Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DK. BILAL, PINDA WAONGOZA MAMIA KATIKA MAZIKO YA WAZIRI KOMBANI MORO

Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiweka udongo katika kaburi la marehemu Kombani. Spika wa Bunge, Anne Makinda akiweka udongo katika kaburi la marehemu Celina Kombani. Nyuma yake ni Samia Suluhu. Mama Salma Kikwete naye akiweka udongo kwenye kaburi la Kombani.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

MAMIA YA WAOMBOLEZAJI WAJITOKEZA KATIKA MAZIKO YA MWANDISHI WA TBC SAMWELI CHAMULOMO

Waziri wa Habari, Utamaduni, Vijana na Michezo, DKt. Fenella Mukangara akizungumza katika ibada ya kumwombea marehemu Samweli Chamulomo iliyofanyika nyumbani kwa marehemu, eneo la Mlezi, Dodoma, Mei 20, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri wa Habari, Utamaduni, Vijana na Michezo, DKt. Fenella Mukangara akitoa heshima za mwisho kwa marehemu Samweli Chamulomo baada ya ibada ya kumwombea marehemu iliyofanyika nyumbani kwa marehemu, eneo la Mlezi, Dodoma, Mei 20, 2015.Mke wa Waziri...

 

9 years ago

Mwananchi

Waziri Kombani azikwa, Pinda aongoza mazishi

Waziri Mkuu Mizengo Pinda leo ameongoza umati wa wakazi wa Mkoa wa Morogoro na viunga vyake  katika kuuaga mwili wa aliyekuwa Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais,Menejimenti ya Utumushi wa Umma, Celina Kombani kwenye Uwanja wa Jamhuri mjini hapa. 

 

9 years ago

Dewji Blog

Waziri Mkuu Pinda ashiriki mazishi ya KOMBANI mjini Morogoro

IMGS4381

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na mkewe Tunu wakitoa heshima za mwisho kwa Aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Utumishi, Celina Kombani katika sala iliyofanyika kwenye uwanja wa jamhuri Mjini Morogoro Septemba 29, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

IMGS4462

Makamu wa Rais, Dr. Mohammed Ghalib Bilal akisalimiana na Waziri Mkuu, Mizengo Pind katika mazishi ya aliyekuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi, Celina Kombani yaliyofanyika Shambani kwa marehemu nje kidogo ya mji wa  Morogoro Septemba...

 

9 years ago

Vijimambo

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL ASAINI KITABU CHA MAOMBOLEZOKUFUATIA KIFO CHA WAZIRI CELINA KOMBANI MIKOCHENI

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Mohammed Gharib Bilal,  akisaini kitabu cha kumbukumbu ya maombolezo kufuatia kifo cha Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma Mhe. Celina Kombani kilichotoke Nchini India juzi, wakati Makamu wa Rais alipokwenda nyumbani kwa marehemu Mikocheni.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Mohammed Gharib Bilal,  akifariji watoto wa Familia ya Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa...

 

9 years ago

Vijimambo

MAKAMU WA RAIS DK. BILAL AONGOZA MAZISHI YA WAZIRI WA NCHI OFISI YA RAIS MENEJIMENTI YA TUMISHI WA UMMA MAREHEMU CELINA KOMBANI LEO

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dk. Mohammed Gharib Bilal, akiweka Udongo kwenye kaburi la Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma marehemu Celina Kombani wakati wa mazishi yake yaliyofanyika leo shambani kwake katika kijiji cha Lukobe mkoani Morogoro. (Picha na OMR)Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dk. Mohammed Gharib Bilal, akiweka Shada la maua kwenye kaburi la Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma...

 

11 years ago

Habarileo

Kikwete aongoza mamia maziko ya Liundi

RAIS Jakaya Kikwete jana aliongoza mamia ya waombolezaji katika kuuaga na maziko ya Msajili wa Kwanza wa Vyama vya siasa, George Liundi aliyeelezewa kuwa msingi wa Demokrasia nchini. Aidha, baadhi ya wanasiasa wamemwelezea Liundi kuwa muasisi wa Demokrasia, ambaye misingi yake haiwezi kuvunjika, ambaye wakati akiwa Msajili alifuata sheria na taratibu bila kuyumbishwa.

 

11 years ago

Habarileo

Dk Bilal aongoza maziko ya RC wa Mara

MAKAMU wa Rais Dk Mohamed Gharib Bilal ameongoza maziko ya aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mara , John Tuppa yaliyofanyika nyumbani kwake mjini Kilosa ambapo pia yalihudhuriwa na Waziri Mkuu , Mizengo Pinda, mawaziri pamoja na wakuu wa mikoa mbalimbali nchini.

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS WA ZANZIBAR AONGOZA MAMIA YA WAOMBOLEZAJI KWENYE MAZIKO YA WANA CCM WALIOPATA AJALI JANA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akitia udongo katika kaburi la Marehemu Bi Mwanaidi Zamir Haji miaka 28 mkaazi wa Magogoni Mjini Unguja aliyefariki kwa ajali ya gari iliyopinduka huko Mtowapwani Kaskazini jana na kuzikwa leo katika makaburi ya Mwanakwerekwe.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akishiriki katika swala ya maiti kumswalia Bi Mwanaidi Zamir Haji miaka 28 mkaazi wa Magogoni Mjini...

 

10 years ago

Michuzi

Dkt. Shein aongoza mamia ya waombolezaji kwenye Maziko ya WANA CCM Waliopata ajali jana

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akishiriki katika swala ya maiti kumswalia Bi Mwanaidi Zamir Haji miaka 28 mkaazi wa Magogoni Mjini Unguja katika msikiti wa marehemu aliyefariki kwa ajali ya gari iliyopinduka huko Mtowapwani Kaskazini jana.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akitia udongo katika kaburi la Marehemu Bi Mwanaidi Zamir Haji miaka 28 mkaazi wa Magogoni Mjini Unguja aliyefariki kwa ajali...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani