Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ALI KIBA ATIMULIWA KWENYE NYUMBA

Waandishi Wetu
LICHA ya mwenyewe kukanusha vikali lakini madai mazito yanasema kuwa, nyota wa Bongo Fleva, Ali Saleh Kiba ametimuliwa kwenye nyumba aliyokuwa akiishi iliyopo Kunduchi-Beach jijini Dar baada ya kukosana na mwanamke anayedaiwa kuwa ni mpenzi wake ambaye pia ndiye mmiliki wa mjengo huo. Habari kutoka kwa chanzo makini zinaeleza kuwa, pamoja na Kiba kuendelea kusisitiza kwamba si kweli, mwanamke huyo anayeishi...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Global Publishers

Wema atimuliwa kwenye nyumba

IMG_5532

Mizigo ikipakizwa kutoka kwenye nyumba hiyo.

Musa Mateja
UFALME umeanguka! Unaweza kusema hivyo! Hatimaye Miss Tanzania 2006, aliye pia staa wa filamu za Bongo, Wema Isaac Sepetu amedaiwa kutimuliwa kwenye nyumba ambayo alipanga kwa mbwembwe na kualika waandishi wa habari ili watoe ‘nyuzi’ hewani, akidai ni yake kwa kuinunua kwa shilingi milioni 280, fuatana na Ijumaa Wikienda.

Kwa mujibu wa chanzo chetu makini, Wema amekumbwa na kadhia hiyo ya kuhamishwa kwenye nyumba hiyo iliyopo...

 

10 years ago

GPL

MJAMZITO ATIMULIWA KWENYE NYUMBA

Dustan Shekidele, Morogoro

Haijakaa poa! Katika hali isiyo ya kawaida, mjamzito aliyefahamika kwa jina la Jamila Jalala amepambana na polisi akigoma kuhama kwenye nyumba ya mwarabu aliyokuwa akiishi zaidi ya miaka mitano hivyo kutimuliwa kwa nguvu.

Mkasa huo wa kusikitisha ulioshuhudiwa live na mwanahabari wetu ulijiri kwenye nyumba hiyo iliyopo Mtaa wa Mindu Kata ya Uwanja wa Taifa mkoani hapa.

Awali, mmiliki wa...

 

10 years ago

GPL

ALI KIBA KIVUTIO KWENYE DALADALA DAR

Ali Kiba akifurahia jambo na abiria. Kondakta wa daladala akiwa na Ali Kiba. Ali Kiba akiongea na baadhi ya abiria.…

 

10 years ago

CloudsFM

ALI KIBA KUTUMBUIZA KWENYE TAMASHA LA SAUTI ZA BUSARA,ZANZIBAR

Mkali wa Bongo Fleva, Ali Kiba ametamba kukonga nyoyo watu mbalimbali watakaojitokeza kwenye tamasha la 12 la Sauti za Busara linalotarajia kufanyika, Februari 12 hadi 15, Ngome Kongwe, Zanzubar.Ali Kiba alieleza hayo jana, Januari 29. wakati wa mkutano wa ulioandaliwa na Busara Promotions, wandaaji wa tamasha hilo kubwa la Kimataifa linalofanya muziki wa 'Live', ambapo kwa mwaka huu zaidi ya wanamuziki na vikundi 37, watatoa burudani kwenye tamasha hilo kwenye viunga vya Ngome Kongwe,...

 

10 years ago

GPL

ALI KIBA AKANUSHA KUANDAA WATU WAMZOMEE DIAMOND KWENYE FIESTA

Msanii wa Bongo Fleva, Ali Kiba akifanya yake katika Tamasha la Serengeti Fiesta Leaders Club lilifanyika hivi karibuni. Msanii wa Bongo Fleva, Ali Kiba amekanusha uvumi unaodai kuwa huenda aliaandaa watu maalum wa kumzomea msanii Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' kwenye shoo ya Fiesta iliyofanyika October 18 katika viwanja vya Leaders Club jijini Dar es Salaam. Staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond… ...

 

9 years ago

Dewji Blog

Diamond Platnumz anyakua ‘3’ tuzo za AFRIMMA 2015, awaacha kwenye mataa Ali Kiba, Davido!

12096534_1001918109830003_2835486665383612207_n

Tayari ‘Icon’ wa Tanzania Diamond Platnum ‘Dangote wa Bongo’ ameweza kuibuka na ushindi wa tuzo tatu katika usiku wa utoaji wa tuzo Africa Muzik Magazine Award ‘AFRIMMA 2015’. Marekani katika mji wa Texas.

(Pichani ni baada ya ushindi huo, Diamond aliweza kuweka picha yake hiyo kupitia mitandao yake yote ya kijamii na kuandika: I realy don’t know What to say  …dha! hata sijui nizungumze nini… 

(Eeh Mungu baba tunakushkuru sana kwa kuzidi kuunyanyua na kuupa Thamani mziki wetu wa Afrika...

 

10 years ago

Michuzi

ALI KIBA NA ABDU KIBA WALIVYOWARUSHA WASHINGTON DC..WAKISINDIKIZWA NA AJ UBAO !

ALI KIBA NA MBWEMBWE ZAKE SASA
ALI KIBA NA ABDU KIBA WAKIWARUSHA


WAANDAAJI "DMK GLOBAL
Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

 

10 years ago

Michuzi

ALI KIBA & ABDU KIBA KUWARUSHA LIVE WASHINGTON DC JUMAMOSI HII MEI 6


KWA MARA YA KWANZA SHOW YA AINA YAKE KATI YA WANA NDUGU WAWILI ALI NA ABDU KIBA ITAFANYIKA WASHINGTON DMV,JUMAMOSI HII PALE FIRE STATION 1, 8131,GEORGIA AVENUE,DOWN TOWN SILVER SPRING,VIP PACKAGE ZINAPATIKANA,FREE PARKING

 

10 years ago

Dewji Blog

Ali Kiba & Abdu Kiba kuwarusha Live Washington DC Jumamosi hii tarehe 6

KWA MARA YA KWANZA SHOW YA AINA YAKE KATI YA WANA NDUGU WAWILI ALI NA ABDU KIBA ITAFANYIKA WASHINGTON DMV,JUMAMOSI HII PALE FIRE STATION 1, 8131,GEORGIA AVENUE, DOWN TOWN SILVER SPRING, VIP PACKAGE ZINAPATIKANA, FREE PARKING.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani