Pinda aongoza mamia kumuaga Makame
Waziri Mkuu Mizengo Pinda ameongoza mamia ya waombolezaji kuuaga mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti wa Kwanza wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi(Nec), Jaji Mstaafu Lewis Makame.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo23 Aug
Pinda aongoza mamia kumuaga Jaji Makame
MAMIA ya watu wakiwemo viongozi wa nyanja mbalimbali nchini, jana walijitokeza kuuaga mwili wa Jaji mstaafu, Lewis Makame kwenye viwanja vya Karimjee, Dar es Salaam, huku sifa za utendaji wakati wa utumishi wake zikitawala shughuli hiyo.
11 years ago
Tanzania Daima05 Jun
RC aongoza mamia kumuaga Tyson
MAMIA ya wakazi wa Jiji la Dar es Salaam wakiongozwa na Mkuu wa Mkoa (RC), Said Meck Sadik, jana walijitokeza kwenye viwanja vya Leaders Kinondoni kutoa heshima za mwisho kwa...
11 years ago
Habarileo28 Feb
Kikwete aongoza mamia kumuaga Balozi Kazaura
RAIS Jakaya Kikwete na Makamu wa Rais, Dk Mohamed Gharib Bilal jana waliongoza mamia ya viongozi wa Serikali, mabalozi wa nchi mbalimbali na wanataaluma, kuaga mwili wa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Balozi Fulgence Kazaura.
9 years ago
Mtanzania08 Oct
Bilal aongoza mamia kumuaga Mchungaji Mtikila
TUNU NASSOR NA KOKU DAVID, DAR ES SALAAM
MAKAMU wa Rais, Dk. Mohamed Gharib Bilal, jana ameongoza mamia ya wakazi wa Jiji la Dar es Salaam kuaga mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Democratic (DP), marehemu Mchungaji Christopher Mtikila.
Akizungumza baada ya jeneza la mwili wa Mchungaji Mtikila kuwasili kwenye Ukumbi wa Karimjee, Dk. Bilal alisema Mchungaji Mtikila alikuwa mtu jasiri na aliyependa kushirikiana na wenzake na kuheshimu mawazo ya wengine.
Alisema mchango wake, ulionyesha...
10 years ago
MichuziMH. PINDA AONGOZA WAOMBOLEZAJI KUTOA HESHIMA ZA MWISHO KWA JAJI MAKAME
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na jaji Mkuu Mohamed Chande Othman (kulia) na Mawaziri...
10 years ago
Dewji Blog23 Aug
Pinda aongoza waombolezaji kutoa heshima za mwisho kwa Jaji Makame
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimian na Mawaziri Wakuu, Wastaafu, Frederick Sumaye na Jaji Joseph Warioba (wapili kulia) kabla ya kuzungumza kwa niaba ya serikali na kutoa heshima za mwisho kwa Mwenyekiti Mstaafu wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, marehemu Jaji Lewis Makame kwenye ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam August 22, 2014. Kulia ni jaji Mkuu wa Tanzania, Mohamed Chande Othman. Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na jaji Mkuu Mohamed...
10 years ago
VijimamboMAMIA YA WAOMBOLEZAJI WAJITOKEZA KUMUAGA BIBI MAGDALENA PETRO MAGIGE
Padri Valence Matungwa akitoa somo wakati wa misa maalum ya kumuaga marehemu Magdalena Petro Magige,Mikocheni jijini Dar es...
9 years ago
Habarileo08 Oct
JK aongoza maelfu kumuaga Mchungaji Mtikila
RAIS Jakaya Kikwete ameongoza mamia ya waombolezaji pamoja na viongozi wa kitaifa, katika kumuaga Mwenyekiti wa Chama cha DP, Mchungaji Christopher Mtikila aliyekufa kwa ajali hivi karibuni mkoani Pwani.
10 years ago
Dewji Blog28 Jun
Mamia wajitokeza viwanja vya Leaders Club Jijini Dar kumuaga Mhariri Edson Kamukara
Waombolezaji wakiwa wamebeba jeneza lenye mwili wa Mhariri wa Kampuni ya Mwanahalisi, Edson Kamukara wakati ulipowasili viwanja vya Leaders Club Dar es Salaam jana asubuhi, kwa ajili ya kuagwa. Kamukara alifariki dunia juzi na mazishi yake yanatarajia kufanyika nyumbani kwao Muleba mkoani Kagera.
Mwenyekiti wa Umoja wa Wamiliki wa Vyombo vya Habari Tanzania (MOAT), Reginald Mengi (katikati), akiwa na Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk.Wilibrod Slaa kwenye...