CHEF ISSA ATOA SOMO LA KUBANIKA MKATE KWA KUTUMIA KUNI KWA VIJANA WA SCOUT UGHAIBUNI
Mkate uliotayari kwa kuliwa ooohhh asikwambie mtu saafi sana! Chef Issa anashukuru Allah kupata bahati ya kualikwa na chama cha scout kwenda kuwafundisha vijana mbinu za mapishi wakiwa porini. Dah! waliipenda na kufagilia sana walitengeneza mkate wa kubanika kwa kutumia mti na moto wa kuni.Kundi la vijana wa scout na uongozi wao hapa ni baada ya kuwasha moto tukisubiri upungue na kuni zote zishike moto tuanze kubanika mkate.Chef Issa (kulia) akiwa na vijana wa scoutHuu ndio mkate wenyewe...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi19 Jul
11 years ago
Michuzi18 Jul
11 years ago
MichuziTANGAZO LA KAZI HOTEL VICTORIA MTWARA (KWA CHEF ISSA)
Butter chicken na garlic naan
Paneer masala na butter naan
Tandoor chicken Naan bread ya kila ladha mfano chili naan,...
10 years ago
MichuziChef Issa aanzisha whatsapp group la Ma-Chef wa Kitanzania popote walipo duniani
11 years ago
GPLASHA BARAKA ATOA SOMO VIFO VYA MASTAA UGHAIBUNI!
11 years ago
Michuzi17 Jul
10 years ago
Tanzania Daima18 Oct
Mengi atoa somo kwa wanahabari
MWENYEKITI wa Kampuni za IPP Reginald Mengi amewataka waandishi wa habari wa Afrika kuandika habari zinazohusu jamii hasa zile zinazogusa maisha yao halisi. Akizungumza jana jijini Dar es Salaam na...
10 years ago
Habarileo28 Sep
JK atoa somo kwa jumuiya ya kimataifa
USHIRIKI wa pamoja wa mataifa mbalimbali katika utatuzi wa matatizo yanayozikumba nchi hizo, ndiyo njia kuu na ya kipekee katika karne ya leo ya kukabiliana na changamoto za maendeleo. Hayo yalisemwa na Rais Jakaya Kikwete juzi katika Chuo Kikuu cha Rutgers, katika mji wa New Jersey, nchini Marekani.
11 years ago
GPLHAPPINESS MAGESE ATOA SOMO KWA WASICHANA