AUNT ATIMULIWA KWA WEMA!
![](http://api.ning.com:80/files/dzJVcnA3Xm3T62WsfR2ZhnBimLyy0yekPqg-TsBpDonkiWntXfvbSC6rHHAtrOWkgWl4IdnDXWJyN4xPWz-Ud2spJSK0VTyC/AUNTY.gif?width=650)
Stori: iMELDA MTEMA TIMBWILI la aina yake limetokea nyumbani kwa ‘Beautiful Onyinye’ wa Bongo, Wema Sepetu, kati ya Martin Kadinda na nyota wa filamu za Bongo, Aunt Ezekiel, ‘Kubwa’ lina kisa klizima. Kwa mujibu wa chanzo chetu, gogoro zima lilishika nafasi asubuhi ya Aprili 6, 2014 nyumbani kwa Wema, Makumbusho jijini Dar es Salaam, kufuatia Kadinda ambaye ni meneja wa Wema kumvurumishia...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/9nG191KtIdiPExfrYkWXkm92ixZgRqFcC4pQM*-JtJVDk8T1CV7d9vs2GIxk1X8YLUIRqZIQTKsinIKAiUqaXnZDFrBQhrPw/FRONTRISASI.jpg)
WEMA, AUNT KICHEKO KABURINI KWA NGWEA
10 years ago
Bongo Movies05 Jun
Urafiki wa Wema na Aunt Ezekiel Warejea Kwa Kishindo
Baada ya urafiki wao kuyumba kwa kipindi cha zaidi ya miezi miwili hivi iliyopita, mastaa wa Bongo Movies, Wema Sepetu na Aunt Ezekiel wameonyesha kumaliza tofauti zao na kurudisha urafiki wao kama ilivyo kuwa awali.
Urafiki wa Wema na Aunt ulionekana kuyumba na kufikia hatua ya Wema kutohudhuria baby shower party ya Aunt ambapo Aunt alidai kumualika Wema na hata havi karibuni aunt alipojifungua mtoto Wema hakusema chochote kwenye ukurasa wake mtandaoni ukizingatia kuwa wakati wa ushosti...
9 years ago
Global Publishers21 Dec
Wema atimuliwa kwenye nyumba
Mizigo ikipakizwa kutoka kwenye nyumba hiyo.
Musa Mateja
UFALME umeanguka! Unaweza kusema hivyo! Hatimaye Miss Tanzania 2006, aliye pia staa wa filamu za Bongo, Wema Isaac Sepetu amedaiwa kutimuliwa kwenye nyumba ambayo alipanga kwa mbwembwe na kualika waandishi wa habari ili watoe ‘nyuzi’ hewani, akidai ni yake kwa kuinunua kwa shilingi milioni 280, fuatana na Ijumaa Wikienda.
Kwa mujibu wa chanzo chetu makini, Wema amekumbwa na kadhia hiyo ya kuhamishwa kwenye nyumba hiyo iliyopo...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/nGTcCv7erQKtZpfuL7-se8J4ZvLVVrurmmVag8UQCciD1vrZ4A7hM74-Ly7Cm2Znpvl9p4Zgnr8fneW1OREy-zhzKdeo1CV3/wema.jpg?width=650)
UCHAFU WA WEMA, AUNT
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/0gGC4ZQuxjNGbqPiQugHzHSJUfiL0nzBDtIfD2m5KnigxtKzQovbLZ3pMFAaNvZKp3TT5BGkkWnmrspm-qQdg5zUZVYpwYUs/auntycopy.jpg?width=650)
AUNT: SITAMZIKA WEMA!
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/ARLRee19CK7ikDh5h1*2HOAy3qvsBXZ8cldQ7B0dmD5UqCnq7-0-60kzM3o0tWxIqSzasWzMmupQVgl6T8V*EwoDuT*DLiO3/wema.jpg?width=650)
WEMA, AUNT WALA KICHAPO
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/vMQ5RJcyKDCOwK9FLVymXq3SL3hCumxTsav7mQAMt4dqGoY8oReEZt-aeC8eO*wsZ48hJ4QAoId6cwYX0zR8bXAW9jAoisUF/HIIFI.jpg?width=650)
AUNT,WEMA VILIO TUPU!
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/PDuFvn5TOvPUWUnWf2LoQFWrr3zI3SL7O2LzoP9-bMAFhe48xJnZ5nyvfxsb4i*6OMChlJD4NSgVWnavZWDl4sXG6McYyBFl/wema3.jpg?width=650)
WEMA, AUNT WAKWEPANA IKULU
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/3YX5i7K88AzPPilGI70MCiFjAgg8CN9ydbEsj9HxFLPqZPyZ-JQKEzlI7foPgoO9kYzQNl14Ha5SiDsrJTuOBWo78AttAlvQ/BACKRISASI.gif?width=650)
WEMA, AUNT BIFU UPYA!