Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SOMO LA MAPISHI KUTOKA KWA CHEIF ISSA LEO

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Mdau Cheif Issa Kipande azuru Ofisi za Michuzi Media Group

 Mdau mkubwa wa libeneke la Globu ya Jamii,Cheif Issa Kipande "Cheif Issa" (pili kulia) akiwa na kikosi kazi ya Michuzi Media Group wakati alipotembelea ofisi hizo zilizopo kwenye Jengo la Palm Residency (jirani na hospitali ya Ocean Road) Jijini Dar es saalam leo. Cheif Issa yupo nchini kwa mapunziko mafupi na siku si nyingi atarejea nyumbani kwake nchini Sweden.Wengine pichani toka kushoto ni Othman Michuzi,Ahmad Michuzi na Jonathan Msei a.k.a Gia Kubwa.Hapa Cheif Issa akiwa na...

 

11 years ago

Michuzi

CHEF ISSA ATOA SOMO LA KUBANIKA MKATE KWA KUTUMIA KUNI KWA VIJANA WA SCOUT UGHAIBUNI

Mkate uliotayari kwa kuliwa ooohhh asikwambie mtu saafi sana! Chef Issa anashukuru Allah kupata  bahati ya kualikwa na chama cha scout kwenda kuwafundisha vijana mbinu za mapishi wakiwa porini. Dah! waliipenda na kufagilia sana walitengeneza mkate wa kubanika kwa kutumia mti na moto wa kuni.Kundi la vijana wa scout na uongozi wao hapa ni baada ya kuwasha moto tukisubiri upungue na kuni zote zishike moto tuanze kubanika mkate.Chef Issa (kulia) akiwa na vijana wa scoutHuu ndio mkate wenyewe...

 

10 years ago

Michuzi

NEWS FLASH: CHEF ISSA AFANYA MAAJABU KWENYE KOMBE LA DUNIA LA MAPISHI 2014 NCHINI LUXEMBORG

 Executive Chef Issa Kipande  tunayemfahamu kama Chef Issa (aliyeshika kombe) wiki hii amefanya makubwa kwa kuwa mmoja wa ma-Chef  wa timu ya Stockholm, Sweden, kushiriki na hatimaye kushika nafasi ya kwanza katika kipengele cha timu za kanda kwenye mashindano ya Kombe la Dunia la Mapishi  2014 yajulikanayo kama  Villeroy & Boch Culinary World Cup 2014  yaliyofanyika nchini Luxemborg. Mshindi wa jumla alikuwa Singapore.
Kushinda kombe la dunia si mchezo katika tasnia yoyote ile nasi hatuna...

 

11 years ago

Michuzi

Mahojiano na Mtunzi wa Vitabu vya Utaalamu wa Mapishi Benn Haidari, kutoka Stockholm nchini Finland

Sikiliza AUDIO ya Mahojiano na Mtunzi wa Vitabu vya Utaalamu wa Mapishi Benn Haidari kutoka Stockholm nchini Finland. alipolonga na Swahilivilla.blog   Bofya  HAPA kwa ununuzi wa Vitabu vyake.

 

10 years ago

Mtanzania

Jokate kutoa somo kwa wasanii leo

JokateNA THERESIA GASPER

MREMBO na mwanamitindo maarufu nchini, Jokate Mwegelo, leo atatoa somo kwa wasanii na wadau wa sanaa katika kongamano la Jukwaa la Sanaa litakalofanyika kwenye ukumbi wa Basata jijini Dar es Salaam.

Ofisa Habari wa Basata, Aristides Kwizela, alisema Jokate pamoja na mbunifu mashuhuri wa mitindo ya mavazi nchini, Asia Idarous, watatoa mada katika jukwaa hilo na watazungumzia namna ya kutumia umaarufu na vipaji vyao kukuza kipato.

“Jukwaa hili litawataka wasanii na wadu wa...

 

10 years ago

GPL

MAPISHI NDIYO LIMBWATA KUU KWA MUMEO

Asalam Alaikum, Bwana Yesu Asifiwe, bila shaka wazima wa afya kama nilivyo, nina amani kwa sababu nimempigia kura yule ninayeamini anafaa kuliongoza taifa hili. Leo nimekuja na mada nyepesi kwa muonekano lakini ni mada kali na ina mapana zaidi kwani ndoa nyingi siku hizi zinavunjika kwa sababu ya wanawake kutojua kupika. Kwa nini mumeo akapikiwe na kimada?
Naomba nikufundishe jinsi ya kutumia mapishi kama limbwata ambapo mumeo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani