Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SOMO LA MAPISHI TOKA KWA CHEF ISSA LEO..........

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

11 years ago

Michuzi

CHEF ISSA ATOA SOMO LA KUBANIKA MKATE KWA KUTUMIA KUNI KWA VIJANA WA SCOUT UGHAIBUNI

Mkate uliotayari kwa kuliwa ooohhh asikwambie mtu saafi sana! Chef Issa anashukuru Allah kupata  bahati ya kualikwa na chama cha scout kwenda kuwafundisha vijana mbinu za mapishi wakiwa porini. Dah! waliipenda na kufagilia sana walitengeneza mkate wa kubanika kwa kutumia mti na moto wa kuni.Kundi la vijana wa scout na uongozi wao hapa ni baada ya kuwasha moto tukisubiri upungue na kuni zote zishike moto tuanze kubanika mkate.Chef Issa (kulia) akiwa na vijana wa scoutHuu ndio mkate wenyewe...

 

10 years ago

Michuzi

NEWS FLASH: CHEF ISSA AFANYA MAAJABU KWENYE KOMBE LA DUNIA LA MAPISHI 2014 NCHINI LUXEMBORG

 Executive Chef Issa Kipande  tunayemfahamu kama Chef Issa (aliyeshika kombe) wiki hii amefanya makubwa kwa kuwa mmoja wa ma-Chef  wa timu ya Stockholm, Sweden, kushiriki na hatimaye kushika nafasi ya kwanza katika kipengele cha timu za kanda kwenye mashindano ya Kombe la Dunia la Mapishi  2014 yajulikanayo kama  Villeroy & Boch Culinary World Cup 2014  yaliyofanyika nchini Luxemborg. Mshindi wa jumla alikuwa Singapore.
Kushinda kombe la dunia si mchezo katika tasnia yoyote ile nasi hatuna...

 

10 years ago

Michuzi

Chef Issa aanzisha whatsapp group la Ma-Chef wa Kitanzania popote walipo duniani

Chef Issa ameanzisha group la Whatsapp kwa ajili ya Tanzanian chef's popote duniani ambalo anasema kama wewe ni Chef unaweza jiunga kwa kutuma request mobile No. +46709297384 Lengo likiwa ni kukutana,  kufahamiana,  na kusaidiana kitaaluma. Ma-Chef wote wa Kitanzania mnakaribishwa.

 

11 years ago

Michuzi

TANGAZO LA KAZI HOTEL VICTORIA MTWARA (KWA CHEF ISSA)

HOTEL VICTORIA MTWARA INATAFUTA MTAALAMU WA MASOKO MWENYE UZOEFU WA KUTOSHA NA ANAEJIAMINI  KISHA TUMA MAOMBI KWA EMAIL HII issa@hotelvictoria.me AMBATANISHA CV YAKO NA PASSPORT SIZE. MSHAHARA MZURI SANA NA MNONO PAMOJA NA MAZINGIRA HURU YA KAZI. MWAMBIE RAFIKI NA NDUGU WACHANGAMKIE FURSA. CHEERS   PIA UKIWA HOTEL VICTORIA MTWARA UNAWEZA KUENJOY HAYA....  
Butter chicken na garlic naan
  Paneer masala na butter naan

Tandoor chicken      Naan bread ya kila ladha mfano chili naan,...

 

10 years ago

Michuzi

CHEF ISSA KUPEPERUSHA BENDERA YA TANZANIA JIJINI LUXEMBOURG KWENYE Villeroy & Boch Culinary World Cup 2014 kuanzia leo 24 mpaka 28 november 2014

"NAMSHUKURU MUNGU KWA KUCHAGULIWA KUSHIRIKI KAMA MSIMAMIZI KWENYE WORLD CUP YA WAPISHI INAYOFANYIKA KILA BAADA YA MIAKA 4 NITAPEPERUSHA BENDERA YA NCHI YANGU TANZANIA NI JAMBO LA KUJIVUNIA SANA".
Mpaka sasa Chef Issa Kapande mbali ya kushinda tuzo nyingi tofauti ndani na nje ya nchi katika fani yake ya upishi pia anashikilia rekodi ya kua Chef Mtanzania Msomi na mdogo kuliko wote aliewahi kufungua na kuongoza hotel ya nyota tano ( Certified Executive Chef) akiwa na umri wa miaka 25 tu. Hili...

 

10 years ago

Michuzi

CHEF ISSA KIPANDE AFUNGUA MGAHAWA WAKE SWEDEN

IMG_1562
Mgeni rasmi Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Mh. Dora Msechu (wa tatu kushoto) akiwa na mwenyeji wake Meya wa Trollhattan, Paul Akerlund (wa tatu kulia), Afisa kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa nchini Tanzania, Tagie Daisy Mwakawago (kulia), Mmiliki wa mgahawa unaotoa huduma za chakula cha kitanzania unaofahamika kama "Lunch by Chef Issa" (The house of Tanzanian food) uliopo katika mji wa Trollhattan, Sweden unaomilikiwa na mtanzania Chef Issa Kapande (wa pili kulia)...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani