Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Maalim na Balozi Seif washiriki mazishi ya mkwe wa Waziri Mkuu , Mizengo Pinda

Makamu wa kwanza wa Rais, Maalim Seif Sharif Hamad akimsikiliza kwa makini Waziri wa Mkuu Mizengo Pinda wakati wa mazishi ya mkwewe yaliyofanyika Dar.Makamu wa kwanza wa Rais, Maalim Seif Sharif Hamad akijumuika na viongozi wengine kwenye mazishi ya mkwe wa Waziri Mkuu, Mizengo PindaMakamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad pamoja na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi, wakijumuika pamoja na viongozi wengine wa Serikali na viongozi ya...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU MHOGOLO WA ANGLIKANI MJINI DODOMA

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Mkewe Tunu wakiweka shada la maua katika kaburi la Askofu Godfrey Mhogolo wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Central Tanganyika, yaliyofanyika kwenye viwanja vya Kanisa Kuu la Roho Mtakatifu mjini Dodoma Aprili 5, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 

9 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AKUTANA NA BALOZI WA BURUNDI NA QATAR

 Waziri Mkuu Mizengo Pinda akisalimiana na Balozi wa Burundi hapa Nchini  Bwana Issa Ntambuka ambaye alifika ofisini kwa Waziri Mkuu leo jijini Dar es salaam kwa mazungumzo ya kikazi. Waziri mkuu Mizengo Pinda akimsikiliza kwa makini Balozi wa Burundi hapa nchini Bwana Issa Ntambuka ambaye alifaka ofisini kwa Waziri Mkuu leo Jijini Dar es salaam kwamazungumzo ya kikazi. Waziri Mkuu Mizengo Pinda akutana na Balozi wa Qatar hapa Nchini Bwana Abdullah Jassim Al Maadadi ambaye alifika ofisini...

 

10 years ago

Vijimambo

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda Akutana na Balozi wa Msumbiji Nchini,Dkt. Vicente Mebunia

post-feature-imageWaziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Balozi wa msumbiji nchini,Dkt. Vicente Mebunia ambaye alikwenda ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam Agosti 3, 2015 kuaga.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

 

10 years ago

Vijimambo

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Waziri wa Nchi,Ofisi ya Waziri Mkuu, William Lukuvi wakiteta na Kiongozi wa Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe, Bungeni mjini Dodoma

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Waziri wa Nchi,Ofisi ya Waziri Mkuu, William Lukuvi (kushoto) wakiteta na Kiongozi wa Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe, Bungeni mjini Dodoma Novemba 29, 2014.Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Waziri wa Nchi,Ofisi ya Waziri Mkuu, William Lukuvi (kushoto) wakiteta na Kiongozi wa Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe, Bungeni mjini Dodoma Novemba 29, 2014.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

 

9 years ago

Dewji Blog

Waziri Mkuu Majaliwa amtembelea Waziri Mkuu Mstaafu Mizengo Pinda!

IMGS2612

Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majliwa  akizungumza na Waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo Pinda wakati alipomtembelea nyumbani kwake katika kijiji cha Zuzu, nje kidogo ya mji wa Dodoma Novemba 21, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) IMGS2602   Mke wa Waziri  Mkuu, Mama Mary Majaliwa  (kushoto) akikaribishwa na mke wa Waziri Mkuu, Mstaafu Mama Tunu Pinda wakati alipowasili nyumbani kwa Waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo Pinda katika kijiji cha  Zuzu nje kidogo ya mji wa Dodoma kwa mazungumzo Novemba 21, 2015  ....

 

9 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AMTEMBELEA WAZIRI MKUU WA UGANDA

 Waziri Mkuu Mizengo Pinda na ujumbe wa Tanzania wakiwa katika picha ya pamoja na Waziri Mkuu wa Uganda Dr Ruhakana Rugunda pamoja na viongozi wa serekalini Uganda.Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiongea jambo na Waziri Mkuu wa Uganda Dr Ruhakana Rugunda alipo mtembelea ofisini kwake kushoto ni Kaimu wa Itafaki Tanznia Bw. Jemes Bwana,  Waziri Mkuu yupo Nchini Uganda kumuwakilisha Rais Jakaya Kikwete katika sherehe za Skauti kutimiza mika miamoja nchini Uganda.Picha na Chris Mfinanga.

 

11 years ago

Michuzi

Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akutana na Naibu Waziri Mwandamizi wa Mambo ya Nje wa Japan

Waziri Mkuu Mizengo Pinda akisalimiana na Naibu Waziri Mwandamizi wa Mambo ya Nje wa Japan Norio Mitsuya alipomtembelea ofisini kwake jana . Waziri Mkuu Mizengo Pinda akibadilishana mawazo na Naibu Waziri Mwandamizi wa Mambo ya Nje wa Japan Norio Mitsuya alipomtembelea ofisini kwake jana. Picha zote na Ofisi ya Waziri Mkuu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani