Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JK aongoza maelfu kumuaga Mchungaji Mtikila

RAIS Jakaya Kikwete ameongoza mamia ya waombolezaji pamoja na viongozi wa kitaifa, katika kumuaga Mwenyekiti wa Chama cha DP, Mchungaji Christopher Mtikila aliyekufa kwa ajali hivi karibuni mkoani Pwani.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mtanzania

Bilal aongoza mamia kumuaga Mchungaji Mtikila

LTUNU NASSOR NA KOKU DAVID, DAR ES SALAAM

MAKAMU wa Rais, Dk. Mohamed Gharib Bilal, jana ameongoza mamia ya wakazi wa Jiji la Dar es Salaam kuaga mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Democratic (DP), marehemu Mchungaji Christopher Mtikila.

Akizungumza baada ya jeneza la mwili wa Mchungaji Mtikila kuwasili kwenye Ukumbi wa Karimjee, Dk. Bilal alisema Mchungaji Mtikila alikuwa mtu jasiri na aliyependa kushirikiana na wenzake na kuheshimu mawazo ya wengine.

Alisema mchango wake, ulionyesha...

 

9 years ago

Vijimambo

MAKAMU WA RAIS MHE. DKT. BILAL AONGOZA WATANZANIA KUAGA MWILI WA MCHUNGAJI CHRISTOPHER MTIKILA

8Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na ndugu na Jamaa wa Mwenyekiti wa Chama cha DP Marehemu Mchungaji Christopher Mtikila, wakati wa kuaga mwili leo Oct 07, 2015 katika ukumbi wa Karimjee jiji Dar es salaam.LMakamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akitoa heshima za mwisho kwenye Jeneza lenye mwili wa Mwenyekiti wa Chama cha DP Marehemu Mchungaji Christopher Mtikila, leo Oct 07, 2015 katika...

 

11 years ago

Mwananchi

Maelfu wakwama kumuaga Mandela

Maelfu ya wananchi wa Afrika Kusini wameshindwa kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa Rais wa Kwanza mzalendo wa nchi hiyo, Nelson Mandela kutokana na muda uliopangwa kumalizika.

 

9 years ago

Raia Mwema

Buriani Mchungaji Mtikila

HARAKATI za haki za binadamu nchini zimekumbwa na pigo kubwa baada ya mmoja wa wapambanaji wa hak

Mwandishi Wetu

 

11 years ago

Mwananchi

Mchungaji Mtikila anusurika kuuawa

>Kiongozi wa Chama cha Democratic (DP), Mchungaji Christopher Mtikila amenusurika kifo na mtu mwingine aliyetambuliwa kwa jina moja la Mikidadi, ambaye yupo mahututi katika Hospitali ya Temeke,  baada ya kushambuliwa na watu wanaodaiwa kuwa na mzozo wa ardhi eneo la Kurasini, jijini Dar es Salaam.

 

9 years ago

GPL

TANZIA: MCHUNGAJI MTIKILA AFARIKI DUNIA

Mwanasiasa mashuhuri nchini na Mwenyekiti wa Chama Cha DP Mch.Christopher Mtikila amefariki dunia na watu wengine watatu kujeruhiwa katika ajali ya gari iliyotokea katika kijiji cha Msolwa kilichopo Chalinze mkoani Pwani asubuhi ya leo. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani, Jafari Mohamed, amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kusema kuwa "Taarifa za mwanzo" zinasema Mtikila amefariki majira ya saa 11:45 asubuhi ya leo katika kijiji...

 

11 years ago

Mwananchi

Mchungaji Mtikila asema wajumbe wanatishwa

>Mjumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, Mchungaji Christopher Mtikila amedai kwamba kuna vitisho vinavyotolewa vya kuwashughulikia wajumbe wanaopinga Muungano.

 

9 years ago

Dewji Blog

JK aomboleza kifo cha Mchungaji Mtikila

1

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ametuma salamu za rambirambi na maombolezo kumlilia Mwenyekiti wa Chama cha Siasa cha Democratic Party (DP), Mchungaji Christopher Mtikila (pichani), ambaye alipoteza maisha katika ajali ya gari iliyotokea alfajiri ya leo, Jumapili, Oktoba 4, 2015, katika Kijiji cha Msolwa, Wilaya ya Bagamoyo, Mkoa wa Pwani.

Katika salamu zake za rambirambi kwa Chama cha DP, Rais Kikwete amesema: “ Nimepokea kwa huzuni kubwa taarifa...

 

11 years ago

Mwananchi

Mchungaji Mtikila kufungua kesi kupinga Katiba Mpya

Mwenyekiti wa Chama cha Demokratic (DP), Mchungaji Christopher Mtikila anatarajia kufungua kesi Mahakama Kuu ya Tanzania kupinga kuendelea kwa mchakato wa mabadiliko ya Katiba Mpya.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani