Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAMIA YA WAOMBOLEZAJI WAJITOKEZA KUMUAGA BIBI MAGDALENA PETRO MAGIGE

Jeneza lililobeba mwili wa marehemu Magdalena Petro Magige likiteremshwa kutoka kwenye gari tayari kwa kutoa heshima ya mwisho kabla ya safari ya kwenda kuupumzisha kijiji cha Kamange,Tarime mkani Mara. Ndugu , Jamaa na marafiki waliojitokeza kuja kutoa heshima za mwisho kwa mpendwa wao Bibi Magdalena Petro Magige aliyefariki tarehe 19 Aprili jijini Dar es Salaam.
 Padri Valence Matungwa akitoa somo wakati wa misa maalum ya kumuaga marehemu Magdalena Petro Magige,Mikocheni jijini Dar es...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

majonzi yatawala wakati wa kumuaga BIBI MAGDALENA PETRO MAGIGE

  Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi Tanzania (JWTZ) mstaafu, Jenerali George Mwita Waitara akitoa heshima za mwisho kwa marehemu Magdalena Petro Magige. Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akitoa heshima za mwisho kwa marehemu Magdalena Petro Magige kilichotokea tarehe 19 Aprili 2015, jijini Dar es salaam. Mzee Galius Abeid akitoa heshima za mwisho kwa marehemu Magdalena Petro Magige. Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akifunga jeneza la marehemu Magdalena Petro Magige.

 

10 years ago

Vijimambo

MAMIA YA WAOMBOLEZAJI WAJITOKEZA KATIKA MAZIKO YA MWANDISHI WA TBC SAMWELI CHAMULOMO

Waziri wa Habari, Utamaduni, Vijana na Michezo, DKt. Fenella Mukangara akizungumza katika ibada ya kumwombea marehemu Samweli Chamulomo iliyofanyika nyumbani kwa marehemu, eneo la Mlezi, Dodoma, Mei 20, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri wa Habari, Utamaduni, Vijana na Michezo, DKt. Fenella Mukangara akitoa heshima za mwisho kwa marehemu Samweli Chamulomo baada ya ibada ya kumwombea marehemu iliyofanyika nyumbani kwa marehemu, eneo la Mlezi, Dodoma, Mei 20, 2015.Mke wa Waziri...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mamia wajitokeza viwanja vya Leaders Club Jijini Dar kumuaga Mhariri Edson Kamukara

Waombolezaji wakiwa wamebeba jeneza lenye mwili wa Mhariri wa Kampuni ya Mwanahalisi, Edson Kamukara wakati ulipowasili viwanja vya Leaders Club Dar es Salaam jana asubuhi, kwa ajili ya kuagwa. Kamukara alifariki dunia juzi na mazishi yake yanatarajia kufanyika nyumbani kwao Muleba mkoani Kagera.

Mwenyekiti wa Umoja wa Wamiliki wa Vyombo vya Habari Tanzania (MOAT), Reginald Mengi (katikati), akiwa na Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk.Wilibrod Slaa kwenye...

 

10 years ago

GPL

MAMIA WAJITOKEZA VIWANJA VYA LEADERS CLUB JIJINI DAR ES SALAAM KUMUAGA MHARIRI EDSON KAMUKARA

 Waombolezaji wakiwa wamebeba jeneza lenye mwili wa Mhariri wa Kampuni ya Mwanahalisi, Edson Kamukara wakati ulipowasili viwanja vya Leaders Club Dar es Salaam leo asubuhi, kwa ajili ya kuagwa. Kamukara alifariki dunia juzi na mazishi yake yanatarajia kufanyika nyumbani kwao Muleba mkoani Kagera.…

 

10 years ago

Michuzi

MAMIA YA WAUGUZI DAR ES SALAAM NA BAADHI YA MIKOA WAJITOKEZA KUMUAGA OFISA MKUU WA WIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII MAREHEMU CLAVERY MPANDANA

Sehemu ya Wauguzi wa Jijini Dar es Salaam na wale wa kutoka mikoa ya jirani wakiwa wamejumuika pamoja kuongoza jeneza lenye mwili wa aliyekuwa  Ofisa Muuguzi Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Clavery Mpandana,aliefariki dunia hivi karibuni katika Hospitali ya Taifa Muhimbili kabla ya kwenda kuzikwa kwenye makaburi ya Kinondoni,jijini Dar es salaam. Mkurugenzi wa Uuguzi Agnes Mtawa, (kushoto ) akiwa anaanzisha wimbo katika kumuaga  Ofisa Muuguzi Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa...

 

11 years ago

Michuzi

TAARIFA YA MSIBA WA BIBI MAGDALENA ONGUKA ALLONGA (MEME)

KWA NIABA YA FAMILIA YA MZEE JOHN ALLONGA WA BUTURI RORYA, NAPENDA KUWAJULISHA NDUGU JAMAA NA MARAFIKI WOTE KUWA BIBI YETU MPENDWA MAGDALENA ONGUKA(MEME) AMEAGA DUNIA TAREHE 5.2.2014 KATIKA KIJIJI CHA BUTURI AKIWA NA UMRI WA MIAKA 108 MIPANGO YA MAZISHI YANAFANYIKA KIJIJINI BUTURI, BIBI AMEACHA WATOTO WANNE, WAJUKUU 35 NA VITUKUU 42.
TUTAPEANA TAARIFA YA TARATIBU ZITAKAVYOKUWA
Michael G.Allonga Mjukuu wa Marehemu

 

11 years ago

Tanzania Daima

RC aongoza mamia kumuaga Tyson

MAMIA ya wakazi wa Jiji la Dar es Salaam wakiongozwa na Mkuu wa Mkoa (RC), Said Meck Sadik, jana walijitokeza kwenye viwanja vya Leaders Kinondoni kutoa heshima za mwisho kwa...

 

10 years ago

Mwananchi

Pinda aongoza mamia kumuaga Makame

Waziri Mkuu Mizengo Pinda ameongoza mamia ya waombolezaji kuuaga mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti wa Kwanza wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi(Nec), Jaji Mstaafu Lewis Makame.

 

11 years ago

Habarileo

Kikwete aongoza mamia kumuaga Balozi Kazaura

RAIS Jakaya Kikwete na Makamu wa Rais, Dk Mohamed Gharib Bilal jana waliongoza mamia ya viongozi wa Serikali, mabalozi wa nchi mbalimbali na wanataaluma, kuaga mwili wa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Balozi Fulgence Kazaura.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani