Mchungaji Mtikila anusurika kuuawa
>Kiongozi wa Chama cha Democratic (DP), Mchungaji Christopher Mtikila amenusurika kifo na mtu mwingine aliyetambuliwa kwa jina moja la Mikidadi, ambaye yupo mahututi katika Hospitali ya Temeke, baada ya kushambuliwa na watu wanaodaiwa kuwa na mzozo wa ardhi eneo la Kurasini, jijini Dar es Salaam.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima07 Jan
Mez B anusurika kuuawa
MSANII wa muziki wa kizazi kipya nchini, Moses Bushamaga ‘Mez B’ usiku wa kuamkia Jumamosi iliyopita alinusurika kuuawa baada ya kuvamiwa na watu wasiojulikana maeneo ya Sinza Vatican jijini Dar...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/l5U69tqPk5Ul754s3-m3*ZgpfxjbhjaSYF9X5BtRfjAqlTRBmCWqcg5QQ-ehBeZ2kI1GBYzHxRZE5MSoH6BY8DOB15Yq9QsA/Kuua.gif?width=650)
ANUSURIKA KUUAWA AKIDAIWA KUUA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/gX09JerEUx3Z0Wl23bhZN0g8ZjJiGRipZe3X*fgmubHDS4CClxkNwe110Bp5Kg-fH2lUB-3lcilp6kdc5k26mZBN-rb3Zl61/9.jpg?width=650)
ANUSURIKA KUUAWA AKIDHANIWA NI MCHAWI
10 years ago
Mtanzania09 Mar
Marando: Dk. Slaa anusurika kuuawa
NA SHABANI MATUTU, DAR ES SALAAM
KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa, amenusurika kuuawa na mlinzi wake.
Hilo limebainika baada ya kitengo cha ulinzi cha chama hicho kutibua mpango unaodaiwa kuratibiwa na maofisa wa Idara ya Usalama wa Taifa (TIS), wa kumuua kiongozi huyo kwa kumtumia mlinzi wake binafsi (PSU), Khalidi Kagenzi.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Mjumbe wa Kamati Kuu ya chama hicho, Mabere Marando, alisema...
11 years ago
GPLANUSURIKA KUUAWA, KISA UBAKAJI WA DENTI!
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/dm99ly9wi67J8gaYF-YxVwR*4d-v28tg*mdT3-APknsJeGz-MyZeLA1Nknw4SYTuLEVMJ4cm6F2k7cwrwXuUBQvbNU3PqHTY/IMG_20150726_190248.jpg)
MGANGA ANUSURIKA KUUAWA KISA, FUMANIZI
10 years ago
BBCSwahili28 Nov
Mtoto mchanga anusurika kuuawa Kenya
10 years ago
Habarileo13 May
Anusurika kuuawa kwa kukataa kuidhinisha fedha
KATIBU wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kata ya Endiamtu mji mdogo wa Mirerani wilayani Simanjiro mkoani Manyara, amenusurika kufa kwa kushambuliwa kwa kupigwa ngumi na Mwenyekiti wake baada ya kutoidhinisha matumizi ya Sh milioni moja.
9 years ago
Raia Mwema07 Oct
Buriani Mchungaji Mtikila
HARAKATI za haki za binadamu nchini zimekumbwa na pigo kubwa baada ya mmoja wa wapambanaji wa hak
Mwandishi Wetu