Mbaroni akidaiwa kuuza nyama ya binadamu
Mkazi wa Kijiji cha Kihinga, Kata ya Bugarama wilayani Ngara mkoani Kagera(jina tunalo), anashikiliwa katika kituo kidogo cha polisi cha kata hiyo baada ya kutuhumiwa kuuza kilo moja ya nyama ya binadamu kwa Sh100,000.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania18 Feb
Akamatwa akidaiwa kuuza nyama ya paka
Na Asifiwe George na Mwantum Saadi, Dar es Salaam
MUUZA mishikaki mmoja katika kituo cha daladala cha Temeke mwisho jijini Dar es Salaam maarufu kwa jina la Said Mishikaki, amekamatwa na kupigwa na wananchi kwa tuhuma za kuuza mishikaki ya nyama ya paka.
Said alikamatwa jana asubuhi baada ya taarifa kusambaa katika eneo hilo zikimtuhumu kwamba amekuwa na kawaida kuuza mishikaki ya nyama ya paka badala ya ng’ombe, mbuzi na wanyama wengine wanaoliwa.
Taarifa zilizopatikana kutoka eneo la tukio...
11 years ago
Mwananchi03 Mar
Afutiwa shitaka la kuuza nyama ya binadamu
10 years ago
Tanzania Daima25 Aug
Mbaroni akidaiwa kulawiti watoto
JESHI la Polisi Mkoa wa Pwani linamshikilia Mhandisi Msose Michael (35) mkazi wa Mkaongo Juu Dar es Salaam, kwa tuhuma za kuwalawiti mabinti wawili katika Kijiji cha Zogowale wilayani ya...
10 years ago
Habarileo14 Aug
Mbaroni akidaiwa kuua mgonjwa
POLISI mkoani Singida inamshikilia mtu anayedaiwa kuwa daktari ‘feki’ kwa tuhuma ya kusababisha kifo cha mgonjwa, mkazi wa kijiji cha Iyumbu, Wilaya ya Ikungi mkoani hapa.
9 years ago
Mwananchi19 Dec
Mbaroni akidaiwa kuiba mtoto
9 years ago
Mwananchi03 Oct
Mwanamke mbaroni akidaiwa kuua mwanawe
10 years ago
Vijimambo17 Feb
Mbaroni akidaiwa kumuua baba yake
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Misime-17Feb2015.jpg)
Mkazi wa Kitongoji cha Nyamorege kilichopo Mtaa wa Forodhani mji mdogo wa Sirari Wilaya ya Tarime mkoani Mara, Marwa Kihiri Mwita, anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kumuua baba yake mzazi Kihiri Mwita kinyama kwa kumpiga na koleo kichwani na ubavuni.
Vilevile inadaiwa kuwa mtuhumiwa huyo alijeruhiwa kwa kucharangwa kwa panga na baba yake huyo kabla ya kumjeruhi kwa kumpiga na koleo kichwani na ubavuni baada ya kuzuka ugomvi baina...
9 years ago
Mwananchi26 Dec
Mbaroni akidaiwa kukutwa akifanya ushirikina jikoni
11 years ago
Habarileo04 Aug
Mbaroni akidaiwa kukutwa na gari lililoibwa Dar
POLISI mkoani Manyara imemkamata mkazi wa mjini Babati, Rajabu Marobo (30) ikimtuhumu kuhusika na wizi wa gari lililoibwa jijini Dar es Salaam.