Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ANUSURIKA KUUAWA AKIDAIWA KUUA

Na Gregory Nyankaira, Mara BIBI kizee Selina  Akeyo (60), mkazi wa Buembu, nchini Kenya amenusurika kuuawa kwa kucharangwa mapanga na kijana wa marehemu Daniel Okumbo (72) baada ya kutuhumiwa kumuua kwa kumuwekea sumu kwenye pombe aina ya gongo. ....Soma zaidi===>http://bit.ly/1P2znCR

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Mbaroni akidaiwa kuua mgonjwa

POLISI mkoani Singida inamshikilia mtu anayedaiwa kuwa daktari ‘feki’ kwa tuhuma ya kusababisha kifo cha mgonjwa, mkazi wa kijiji cha Iyumbu, Wilaya ya Ikungi mkoani hapa.

 

9 years ago

Mwananchi

Mwanamke mbaroni akidaiwa kuua mwanawe

Mkazi wa Kitongoji cha Majengo, Kata ya Uyovu wilayani Bukombe mkoani Geita, Siwema Kayu (27) anadaiwa kumuua mtoto wake mwenye umri wa miezi miwili kutokana na ulevi.

 

9 years ago

Habarileo

Kortini akidaiwa kuua akigombea mwanamke

MFANYABIASHARA wa duka la vipuri vya magari mjini Tarime mkoani Mara, Tumaini Jacob amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya akituhumiwa mauaji ya askari wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ).

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mez B anusurika kuuawa

MSANII wa muziki wa kizazi kipya nchini, Moses Bushamaga ‘Mez B’ usiku wa kuamkia Jumamosi iliyopita alinusurika kuuawa baada ya kuvamiwa na watu wasiojulikana maeneo ya Sinza Vatican jijini Dar...

 

10 years ago

Habarileo

Mhadhiri CBE kortini akidaiwa kutishia kuua

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Suleiman Kova.MHADHIRI Msaidizi wa Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE), Andrew Kimbombo (52) amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala, akikabiliwa na mashitaka ya kutishia kuua wakati wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa.

 

11 years ago

Mwananchi

Mchungaji Mtikila anusurika kuuawa

>Kiongozi wa Chama cha Democratic (DP), Mchungaji Christopher Mtikila amenusurika kifo na mtu mwingine aliyetambuliwa kwa jina moja la Mikidadi, ambaye yupo mahututi katika Hospitali ya Temeke,  baada ya kushambuliwa na watu wanaodaiwa kuwa na mzozo wa ardhi eneo la Kurasini, jijini Dar es Salaam.

 

10 years ago

Mtanzania

Marando: Dk. Slaa anusurika kuuawa

Dk.slaaNA SHABANI MATUTU, DAR ES SALAAM
KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa, amenusurika kuuawa na mlinzi wake.
Hilo limebainika baada ya kitengo cha ulinzi cha chama hicho kutibua mpango unaodaiwa kuratibiwa na maofisa wa Idara ya Usalama wa Taifa (TIS), wa kumuua kiongozi huyo kwa kumtumia mlinzi wake binafsi (PSU), Khalidi Kagenzi.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Mjumbe wa Kamati Kuu ya chama hicho, Mabere Marando, alisema...

 

10 years ago

GPL

ANUSURIKA KUUAWA AKIDHANIWA NI MCHAWI

Na Richard Konga, Arusha
Mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina la Alendoufonyi Abdi (pichani) mkazi wa Uduru Machame mkoani Kilimanjaro, amenusurika kuuawa na wananchi wenye hasira kali baada ya kuokolewa na waumini wa kanisa moja jijini hapa. Akizungumza na waandishi wa habari eneo la Kijenge Banana Kata ya Olorieni, Mchungaji wa Kanisa la Pentekoste la Yerusalemu Mpya, Liberty Shirima alisema walimnusuru mwanamke huyo asiuawe...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mtoto mchanga anusurika kuuawa Kenya

Mila na desturi za Jamii ya Bukusu huwauwa Watoto waliotokana na mahusiano ya maharimu au jamaa wa familia moja

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani