Dk Bilal aongoza maziko ya RC wa Mara
MAKAMU wa Rais Dk Mohamed Gharib Bilal ameongoza maziko ya aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mara , John Tuppa yaliyofanyika nyumbani kwake mjini Kilosa ambapo pia yalihudhuriwa na Waziri Mkuu , Mizengo Pinda, mawaziri pamoja na wakuu wa mikoa mbalimbali nchini.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziMAKAMU WA RAIS DKT BILAL AONGOZA MAZISHI YA MKUU WA MKOA WA MARA,MAREHEMU JOHN GABRIEL LEO MKOANI MOROGORO
11 years ago
Habarileo31 Jul
Wassira aongoza maziko ya Kundya
WAZIRI katika Ofisi ya Rais, Mahusiano na Uratibu, Stephen Wassira juzi aliongoza mamia ya wakazi wa Mkoa wa Singida katika maziko ya mwanasiasa mkongwe na kiongozi wa dini nchini, Alhaji Mahami Rajab Kundya.
11 years ago
Habarileo18 May
Rais aongoza maziko ya mtoto wa Mkurugenzi
MAELFU ya wakazi wa Jiji la Dar es Salaam na baadhi ya viongozi wa serikali wakiongozwa na Rais Jakaya Kikwete, jana walishiriki katika maziko ya mtoto wa Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Ikulu, Salvatory Rweyemamu, Brian Salvatory.
11 years ago
Habarileo17 Jan
Kikwete aongoza mamia maziko ya Liundi
RAIS Jakaya Kikwete jana aliongoza mamia ya waombolezaji katika kuuaga na maziko ya Msajili wa Kwanza wa Vyama vya siasa, George Liundi aliyeelezewa kuwa msingi wa Demokrasia nchini. Aidha, baadhi ya wanasiasa wamemwelezea Liundi kuwa muasisi wa Demokrasia, ambaye misingi yake haiwezi kuvunjika, ambaye wakati akiwa Msajili alifuata sheria na taratibu bila kuyumbishwa.
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/09/KOMBANI-MAZIKO-MORO-5.jpg)
DK. BILAL, PINDA WAONGOZA MAMIA KATIKA MAZIKO YA WAZIRI KOMBANI MORO
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-IvAjECc7-i0/VU9PXoxQFcI/AAAAAAAHWiw/IW_YN9lzc54/s72-c/IMG_6238.jpg)
RAIS WA ZANZIBAR AONGOZA MAMIA YA WAOMBOLEZAJI KWENYE MAZIKO YA WANA CCM WALIOPATA AJALI JANA
![](http://3.bp.blogspot.com/-IvAjECc7-i0/VU9PXoxQFcI/AAAAAAAHWiw/IW_YN9lzc54/s640/IMG_6238.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-fu40qmPI1f0/VU9PWZSPS-I/AAAAAAAHWio/eD4rG8hFD_U/s640/IMG_6211.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-fu40qmPI1f0/VU9PWZSPS-I/AAAAAAAHWio/eD4rG8hFD_U/s72-c/IMG_6211.jpg)
Dkt. Shein aongoza mamia ya waombolezaji kwenye Maziko ya WANA CCM Waliopata ajali jana
![](http://3.bp.blogspot.com/-fu40qmPI1f0/VU9PWZSPS-I/AAAAAAAHWio/eD4rG8hFD_U/s640/IMG_6211.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-IvAjECc7-i0/VU9PXoxQFcI/AAAAAAAHWiw/IW_YN9lzc54/s640/IMG_6238.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-wfDmAgx8hhI/VIR_lqW6N6I/AAAAAAAG1vs/7r5pNJDuDX4/s72-c/unnamed%2B(86).jpg)
Dkt Shein aongoza maziko ya Muasisi wa CCM Marehemu Mzee Juma Ameir Juma
![](http://4.bp.blogspot.com/-wfDmAgx8hhI/VIR_lqW6N6I/AAAAAAAG1vs/7r5pNJDuDX4/s1600/unnamed%2B(86).jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-uDs6St6Bt4I/VIR_k41oobI/AAAAAAAG1vk/DC6dPZnDRKg/s1600/unnamed%2B(87).jpg)