Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RAIS WA ZANZIBAR AONGOZA MAMIA YA WAOMBOLEZAJI KWENYE MAZIKO YA WANA CCM WALIOPATA AJALI JANA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akitia udongo katika kaburi la Marehemu Bi Mwanaidi Zamir Haji miaka 28 mkaazi wa Magogoni Mjini Unguja aliyefariki kwa ajali ya gari iliyopinduka huko Mtowapwani Kaskazini jana na kuzikwa leo katika makaburi ya Mwanakwerekwe.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akishiriki katika swala ya maiti kumswalia Bi Mwanaidi Zamir Haji miaka 28 mkaazi wa Magogoni Mjini...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Dkt. Shein aongoza mamia ya waombolezaji kwenye Maziko ya WANA CCM Waliopata ajali jana

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akishiriki katika swala ya maiti kumswalia Bi Mwanaidi Zamir Haji miaka 28 mkaazi wa Magogoni Mjini Unguja katika msikiti wa marehemu aliyefariki kwa ajali ya gari iliyopinduka huko Mtowapwani Kaskazini jana.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akitia udongo katika kaburi la Marehemu Bi Mwanaidi Zamir Haji miaka 28 mkaazi wa Magogoni Mjini Unguja aliyefariki kwa ajali...

 

11 years ago

GPL

RAIS KIKWETE AONGOZA MAMIA YA WAOMBOLEZAJI KATIKA MAZISHI YA DKT WILLIAM MGIMWA

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa ameongozana na mkewe Mama Salma Kikwete akiweka udongo kaburini wakati wa mazishi ya aliyekuwa Waziri wa Fedha na Mbunge wa Kalenga Marehemu William Mgimwa kijijini kwake Magunga jimbo la Kalenga, Iringa, leo Desemba 6, 2014.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na mkewe Mama Salma Kikwete wakiweka shada la maua  wakati wa mazishi ya aliyekuwa Waziri wa Fedha na Mbunge wa Kalenga...

 

10 years ago

Vijimambo

MAMIA YA WAOMBOLEZAJI WAJITOKEZA KATIKA MAZIKO YA MWANDISHI WA TBC SAMWELI CHAMULOMO

Waziri wa Habari, Utamaduni, Vijana na Michezo, DKt. Fenella Mukangara akizungumza katika ibada ya kumwombea marehemu Samweli Chamulomo iliyofanyika nyumbani kwa marehemu, eneo la Mlezi, Dodoma, Mei 20, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri wa Habari, Utamaduni, Vijana na Michezo, DKt. Fenella Mukangara akitoa heshima za mwisho kwa marehemu Samweli Chamulomo baada ya ibada ya kumwombea marehemu iliyofanyika nyumbani kwa marehemu, eneo la Mlezi, Dodoma, Mei 20, 2015.Mke wa Waziri...

 

10 years ago

Michuzi

DKT. SHEIN AONGOMA MAMIA YA WAOMBOLEZAJI KWENYE MAZISHI YA MAREHEMU IDDI PANDU HASSAN,ZANZIBAR

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (wa nnne kulia) akiwepo na Rais Mstaafu wa Zanzibar DK.Amani Abeid Karume wakijumuika na waisalmu katika kumswalia Marehemu aliyekua Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Iddi Pandu Hassan katika Msikiti wa Mchekeni Magomeni Mjini Zanzibar leo na Kuzikwa kijijini kwao Makunduchi. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein na Makamo wa Rais wa Jamhuri ya...

 

11 years ago

Habarileo

Kikwete aongoza mamia maziko ya Liundi

RAIS Jakaya Kikwete jana aliongoza mamia ya waombolezaji katika kuuaga na maziko ya Msajili wa Kwanza wa Vyama vya siasa, George Liundi aliyeelezewa kuwa msingi wa Demokrasia nchini. Aidha, baadhi ya wanasiasa wamemwelezea Liundi kuwa muasisi wa Demokrasia, ambaye misingi yake haiwezi kuvunjika, ambaye wakati akiwa Msajili alifuata sheria na taratibu bila kuyumbishwa.

 

10 years ago

Michuzi

Rais wa Zanzibar aongoza waombolezaji katika mazishi ya Dkt. Omar Makame Shauri

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,(wa tatu kulia akijumuika na Viongozi na Waislamu mbali mbali katika kumswalia aliyekuwa katibu Mkuu Wizara ya Afya na Mkurugenzi Mtendaji wa Tume ya Ukimwi Zanzibar Marehemu Dkt.Omar Makame Shauri katika Msikiti wa Kidombo Wilaya ya Kaskazini A Unguja kabla ya mazishi yake leo. Baadhi ya wananchi na Waumini wa Dini ya Kiislamu wakilibeba jeneza la aliyekuwa katibu Mkuu Wizara ya Afya na Mkurugenzi Mtendaji wa...

 

9 years ago

Vijimambo

Rais Kikwete aongoza maelfu ya waombolezaji kwenye mazishi ya Dkt AbdallahKigoda mjini Handeni, Tanga

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili nyumbani kwa aliyekuwa Waziri wa Viwanda na Biashara Marehemu Dkt Abdallah Kigoda mjini Handeni Alhamisi Oktoba 15, 2015 kuongoza mamia ya waombolezaji katika mazishi ya Waziri huyo aliyekuwa pia Mbunge wa Handeni kwa zaidi ya miongo miwili. PICHA ZOTE NA IKULU   Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka sahihi kwenye kitabu cha maombolezo  nyumbani kwa aliyekuwa Waziri wa Viwanda na Biashara Marehemu Dkt Abdallah Kigoda mjini Handeni Alhamisi Oktoba 15, 2015...

 

5 years ago

Michuzi

RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN AONGOZA DUA YA KUMUOMBEA RAIS WA KWANZA WA ZANZIBAR MAREHEMU MZEE ABEID AMANI KARUME ILIOFANYIKA VIWANJA VYA AFISI KUU YA CCM ZANZIBAR

VIONGOZI wa Madhehemu  (kushoto) Askofu wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Zanzibar. Hafidh Michael na Kiongozi wa Madhehebu ya Hindu Zanzibar. Pramuk  Yoges  wakielekea katika eneo la kaburi la Marehemu Mzee Abeid Amani Karume, kwa ajili ya  kumuombea dua iliofanyika leo katika kaburi la marehemu viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui.RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akihudhuria hafla ya dua ya kumuombea Marehemu Mzee Abeid Amani...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani