MGANGA ANUSURIKA KUUAWA KISA, FUMANIZI
![](http://api.ning.com:80/files/dm99ly9wi67J8gaYF-YxVwR*4d-v28tg*mdT3-APknsJeGz-MyZeLA1Nknw4SYTuLEVMJ4cm6F2k7cwrwXuUBQvbNU3PqHTY/IMG_20150726_190248.jpg)
Mganga huyo baada ya kufumaniwa. Na Victor Bariety, Geita MWANAUME mmoja mkazi wa mtaa wa Mkoani kata mpya ya Bombambili wilayani Geita, mkoani Geita ambaye ni mganga wa kutibu mifupa ya binadamu iliyovunjika, amenusurika kifo baada ya kufumaniwa akidaiwa kufanya mapenzi na mke wa mtu.  ....Soma zaidi===>http://bit.ly/1MQbCjt
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLANUSURIKA KUUAWA, KISA UBAKAJI WA DENTI!
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/2QnKqCSHrMo/default.jpg)
KIJANA ANUSURIKA KUUAWA KISA WIZI MAMA AINGILIA KATI KUMUOKOA KIFO
Kijana mmoja mkazi wa Kigogo Sukita jijini Dar es Salam ameambulia kipigo kizito kutoka kwa wananchi wenye hasira kali na kufikia hatua ya kutaka kumchoma moto kutokana na kitendo cha kumuibia simu na shilingi elfu therasini mwanadada ambaye naye ni mkazi wa eneo hilo.
Kutokana na kipondo cha aina yake alichokuwa akipewa na wananchi hao wenye hasira kali walionekana kumpania kutokana na vitendo vyake vya wizi wa mara kwa mara na kutokana na kipigi hicho kilichomfanya atapakae damu mwilimzima,...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/c2nk1pk6akTbHBlGl*od579V8JS1IBBRbZyzUGZTUlF4aAULJOLqpL8XoF8EIGEv3zQwWnTXm8t5POu-vsWiQ2VaWhp6*JmY/FUMANIZ.jpg)
AHAMA NYUMBA, KISA FUMANIZI
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/hlBnt738bkzxbR257sVY0B8w16NL0iGEOG-SpJCQxJetn-Um4HTX6OTwyhiJ5u5ldER5szqFMWiafvEsq2m5c9Bh6gofTlry/nyembePDF.jpg?width=650)
MKE WA MTU ACHANJWA NYEMBE KISA FUMANIZI
11 years ago
Tanzania Daima07 Jan
Mez B anusurika kuuawa
MSANII wa muziki wa kizazi kipya nchini, Moses Bushamaga ‘Mez B’ usiku wa kuamkia Jumamosi iliyopita alinusurika kuuawa baada ya kuvamiwa na watu wasiojulikana maeneo ya Sinza Vatican jijini Dar...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/l5U69tqPk5Ul754s3-m3*ZgpfxjbhjaSYF9X5BtRfjAqlTRBmCWqcg5QQ-ehBeZ2kI1GBYzHxRZE5MSoH6BY8DOB15Yq9QsA/Kuua.gif?width=650)
ANUSURIKA KUUAWA AKIDAIWA KUUA
10 years ago
Mtanzania09 Mar
Marando: Dk. Slaa anusurika kuuawa
NA SHABANI MATUTU, DAR ES SALAAM
KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa, amenusurika kuuawa na mlinzi wake.
Hilo limebainika baada ya kitengo cha ulinzi cha chama hicho kutibua mpango unaodaiwa kuratibiwa na maofisa wa Idara ya Usalama wa Taifa (TIS), wa kumuua kiongozi huyo kwa kumtumia mlinzi wake binafsi (PSU), Khalidi Kagenzi.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Mjumbe wa Kamati Kuu ya chama hicho, Mabere Marando, alisema...
11 years ago
Mwananchi03 Feb
Mchungaji Mtikila anusurika kuuawa
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/gX09JerEUx3Z0Wl23bhZN0g8ZjJiGRipZe3X*fgmubHDS4CClxkNwe110Bp5Kg-fH2lUB-3lcilp6kdc5k26mZBN-rb3Zl61/9.jpg?width=650)
ANUSURIKA KUUAWA AKIDHANIWA NI MCHAWI