Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mbaroni akidaiwa kuua mgonjwa

POLISI mkoani Singida inamshikilia mtu anayedaiwa kuwa daktari ‘feki’ kwa tuhuma ya kusababisha kifo cha mgonjwa, mkazi wa kijiji cha Iyumbu, Wilaya ya Ikungi mkoani hapa.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Mwanamke mbaroni akidaiwa kuua mwanawe

Mkazi wa Kitongoji cha Majengo, Kata ya Uyovu wilayani Bukombe mkoani Geita, Siwema Kayu (27) anadaiwa kumuua mtoto wake mwenye umri wa miezi miwili kutokana na ulevi.

 

10 years ago

GPL

ANUSURIKA KUUAWA AKIDAIWA KUUA

Na Gregory Nyankaira, Mara BIBI kizee Selina  Akeyo (60), mkazi wa Buembu, nchini Kenya amenusurika kuuawa kwa kucharangwa mapanga na kijana wa marehemu Daniel Okumbo (72) baada ya kutuhumiwa kumuua kwa kumuwekea sumu kwenye pombe aina ya gongo. ....Soma zaidi===>http://bit.ly/1P2znCR

 

9 years ago

Habarileo

Kortini akidaiwa kuua akigombea mwanamke

MFANYABIASHARA wa duka la vipuri vya magari mjini Tarime mkoani Mara, Tumaini Jacob amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya akituhumiwa mauaji ya askari wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ).

 

10 years ago

Habarileo

Mhadhiri CBE kortini akidaiwa kutishia kuua

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Suleiman Kova.MHADHIRI Msaidizi wa Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE), Andrew Kimbombo (52) amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala, akikabiliwa na mashitaka ya kutishia kuua wakati wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa.

 

9 years ago

Mwananchi

Mbaroni akidaiwa kuiba mtoto

Polisi wanamshikilia mkazi wa Mjimwema Makambako kwa tuhuma za wizi wa mtoto wa kiume mwenye umri ya miezi mitatu katika Hospitali ya Kibena, Njombe.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mbaroni akidaiwa kulawiti watoto

JESHI la Polisi Mkoa wa Pwani linamshikilia Mhandisi Msose Michael (35) mkazi wa Mkaongo Juu Dar es Salaam, kwa tuhuma za kuwalawiti mabinti wawili katika Kijiji cha Zogowale wilayani ya...

 

10 years ago

Vijimambo

Mbaroni akidaiwa kumuua baba yake

amanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, David Misime.
Mkazi wa Kitongoji cha Nyamorege kilichopo Mtaa wa Forodhani mji mdogo wa Sirari Wilaya ya Tarime mkoani Mara, Marwa Kihiri Mwita, anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kumuua baba yake mzazi Kihiri Mwita kinyama kwa kumpiga na koleo kichwani na ubavuni.

Vilevile inadaiwa kuwa mtuhumiwa huyo alijeruhiwa kwa kucharangwa kwa panga na baba yake huyo kabla ya kumjeruhi kwa kumpiga na koleo kichwani na ubavuni baada ya kuzuka ugomvi baina...

 

11 years ago

Mwananchi

Mbaroni akidaiwa kuuza nyama ya binadamu

Mkazi wa Kijiji cha Kihinga, Kata ya Bugarama wilayani Ngara mkoani Kagera(jina tunalo), anashikiliwa katika kituo kidogo cha polisi cha kata hiyo baada ya kutuhumiwa kuuza kilo moja ya nyama ya binadamu kwa Sh100,000.

 

9 years ago

Mwananchi

Mbaroni akidaiwa kukutwa akifanya ushirikina jikoni

Mkazi mmoja wa Kijiji cha Lamadi wilayani Busega, Mkoa wa Simiyu anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kukutwa mtupu akijihusisha na ushirikina katika familia ya Yusta Thomas.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani