitoa mada kama mzungumzaji mkuu (keynote speaker) kwenye Mkutano wa Dunia wa siku tano ulioanza leo jijini Seoul, Korea Kusini.
Mkutano huo ambao umeandaliwa na taasisi ya Universal Peace Federation (UPF) ambayo inatoa ushauri kwenye...
10 years ago
MichuziMama Tunu Pinda atunukiwa Cheti cha Ubalozi wa Amani Duniani
10 years ago
MichuziMAMA TUNU PINDA AYAOMBA MADHEHEBU YOTE NCHINI KUIOMBEA AMANI TANZANIA
10 years ago
Dewji Blog13 Aug
Mama Tunu Pinda aula kuwa Balozi wa Amani Duniani jijini Seoul, Korea Kusini
Mke wa Waziri Mkuu Mama Tunu Pinda akiwa na Rais wa Universal Peace Federation (UPF), Dk. Thomas Walsh (kushoto) na Mwenyekiti wa UPF, Dk. Charles Yang mara baada ya kutunukiwa cheti cha kumtambua kama Balozi wa Amani Duniani katika hafla ya kufunga Mkutano wa Dunia kuhusu Amani na Usalama uliomalizika jana usiku (Agosti 12, 2014) jijini Seoul, Korea Kusini. (PICHA NA IRENE BWIRE WA OWM).
Mke wa Waziri Mkuu Mama Tunu Pinda (wa pili kulia mstari wa mbele) katika picha ya pamoja viongozi...
11 years ago
Michuzimama pinda katika mkutano wa Dunia wa masuala ya Amani, Usalama na Maendeleo jijini Seoul, Korea Kusini.
11 years ago
MichuziMAMA TUNU PINDA ASHIRIKI MKUTANO WA DUNIA KUHUSU AMANI NA USALAMA JIJINI SEOUL,KOREA KUSINI
11 years ago
Dewji Blog11 Aug
Mama Tunu Pinda ahudhuria mkutano wa dunia kuhusu Amani na Usalama jijini Seoul, Korea Kusini
Mke wa Waziri Mkuu Mama Tunu Pinda akitambulishwa wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Dunia kuhusu Amani na Usalama ulioanza leo (Agosti 10, 2014) jijini Seoul, Korea Kusini. Wengine kutoka kushoto ni Mke wa Rais wa visiwa vya Marshall, Bibi Lieom Anono Loeak, Rais wa WFWP (International), Prof. Yeon Choi Moon, Waziri Mkuu wa Timor Mashariki, Xanana Gusmao na mke wa Rais wa visiwa vya Samoa, Bibi Filifilia Tamasese (PICHA NA IRENE BWIRE WA OWM).
Mke wa Waziri Mkuu Mama Tunu Pinda akiwa na...