jarida la utalii nchini sweden laufagilia mgahawa wa mtanzania chef issa katika mji wa trollhattan
Jarida la Wizara ya Maliasili Makumbusho na Utalii katika mji wa Trollhättan na Vänersborg limeijumuisha Tanzanian Restaurant - Lunch by chef Issa kwenye orodha ya migahawa bora katika miji hiyo miwili ni jambo la kujivunia hasa mafanikio haya ndani ya miezi miwili tangu kufunguliwaJarida la makala ya biashara na uwekezaji la Fokus Väst la mji wa Trollhättan Sweden limethibitisha rasmi nakujivunia Tanzanian Restaurant - Lunch by chef Issa kua ni mgahawa halisi wa kiafrika mkubwa kuliko yote...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi03 Apr
CHEF ISSA KIPANDE AFUNGUA MGAHAWA WAKE SWEDEN
![IMG_1562](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/04/IMG_1562.jpg)
Mgeni rasmi Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Mh. Dora Msechu (wa tatu kushoto) akiwa na mwenyeji wake Meya wa Trollhattan, Paul Akerlund (wa tatu kulia), Afisa kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa nchini Tanzania, Tagie Daisy Mwakawago (kulia), Mmiliki wa mgahawa unaotoa huduma za chakula cha kitanzania unaofahamika kama "Lunch by Chef Issa" (The house of Tanzanian food) uliopo katika mji wa Trollhattan, Sweden unaomilikiwa na mtanzania Chef Issa Kapande (wa pili kulia)...
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-f2GfWiEm07s/VjeiOBf4UmI/AAAAAAAID9s/k-FfYdd-yUU/s72-c/unnamed%2B%25288%2529.jpg)
Mgahawa wa Chef issa mjini Trollhatan, sweden, walisha waombolezaji 1000 baada ya mazishi ya mwafrika aliyeuwawa kibaguzi
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-Vrz0Pzr9qGk/VH82sDWeLuI/AAAAAAAG1B0/1OfI3DkiT5A/s72-c/unnamed%2B(61).jpg)
CHEF ISSA KAPANDE AKARIBISHWA UBALOZI WA TANZANIA NCHINI SWEDEN
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-rCRzDeQ2lRI/VTW8Ey3WtTI/AAAAAAAHSKY/6hMUQFTdnc4/s72-c/unnamed%2B(73).jpg)
Chef Issa ahudumia Uongozi wa mkoa wa Trollhättan kwenye restaurant ya kitanzania sweden
![](http://1.bp.blogspot.com/-rCRzDeQ2lRI/VTW8Ey3WtTI/AAAAAAAHSKY/6hMUQFTdnc4/s1600/unnamed%2B(73).jpg)
10 years ago
Dewji Blog21 Apr
Chef Issa ahudumia Uongozi wa mkoa wa Trollhättan kwenye restaurant ya Kitanzania Sweden
Chef Issa Kipande (wa tatu kutoka kulia) akipongezwa na kamati ya Uongozi wa mkoa wa Trollhättan nchini Sweden waliofika kupata chakula cha mchana ‘lunch’ katika Mgahawa huo wa Kitanzania.
Mgahawa mkubwa unaotoa huduma za chakula cha Kitanzania unaomilikiwa na mpishi maarufu duniani, Issa Kapande `Chef Issa’, uliofunguliwa hivi karibuni, nchini Sweden na kuvunja rekodi ya dunia, kwa tayari watu mbalimbali wamekuwa wakitembelea hapo na kupataa huduma safi ya vyakula mbalimbali vilivyo vya...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-88bgRenlEUc/VYcvlCYc7RI/AAAAAAAHiOk/lkYigOAbjNQ/s72-c/unnamed%2B%252844%2529.jpg)
Chef Issa aanzisha whatsapp group la Ma-Chef wa Kitanzania popote walipo duniani
![](http://2.bp.blogspot.com/-88bgRenlEUc/VYcvlCYc7RI/AAAAAAAHiOk/lkYigOAbjNQ/s640/unnamed%2B%252844%2529.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-4Kfev1vFN5o/VHjiqB1rr1I/AAAAAAAG0DQ/xOAvEtEbAg0/s72-c/unnamed%2B(1).png)
NEWS FLASH: CHEF ISSA AFANYA MAAJABU KWENYE KOMBE LA DUNIA LA MAPISHI 2014 NCHINI LUXEMBORG
![](http://2.bp.blogspot.com/-4Kfev1vFN5o/VHjiqB1rr1I/AAAAAAAG0DQ/xOAvEtEbAg0/s1600/unnamed%2B(1).png)
Kushinda kombe la dunia si mchezo katika tasnia yoyote ile nasi hatuna...
10 years ago
Dewji Blog23 Jun
Tanzanian Restaurant — Lunch by Chef Issa imetajwa kwenye orodha ya migahawa bora katika miji ya Trollhättan na Vänersborg
Jarida la Wizara ya Maliasili Makumbusho na Utalii katika mji wa Trollhättan na Vänersborg limeijumuisha Tanzanian Restaurant – Lunch by chef Issa kwenye orodha ya migahawa bora katika miji hiyo miwili ni jambo la kujivunia hasa mafanikio haya ndani ya miezi miwili tangu kufunguliwa
Jarida la makala ya biashara na uwekezaji la Fokus Väst la mji wa Trollhättan Sweden limethibitisha rasmi nakujivunia Tanzanian Restaurant – Lunch by chef Issa kua ni mgahawa halisi wa kiafrika mkubwa kuliko...
10 years ago
Vijimambo23 Jun
TANZANIAN RESTAURANT - LUNCH BY CHEF ISSA IMETAJWA KWENYE ORODHA YA MIGAHAWA BORA KATIKA MIJI YA TROLLHÄTTAN NA VÄNERSBORG
![IMG-20150616-WA0008](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/06/IMG-20150616-WA0008.jpg)