Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kikwete kumuaga Mandela leo

RAIS Jakaya Kikwete leo ataungana na viongozi wenzake kutoa heshima za mwisho na kuuaga rasmi mwili wa kiongozi mashuhuri wa Afrika Kusini na duniani, Nelson Mandela. Mwili wa Mandela unatarajiwa kuwekwa kwenye majengo ya Urais wa Afrika Kusini ya Union Buildings mjini Pretoria, ambayo sasa yataitwa Majengo ya Kumbukumbu ya Mandela.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Ulinzi mkali kumuaga Nelson Mandela leo

Msemaji wa Polisi Afrika Kusini, Luteni Jenerali Solomon MakgaleLEO ni siku ya kitaifa ya kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa aliyekuwa Rais wa Kwanza mweusi wa Afrika Kusini, Nelson Mandela.

 

11 years ago

GPL

IBADA YA KITAIFA AFRIKA KUSINI KUMUAGA MANDELA LEO

Marehemu Nelson Rolihlahla Mandela enzi za uhai wake. Leo inafanyika ibada kubwa ya kitaifa Uwanja wa FNB, Johannesburg kumuaga Nelson Mandela ambapo viongozi mbalimbali watahudhuria ibada hiyo wakiwemo Rais Barrack Obama na mkewe Michelle, Rais Jakaya Kikwete, Rais Robert Mugabe na mkewe, Rais Uhuru Kenyatta na mkewe, Rais Yoweri Museveni, Rais Joyce Banda na wengineo wengi. ...

 

11 years ago

Mwananchi

Maelfu wakwama kumuaga Mandela

Maelfu ya wananchi wa Afrika Kusini wameshindwa kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa Rais wa Kwanza mzalendo wa nchi hiyo, Nelson Mandela kutokana na muda uliopangwa kumalizika.

 

11 years ago

Mwananchi

Cape Town wapitisha bajeti ya Sh12.2bil kumuaga Mandela

Baraza la Jiji la Cape Town, limeidhinisha matumizi ya Rand72 milioni (Sh12.2 bilioni) kwa ajili ya mazishi ya Rais wa zamani wa Afrika Kusini, Nelson Mandela.

 

9 years ago

Vijimambo

WIZARA YA UJENZI YAMSHUKURU NA KUMUAGA RAIS KIKWETE

 Waziri wa Ujenzi Dk.John Pombe Magufuli akisalimiana na Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji Mhandisi Mbogo Mfutakamba wakati akiwasili kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja kwenye hafla ya kumuaga Rais wa Jamhuri ya Muungano Dk.Jakaya Mrisho Kikwete. Waziri wa Ujenzi Dk.John Pombe Magufuli akisalimiana na Mhandisi Stella Manyanya wakati akiwasili Mnazi Mmoja kwenye hafla maalumiliyoandaliwa na Wizara ya Ujenzi ya kumuaga Raiswa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Jakaya Mrisho Kikwete.



 Ilikuwa...

 

11 years ago

Habarileo

Kikwete aongoza mamia kumuaga Balozi Kazaura

RAIS Jakaya Kikwete na Makamu wa Rais, Dk Mohamed Gharib Bilal jana waliongoza mamia ya viongozi wa Serikali, mabalozi wa nchi mbalimbali na wanataaluma, kuaga mwili wa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Balozi Fulgence Kazaura.

 

9 years ago

Vijimambo

ACHA TUENDELEE KUMUAGA RAIS JAKAYA KIKWETE KWA NYIMBO NZURI

TUKINGOJEA MATOKEO YA KURA ...NA HUKU TUNAPATA BURUDANI YA MUZIKI
NYIMBO ZA KUMUGA RAIS JAKAYA KIKWETE KUTOKA KWAO NGOMA AFRICA
Wakati wananchi tukiendelea kufuatilia matokeo ya uchaguzi mkuu wa kuchagua viongozi wa hawamu ya tano, ni vema basi kujikumbusha yale ambayo yaliyofanyika katika serikali ya hawamu ya nne ya Rais anayemaliza muda amri jeshi mkuu Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete.Kwa kupitia njia ya muziki bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya Ngoma Africa band aka FFU-ughaibuni...

 

9 years ago

Dewji Blog

Vyama vya Siasa kumuaga Rais Kikwete Novemba 3 ukumbi wa JNICC

01

Msajili wa Vyama vya Siasa nchini Jaji Francis Mutungi akiongea na wajumbe wa Baraza la Vyama vya Siasa (hawapo pichani) wakati wa maandalizi ya hafla ya kumuaga Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete leo jijini Dar es salaam. Hafla hiyo itafanyika Novemba 03, 2015 katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.

02

Mhadhiri Mwandamizi wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam Dkt. Benson Bana akisistiza jambo wajumbe wa Baraza la Vyama vya Siasa (hawapo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani