Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wema atimuliwa kwenye nyumba

IMG_5532

Mizigo ikipakizwa kutoka kwenye nyumba hiyo.

Musa Mateja
UFALME umeanguka! Unaweza kusema hivyo! Hatimaye Miss Tanzania 2006, aliye pia staa wa filamu za Bongo, Wema Isaac Sepetu amedaiwa kutimuliwa kwenye nyumba ambayo alipanga kwa mbwembwe na kualika waandishi wa habari ili watoe ‘nyuzi’ hewani, akidai ni yake kwa kuinunua kwa shilingi milioni 280, fuatana na Ijumaa Wikienda.

Kwa mujibu wa chanzo chetu makini, Wema amekumbwa na kadhia hiyo ya kuhamishwa kwenye nyumba hiyo iliyopo...

Global Publishers

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MJAMZITO ATIMULIWA KWENYE NYUMBA

Dustan Shekidele, Morogoro

Haijakaa poa! Katika hali isiyo ya kawaida, mjamzito aliyefahamika kwa jina la Jamila Jalala amepambana na polisi akigoma kuhama kwenye nyumba ya mwarabu aliyokuwa akiishi zaidi ya miaka mitano hivyo kutimuliwa kwa nguvu.

Mkasa huo wa kusikitisha ulioshuhudiwa live na mwanahabari wetu ulijiri kwenye nyumba hiyo iliyopo Mtaa wa Mindu Kata ya Uwanja wa Taifa mkoani hapa.

Awali, mmiliki wa...

 

10 years ago

GPL

ALI KIBA ATIMULIWA KWENYE NYUMBA

Waandishi Wetu
LICHA ya mwenyewe kukanusha vikali lakini madai mazito yanasema kuwa, nyota wa Bongo Fleva, Ali Saleh Kiba ametimuliwa kwenye nyumba aliyokuwa akiishi iliyopo Kunduchi-Beach jijini Dar baada ya kukosana na mwanamke anayedaiwa kuwa ni mpenzi wake ambaye pia ndiye mmiliki wa mjengo huo. Habari kutoka kwa chanzo makini zinaeleza kuwa, pamoja na Kiba kuendelea kusisitiza kwamba si kweli, mwanamke huyo anayeishi...

 

11 years ago

GPL

AUNT ATIMULIWA KWA WEMA!

Stori: iMELDA MTEMA
TIMBWILI la aina yake limetokea nyumbani kwa ‘Beautiful Onyinye’ wa Bongo, Wema Sepetu, kati ya Martin Kadinda na nyota wa filamu za Bongo, Aunt Ezekiel,  ‘Kubwa’  lina kisa klizima. Kwa mujibu wa chanzo chetu, gogoro zima lilishika nafasi asubuhi ya Aprili 6, 2014 nyumbani kwa Wema, Makumbusho jijini Dar es Salaam, kufuatia Kadinda ambaye ni meneja wa Wema kumvurumishia...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wizi kwenye nyumba za ibada

WIZI ni tendo la tabia ya kuiba, vivyo hivyo udokozi kwa kuchukua kitu au mali ya mtu mwingine bila ridhaa yake.  Ni kitendo cha kihuni kinachoendana na tabia mbaya, yaani...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Tambo za umeme kwenye nyumba za makuti

MAKALA yangu ya Jumatano wiki jana, iliyozungumzia malalamiko kuhusu uteuzi wa baadhi ya wanasiasa wa CCM kuwa mawaziri, ilipokelewa kwa namna tofauti. Wengi zaidi ya asilimia 90 walipongeza nilichokiandika. Watatu...

 

9 years ago

Mwananchi

Watumishi: VAT iondolewe kwenye nyumba

Watumishi wa umma mkoani Morogoro wameiomba Serikali kuondoa Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT) inayotozwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) katika uuzaji wa nyumba za gharama nafuu zinazojengwa na Kampuni ya Nyumba za Watumishi (WHC).

 

10 years ago

Mwananchi

Mawaziri, wabunge kutimuliwa kwenye nyumba TBA Dodoma

Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) imefanya uamuzi mgumu wa kuwatimua baadhi ya wapangaji wa nyumba zake zilizopo mjini Dodoma ambao ni wadaiwa sugu, wakiwamo mawaziri saba na wabunge 15.

 

9 years ago

Global Publishers

Nyumba zilizopo kwenye Bonde la Mkwajuni, Dar zabomolewa

1.Tingatinga-likiwa-kazini-kuvunja-nyumba-hizo-zilizodaiwa-kuwa-ndani-ya-hifadhi-ya-barabara.

Wakazi waishio katika Bonde la Mkwajuni leo wamebomolewa nyumba zao ikiwa ni mwendelezo wa bomoabomoa inayoendelea katika Mkoa wa Dar es Salaam.

Baadhi ya wananchi waliokubwa na kadhia hiyo wamepaza sauti zao juu ya kuvunjiwa nyumba zao huku wakilalamika kuwa hawakupewa taarifa yoyote ya kuwataka wahame eneo hilo kutoka uongozi wa serikali ya mtaa huo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani