Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kikwete aongoza mamia kumuaga Balozi Kazaura

RAIS Jakaya Kikwete na Makamu wa Rais, Dk Mohamed Gharib Bilal jana waliongoza mamia ya viongozi wa Serikali, mabalozi wa nchi mbalimbali na wanataaluma, kuaga mwili wa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Balozi Fulgence Kazaura.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

RC aongoza mamia kumuaga Tyson

MAMIA ya wakazi wa Jiji la Dar es Salaam wakiongozwa na Mkuu wa Mkoa (RC), Said Meck Sadik, jana walijitokeza kwenye viwanja vya Leaders Kinondoni kutoa heshima za mwisho kwa...

 

10 years ago

Mwananchi

Pinda aongoza mamia kumuaga Makame

Waziri Mkuu Mizengo Pinda ameongoza mamia ya waombolezaji kuuaga mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti wa Kwanza wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi(Nec), Jaji Mstaafu Lewis Makame.

 

9 years ago

Mtanzania

Bilal aongoza mamia kumuaga Mchungaji Mtikila

LTUNU NASSOR NA KOKU DAVID, DAR ES SALAAM

MAKAMU wa Rais, Dk. Mohamed Gharib Bilal, jana ameongoza mamia ya wakazi wa Jiji la Dar es Salaam kuaga mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Democratic (DP), marehemu Mchungaji Christopher Mtikila.

Akizungumza baada ya jeneza la mwili wa Mchungaji Mtikila kuwasili kwenye Ukumbi wa Karimjee, Dk. Bilal alisema Mchungaji Mtikila alikuwa mtu jasiri na aliyependa kushirikiana na wenzake na kuheshimu mawazo ya wengine.

Alisema mchango wake, ulionyesha...

 

10 years ago

Habarileo

Pinda aongoza mamia kumuaga Jaji Makame

MAMIA ya watu wakiwemo viongozi wa nyanja mbalimbali nchini, jana walijitokeza kuuaga mwili wa Jaji mstaafu, Lewis Makame kwenye viwanja vya Karimjee, Dar es Salaam, huku sifa za utendaji wakati wa utumishi wake zikitawala shughuli hiyo.

 

11 years ago

Mwananchi

Mamia wamuaga Balozi Kazaura Dar es Salaam

Rais Mstaafu, Benjamin Mkapa alikuwa miongoni mwa maelfu ya waombolezaji waliofika katika ibada ya kuaga mwili wa Balozi, Fulgence Kazaura aliyefariki dunia mwishoni mwa wiki akiwa katika matibabu nchini India.

 

11 years ago

Habarileo

Kikwete aongoza mamia maziko ya Liundi

RAIS Jakaya Kikwete jana aliongoza mamia ya waombolezaji katika kuuaga na maziko ya Msajili wa Kwanza wa Vyama vya siasa, George Liundi aliyeelezewa kuwa msingi wa Demokrasia nchini. Aidha, baadhi ya wanasiasa wamemwelezea Liundi kuwa muasisi wa Demokrasia, ambaye misingi yake haiwezi kuvunjika, ambaye wakati akiwa Msajili alifuata sheria na taratibu bila kuyumbishwa.

 

9 years ago

Mwananchi

Kikwete aongoza mamia kumzika Kigoda

Rais Jakaya Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete jana, waliwaongoza mamia ya wananchi kwenye mazishi ya aliyekuwa Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk Abdallah Kigoda.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani