Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TANGAZO LA KAZI HOTEL VICTORIA MTWARA (KWA CHEF ISSA)

HOTEL VICTORIA MTWARA INATAFUTA MTAALAMU WA MASOKO MWENYE UZOEFU WA KUTOSHA NA ANAEJIAMINI  KISHA TUMA MAOMBI KWA EMAIL HII issa@hotelvictoria.me AMBATANISHA CV YAKO NA PASSPORT SIZE. MSHAHARA MZURI SANA NA MNONO PAMOJA NA MAZINGIRA HURU YA KAZI. MWAMBIE RAFIKI NA NDUGU WACHANGAMKIE FURSA. CHEERS   PIA UKIWA HOTEL VICTORIA MTWARA UNAWEZA KUENJOY HAYA....  
Butter chicken na garlic naan
  Paneer masala na butter naan

Tandoor chicken      Naan bread ya kila ladha mfano chili naan,...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

M-DIASPORA CHEF ISSA AIBUKA NA KIOTA KIPYA CHA KISASA: HOTEL VICTORIA, SHANGANI WEST MTWARA

 HOTEL VICTORIA, ILIYO CHINI YA UONGOZI WA MDAU WA DIASPORA CHEF ISSA, IPO SHANGANI WEST MJINI MTWARA.  ILIFUNGULIWA RASMI TAREHE 14 FEB 2014 SIKU YA WAPENDANAO NA KUALIKA WATU ZAIDI YA 200. UNAWEZA KUPATA MAELEZO ZAIDI KWA http://www.hotelvictoria.me/ (JAPO BADO MATENGENEZONI)  VYUMBA SAFI CHAKULA SAFI NA UKARIMU WA HALI YA JUU. HOTEL NAMBA MOJA MTWARA KWA BEI YA KAWAIDA.
Chef Issa (shati la draught) akiwa na wafanyakazi wake pamoja na wageni hotelini hapo. Yeye ni mmoja wa wadau wa...

 

10 years ago

Michuzi

Chef Issa aanzisha whatsapp group la Ma-Chef wa Kitanzania popote walipo duniani

Chef Issa ameanzisha group la Whatsapp kwa ajili ya Tanzanian chef's popote duniani ambalo anasema kama wewe ni Chef unaweza jiunga kwa kutuma request mobile No. +46709297384 Lengo likiwa ni kukutana,  kufahamiana,  na kusaidiana kitaaluma. Ma-Chef wote wa Kitanzania mnakaribishwa.

 

11 years ago

Michuzi

CHEF ISSA ATOA SOMO LA KUBANIKA MKATE KWA KUTUMIA KUNI KWA VIJANA WA SCOUT UGHAIBUNI

Mkate uliotayari kwa kuliwa ooohhh asikwambie mtu saafi sana! Chef Issa anashukuru Allah kupata  bahati ya kualikwa na chama cha scout kwenda kuwafundisha vijana mbinu za mapishi wakiwa porini. Dah! waliipenda na kufagilia sana walitengeneza mkate wa kubanika kwa kutumia mti na moto wa kuni.Kundi la vijana wa scout na uongozi wao hapa ni baada ya kuwasha moto tukisubiri upungue na kuni zote zishike moto tuanze kubanika mkate.Chef Issa (kulia) akiwa na vijana wa scoutHuu ndio mkate wenyewe...

 

11 years ago

Michuzi

10 years ago

Michuzi

CHEF ISSA KIPANDE AFUNGUA MGAHAWA WAKE SWEDEN

IMG_1562
Mgeni rasmi Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Mh. Dora Msechu (wa tatu kushoto) akiwa na mwenyeji wake Meya wa Trollhattan, Paul Akerlund (wa tatu kulia), Afisa kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa nchini Tanzania, Tagie Daisy Mwakawago (kulia), Mmiliki wa mgahawa unaotoa huduma za chakula cha kitanzania unaofahamika kama "Lunch by Chef Issa" (The house of Tanzanian food) uliopo katika mji wa Trollhattan, Sweden unaomilikiwa na mtanzania Chef Issa Kapande (wa pili kulia)...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mambo yaenda yakiongezeka Chef Issa Kapande, apongezwa na JK

IMGL2372

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza mtaalamu wa kimataifa wa mambo ya mapishi aishiye Sweden Chef Issa Kapande ambaye mwaka jana alikuwa katika timu ya taifa ya Sweden kwenye mashindano ya kombe la dunia la mapishi walikoibuka na medali ya dhahabu. Chef Issa, ambaye hivi karibuni amefungua mgahawa mkubwa kuliko yote wa Ki Afrika katika Ulaya yote mjini Trolhattan, nje kidogo ya jiji la Stockholm, wenye uwezo wa kuchukua watu 400 kwa wakati mmoja.

 

10 years ago

Michuzi

CHEF ISSA KAPANDE AKARIBISHWA UBALOZI WA TANZANIA NCHINI SWEDEN

Jumatatu tarehe 1-12-2014 Excutive Chef Issa Kipande maarufu kama Chef Issa alipata heshima kubwa sana ya kuonana na balozi wa Tanzania nchini Sweden, Mhe.  Dorah Msechu pamoja na Wafanyakazi wote wa ubalozi ambao walimpokea kwa furaha sana na kumpa pongezi nyingi wakijivunia ushindi alioupata nchini Luxembourg kwenye Mashindano ya Chef's World Cup 2014.Chef Issa ameiambia Globu ya Jamii leo kuwa  alifarijika sana kwa upendo, heshima na ushirikiano alioupata toka kwa Mheshimiwa balozi na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani