Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Maelfu wakwama kumuaga Mandela

Maelfu ya wananchi wa Afrika Kusini wameshindwa kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa Rais wa Kwanza mzalendo wa nchi hiyo, Nelson Mandela kutokana na muda uliopangwa kumalizika.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Maelfu ya wakimbizi wakwama Slovenia

Wahamiaji na watoto wachanga wamekesha nje kwa baridi kali na mvua katika eneo lisilomilikiwa na taifa lolote katikati mwa Croatia na Slovenia.

 

11 years ago

Mwananchi

Maelfu ya abiria wakwama Ubungo

Uharibifu wa barabara uliotokana na mvua zinazoendelea kunyesha, umeendelea kuwatesa wakazi wa Dar es Salaam na mikoa mbalimbali nchini hasa baada ya mabasi ya mikoani kuzuiwa kufanya safari zake jana.

 

9 years ago

Habarileo

JK aongoza maelfu kumuaga Mchungaji Mtikila

RAIS Jakaya Kikwete ameongoza mamia ya waombolezaji pamoja na viongozi wa kitaifa, katika kumuaga Mwenyekiti wa Chama cha DP, Mchungaji Christopher Mtikila aliyekufa kwa ajali hivi karibuni mkoani Pwani.

 

11 years ago

Habarileo

Kikwete kumuaga Mandela leo

RAIS Jakaya Kikwete leo ataungana na viongozi wenzake kutoa heshima za mwisho na kuuaga rasmi mwili wa kiongozi mashuhuri wa Afrika Kusini na duniani, Nelson Mandela. Mwili wa Mandela unatarajiwa kuwekwa kwenye majengo ya Urais wa Afrika Kusini ya Union Buildings mjini Pretoria, ambayo sasa yataitwa Majengo ya Kumbukumbu ya Mandela.

 

11 years ago

Habarileo

Ulinzi mkali kumuaga Nelson Mandela leo

Msemaji wa Polisi Afrika Kusini, Luteni Jenerali Solomon MakgaleLEO ni siku ya kitaifa ya kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa aliyekuwa Rais wa Kwanza mweusi wa Afrika Kusini, Nelson Mandela.

 

11 years ago

GPL

IBADA YA KITAIFA AFRIKA KUSINI KUMUAGA MANDELA LEO

Marehemu Nelson Rolihlahla Mandela enzi za uhai wake. Leo inafanyika ibada kubwa ya kitaifa Uwanja wa FNB, Johannesburg kumuaga Nelson Mandela ambapo viongozi mbalimbali watahudhuria ibada hiyo wakiwemo Rais Barrack Obama na mkewe Michelle, Rais Jakaya Kikwete, Rais Robert Mugabe na mkewe, Rais Uhuru Kenyatta na mkewe, Rais Yoweri Museveni, Rais Joyce Banda na wengineo wengi. ...

 

11 years ago

Dewji Blog

Maelfu wajitokeza kumuaga mweka hazina wa manispaa ya Ilala marehemu Medard Kabikile Stima, azikwa Jijini Dar

Pichani ni Watoto wa marehemu Medard Kabikile Stima ambaye alikuwa ni Mweka hazina wa Manispaa ya Ilala wakiwa wamebeba msalaba pamoja na picha kuongoza kuingiza mwili katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam ili kuangwa kiserikali na baadae kuelekea kanisani na kwenye makaburi ya Kinondoni ambapo  Agosti 4, 2014 wamempumzisha katika nyumba yake ya milele.

Marehemu Stima alikufa katika ajali ya gari iliyotokea July 31, 2014 karibu na eneo la Bwawani, wakati wakielekea mjini...

 

11 years ago

Mwananchi

Cape Town wapitisha bajeti ya Sh12.2bil kumuaga Mandela

Baraza la Jiji la Cape Town, limeidhinisha matumizi ya Rand72 milioni (Sh12.2 bilioni) kwa ajili ya mazishi ya Rais wa zamani wa Afrika Kusini, Nelson Mandela.

 

11 years ago

BBCSwahili

Maelfu wamuaga shujaa wa Afrika Mandela

Zaidi ya marais 90 wameungana na wananchi wa Afrika Kusini katika misa ya wafu ya Nelson Mandela na kusimulia kumbukumbu zao kuhusu Shujaa huyo wa Afrika.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani