Adam Kuambiana kuzikwa kesho alipozikwa Kanumba
![](http://api.ning.com:80/files/fXUwj8AcBIklStxd6qvZvziTZawIF1U073Ge9amMPCxilldTMtuF7S7SdxChQCm0e6VmVrfEsg*NLAH8-scZIViShRZGYXJq/kuambiana.jpg?width=650)
Marehemu Adam Kuambiana aliyeaga dunia juzi Jumamosi. Na Richard Bukos SHABIKI wa Yanga na msanii wa filamu za maigizo nchini kutoka kambi ya Bongo Muvi, aliyejizolea umaarufu miaka ya hivi karibuni, Adam Kuambiana aliyeaga dunia juzi Jumamosi, anatarajiwa kuzikwa kesho Jumanne kwenye makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam alipozikwa msanii mwenzake, Steven Kanumba. Akizungumza na Championi Jumatatu, jana, Rais wa Bongo...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziBURIANI ADAM KUAMBIANA
Adam Kuambiana enzi za uhai wake.
MWIGIZAJI na Muongozaji filamu maarufu Bongo, Adam Kuambiana amefariki dunia wakati akipelekwa hospitali ya Mama Ngoma iliyopo Mwenge jijini Dar es Salaam kwa matibabu alfajiri ya leo.
Habari zinasema Marehemu alianguka chooni akiwa location katika hoteli ya Silver Rado iliyopo Sinza kwa Remmy, Dar es salaam . Kabla ya mauti kumfika, Adam alikuwa akilalamika kuwa anasumbuliwa na tumbo. Globu ya Jamii inaungana na familia ya marehemu, ndugu,...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/-nMzymXXjMJ5CgPscjZefT8*-zlHFPmOe0OYFfD3wfJsKO0tX*us3lF0HR5yLa975rQcdOFkilFJ7gYpsJ7hWocXQOmJDVA7/somazaidi.gif)
ADAM KUAMBIANA AZIKWA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/iC8gEB0kF6mBd7r6*8rSsXekJ*wCwi-bk9AUNlcLhatBnZpnFwCzLv2fq73rgAc5qaguKf20Ho7tClSIM8vg93ZfQThCBOFE/13.gif)
ADAM KUAMBIANA AFARIKI DUNIA
11 years ago
Tanzania Daima23 May
Buriani Amina Ngaluma, Adam Kuambiana
WIKI hii imekuwa ni ya majonzi na simanzi kwa wapenzi na mashabiki wa masuala ya burudani, baada ya kuwapoteza nguli wake wake Amina Ngaluma na Adam Kuambiana ambao hatunao tena...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/ETTd9*7yfBC5QQwK4RgC6s9uTi2Cw7n8W8rErO9VIoXl5XABh3KppXs9xr1panU-lYW9gNNXc6OqTq*D9L0Ii9-65l1DjnJR/kuambiana4.jpg?width=600)
MAELFU WAMZIKA ADAM KUAMBIANA KINONDONI DAR
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/fXUwj8AcBIl2KFW2scoBmX9iVBpE79xOGsecfNucTjSi3kJlywBj3jYDwnTvvQj1*w6iBrrr4QxSM2-221OsDII0MrGfc6aK/KUAMBIANAKUAGWABUNJUB3.jpg)
MWILI WA ADAM KUAMBIANA WAAGWA BUNJU B, DAR
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-GALDpYBh-xY/U3rziQEcubI/AAAAAAAFjvs/M7Rrk_tl2nM/s72-c/AMINA+NGALUMA.jpg)
Shiwata wawalilia Amina Ngaluma na Adam Kuambiana
![](http://4.bp.blogspot.com/-GALDpYBh-xY/U3rziQEcubI/AAAAAAAFjvs/M7Rrk_tl2nM/s1600/AMINA+NGALUMA.jpg)
Marehemu Ngaluma aliyekuwa mwanachama wa SHIWATA atakumbukwa kwa mengi mazuri aliyoyafanya akiwa mwanamuziki wa kike mwenye kipaji cha kutunga,kuimba na kutawala jukwaa katika maonesho ya akiwa na bendi mbalimbali ikiwemo Tam Tam, Double M,Tanzania One Theatre (TOT).
Ngaluma pia amewahi kufanya maonesho...
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Qeusznqd6YmKwyVodFwtfArPFQKa*Zn99NY4MHn5V-82XnCG4bS8ahY7zenH2F2BSDniHhX95Wztm*L6y77wlRs6ut9pDXkt/JB.jpg?width=650)
JB AWAZUNGUMZIA KANUMBA, KUAMBIANA
11 years ago
CloudsFM09 Jul
ADAM KUAMBIANA ALISHIRIKI KUANDIKA SCRIPT YA VIDEO YA MDODOMDOGO YA DIAMOND
Imefahamika kuwa aliyekuwa msanii wa Bongo Movie,Marehemu Adam Philip Kuambiana alishiriki katika kuandika script ya video ya ‘Mdogomdogo’ ya Staa wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz.
Diamond anafunguka jinsi walivyokutana na kufanya kazi hiyo mpaka akaenda kuishuti nchni South Africa chini ya kampuni ya Godfather.