Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAPISHI NDIYO LIMBWATA KUU KWA MUMEO

Asalam Alaikum, Bwana Yesu Asifiwe, bila shaka wazima wa afya kama nilivyo, nina amani kwa sababu nimempigia kura yule ninayeamini anafaa kuliongoza taifa hili. Leo nimekuja na mada nyepesi kwa muonekano lakini ni mada kali na ina mapana zaidi kwani ndoa nyingi siku hizi zinavunjika kwa sababu ya wanawake kutojua kupika. Kwa nini mumeo akapikiwe na kimada?
Naomba nikufundishe jinsi ya kutumia mapishi kama limbwata ambapo mumeo...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

9 years ago

Global Publishers

Kwa nini usiwe mstahimilivu kwa mumeo hadi unachepuka?

sex-habits-of-super-happy-couplesKWANZA nianze kwa kuwasalimu wapenzi wasomaji wangu wa kona hii, assalamu alaykum na kwa wale wagonjwa ugueni pole na tuzidi kuombeana.

Baada ya kuwaeleza hayo, niingie moja kwa moja kwenye mada yetu ya leo iliyobeba kichwa cha habari, kwa nini usiwe mstahimilivu kwa mumeo hadi unafikia hatua ya kuchepuka?

Siku hizi wanawake wengi walio ndani na nje ya ndoa wameyageuza mapenzi kama vile fasheni, wanaishi katika ndoa vizuri lakini mwenza wake akipata matatizo kidogo tu anaamua kuanzisha tabia...

 

10 years ago

Michuzi

10 years ago

GPL

SHOGA: KWA NINI MUMEO AKUSALITI?

Kama ilivyoada binadamu kujuliana hali, napenda kuwafahamisha kwamba hali yangu ni nzuri sijui kwa upande wenu.
Shoga zangu, kwa kuwa nchi yetu inajiandaa kwa uchaguzi mkuu wa madiwani, wabunge na rais utakaofanyika Oktoba mwaka huu, napenda kuwashauri msijiweke mbali na kila kinachojiri kuhusiana na ishu hiyo ili kuelewa mambo mbalimbali ya kisiasa kabla ya kuwachagua viongozi wetu hususan rais. Leo shoga zangu nimekuja na...

 

10 years ago

GPL

KWA NINI UNAMUACHA MUMEO ANALALA NA SURUALI?

BILA shaka wiki iliyopita mlifurahia mada ya n‘makosa ya wanawake, wanaume katika kuridhishana’ kwani nilipata ujumbe (SMS) kutoka kwa watu mbalimbali wakielezea kuguswa na mada hiyo. Wapo walioomba ushauri wa jinsi ya kumtendea mume ili ndoa iwe na Amani muda wote. Lakini kuna ujumbe wa mwanamke mmoja ulinifikia akilalamikia kuhusu tabia iliyokomaa ya mumewe kulala na suruali mpaka asubuhi. Na mimi nikaamua kutumia...

 

9 years ago

GPL

KWA NINI UMUACHE MUMEO KISA UMEMFUMANIA?

Habari zenu wasomaji wa safu hii, bila shaka ni wazima na mnaendelea vema na kazi za kulijenga taifa letu ambalo limejaa amani tele. Kwa hilo namshukuru Mungu hata uchaguzi umeisha salama, leo nimekuja na mada mpya ya kukupa ujasiri ili usiikimbie nyumba yako kwa sababu umemfumania mumeo. Wanawake wengi wamekuwa na tabia ya kuwafuma waume zao na kwa hasira kuamua kuwaacha na kwenda nyumbani wakishakaa huko wanaanza kutamani...

 

10 years ago

GPL

SHOGA: MUANDAE MUMEO KWA CHAKULA CHA USIKU

Kabla sijaanza kuelezea nilichokusudia kukudodosea leo, napenda kuwapa pole ndugu, jamaa na marafiki ambao wamewapoteza wapendwa wao kwenye ajali zilizotokea sehemu mbalimbali nchini hivi karibuni. Hakika ajali hizo zimeacha simanzi kwa wengi kwani wapo waliowapoteza waume, wake, watoto, kaka, dada na marafiki zao wa karibu, nawapa pole na kuwaomba wamshukuru Mungu kwa kila jambo!Baada ya kusema hayo, sasa narejea kwenye mada...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani