Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kikwete aongoza mamia maziko ya Liundi

RAIS Jakaya Kikwete jana aliongoza mamia ya waombolezaji katika kuuaga na maziko ya Msajili wa Kwanza wa Vyama vya siasa, George Liundi aliyeelezewa kuwa msingi wa Demokrasia nchini. Aidha, baadhi ya wanasiasa wamemwelezea Liundi kuwa muasisi wa Demokrasia, ambaye misingi yake haiwezi kuvunjika, ambaye wakati akiwa Msajili alifuata sheria na taratibu bila kuyumbishwa.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

RAIS KIKWETE AONGOZA MAMIA KUAGA MWILI WA MAREHEMU GEORGE LIUNDI KARIMJEE JIJINI DAR

Rais Jakaya Kikwete akiwasili Viwanja vya Karimjee kuaga mwili wa marehemu George Liundi. Jeneza lenye mwili wa marehemu Bakari George Liundi likiwa mbele ya waombolezaji.…

 

10 years ago

Michuzi

Dkt. Shein aongoza mamia ya waombolezaji kwenye Maziko ya WANA CCM Waliopata ajali jana

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akishiriki katika swala ya maiti kumswalia Bi Mwanaidi Zamir Haji miaka 28 mkaazi wa Magogoni Mjini Unguja katika msikiti wa marehemu aliyefariki kwa ajali ya gari iliyopinduka huko Mtowapwani Kaskazini jana.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akitia udongo katika kaburi la Marehemu Bi Mwanaidi Zamir Haji miaka 28 mkaazi wa Magogoni Mjini Unguja aliyefariki kwa ajali...

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS WA ZANZIBAR AONGOZA MAMIA YA WAOMBOLEZAJI KWENYE MAZIKO YA WANA CCM WALIOPATA AJALI JANA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akitia udongo katika kaburi la Marehemu Bi Mwanaidi Zamir Haji miaka 28 mkaazi wa Magogoni Mjini Unguja aliyefariki kwa ajali ya gari iliyopinduka huko Mtowapwani Kaskazini jana na kuzikwa leo katika makaburi ya Mwanakwerekwe.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akishiriki katika swala ya maiti kumswalia Bi Mwanaidi Zamir Haji miaka 28 mkaazi wa Magogoni Mjini...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Rais Kikwete aongoza mazishi ya Liundi

RAIS Jakaya Kikwete amewaongoza waombolezaji wakiwemo mawaziri na viongozi mbalimbali wa serikali na wa kidini kutoa heshima zao za mwisho kwa aliyekuwa Msajili wa kwanza wa Vyama vya Siasa nchini,...

 

9 years ago

Mwananchi

Kikwete aongoza mamia kumzika Kigoda

Rais Jakaya Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete jana, waliwaongoza mamia ya wananchi kwenye mazishi ya aliyekuwa Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk Abdallah Kigoda.

 

11 years ago

Habarileo

Kikwete aongoza mamia kumuaga Balozi Kazaura

RAIS Jakaya Kikwete na Makamu wa Rais, Dk Mohamed Gharib Bilal jana waliongoza mamia ya viongozi wa Serikali, mabalozi wa nchi mbalimbali na wanataaluma, kuaga mwili wa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Balozi Fulgence Kazaura.

 

10 years ago

Mwananchi

Kikwete aongoza mamia kuuaga mwili wa Dk Shija

Mwili wa aliyekuwa katibu Mkuu wa Umoja wa Mabunge ya Jumuiya ya Madola (CPA), Dk William Shija aliyefariki Oktoba 4 katika Hospitali ya Charring Cross mjini London, Uingereza, umeagwa jana jijini Dar es Salaam na mamia ya waombolezaji.

 

11 years ago

Mwananchi

Kikwete aongoza mamia mazishi ya mbunge wa Chalinze Bagamoyo

Dar es Salaam. Rais Jakaya Kikwete aliyekatisha ziara yake nchini Uswisi, ameongoza mamia ya waombolezaji katika mazishi ya Mbunge wa Chalinze, Said Ramadhani Bwanamdogo yaliyofanyika kijijini kwao Miono mjini Bagamoyo jana.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani