Urafiki wa Wema na Aunt Ezekiel Warejea Kwa Kishindo
Baada ya urafiki wao kuyumba kwa kipindi cha zaidi ya miezi miwili hivi iliyopita, mastaa wa Bongo Movies, Wema Sepetu na Aunt Ezekiel wameonyesha kumaliza tofauti zao na kurudisha urafiki wao kama ilivyo kuwa awali.
Urafiki wa Wema na Aunt ulionekana kuyumba na kufikia hatua ya Wema kutohudhuria baby shower party ya Aunt ambapo Aunt alidai kumualika Wema na hata havi karibuni aunt alipojifungua mtoto Wema hakusema chochote kwenye ukurasa wake mtandaoni ukizingatia kuwa wakati wa ushosti...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/t8oueEU5ZFJe6VPWRxbxSOBSjR*jclh25heaO*n8N4igR7dbk3UxljDZPf*qpr21hweHa4CCKFQ2sNABJkCUEL*Sl6LnVg5w/auntezekiel1.jpg)
AUNT EZEKIEL: SIDHANI KAMA WEMA NI MTU WA KUFUNDISHWA
10 years ago
Bongo Movies17 Mar
Aunt Ezekiel Aongea Mazito Bifu la Kajala, Wema
Staa wa Bongo Movies, Aunt Ezekiel amefunguka kuwa anatamani aone mastaa wawili ambao wana bifu kali, Wema Sepetu na Kajala Masanja wanamaliza tofauti zao kwani maisha ni mafupi.
Akizungumza na gazeti na gazeti la Ijumaa Wikienda, Aunt alisema kati ya mabifu ambayo angependa yaishe ni la Wema na Kajala kwani wapo wasanii wamefariki dunia wakiwa na bifu huku wale waliobaki ambao walikuwa na mabifu nao wakitamani waamke walau mara moja wamalize tofauti zao lakini haikuwezekana.
“Jamani...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/jEI2iEfKUOjgcJcGjYDq8QNwsmaBhjRzjGo6W6ftiTsQdXibFV6QuGzbDwx9qiEr3a5Uy4nVcCXIBeGBOlS6L0f9jtR-BUFx/wpidwema_sepetu712.jpg?width=650)
WEMA; HATA MIMI NINGEKUWA AUNT EZEKIEL NINGEGOMBANA NA WEWE
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Xl3n4nptF*qPy4LKWk6kKy-4TUFC*YFiWZ--dFkT2InsnEFnnx5EXrWviPPC2IEE9nyfhSwolL70llqRZgmHrXoBUdnJH0Z6/aunty.jpg)
NJEMBA ‘AWAVUA’ NGUO WEMA, AUNT EZEKIEL
10 years ago
Bongo Movies18 May
Maoni:Unamshauri Nini Aunt Ezekiel Kuhusu Ugomvi na Wema?
Kwa kuangalia historia ya Wema Sepetu na Aunt Ezekiel ni zaidi ya marafiki ambao walikuwa maswahiba walioshibana kiasi kwamba hakuna mtu anaeweza kujua kama leo watakuwa maadui. Na urafiki huu ulikomaa zaidi pale Madame Wema alipokuwa amerudiana na Diamond Platinumz kiasi kwamba hata safari za nje za Wema na Diamond na Aunt nae alikuwa anasafiri na hatukujua alikuwa anasafiri kwa gharama ya nani.
Kwa ukaribu huu wa Wema na Diamond kulimfanya Dogo wetu Moses Iyobo kupata bahati ya mtende...
10 years ago
Bongo Movies30 Apr
Aunt Ezekiel Awatega Team Wema, Kisa Ujumbe wa Zari-All White Party
Staa wa Bongo Movies, Aunt Ezekiel amewaacha njia panda mashabiki ‘kindaki ndaki’ wa Wema sepetu maarufu kama team Wema baada ya kuweka ‘screenshot’ ya ujumbe wa tangazo la pati ya mwanadada Zari inayofahamika kama Zari All While Party.
Aunt alibandika picha hiyo (hapo juu) na kuandika maneno haya kuonyesha kuwa mekelwa na ujumbe huo.
“Voda Voda hivi Voda mnantafuta nini lakini....ya kwanza nimenyamaz ya pili nimewajibu hamsikii hii ya tatu sasa Nawauliza Mnanitaka nini Au mmetumwa???Plz...
10 years ago
Bongo Movies07 Jan
Kicheko cha Wema na Aunt Ezekiel Kwenye Kaburi la Ngwea Chawashangaza Wengi!
Katika hali isiyokuwa ya kawaida, waigizaji Wema Sepetu na rafiki yake Aunt Ezekiel wameonekana wa kiangua kicheko na kutuma mesegi kwa simu wakiwa juu ya kaburi la aliekuwa msanii wa Bongo Fleva, marehemu Albert Mangweha ‘Ngwea’.
Kwa mujibu wa GPL, Tukio hilo litokea Januari Mosi, mwaka huu ambapo Wema akiwa na team yake nzima ya Endless Fame walitembea kaburini hapo eneo la makaburi ya Kihonda mjini Morogoro wakiwa wakitokea Dodoma kuja Dar.
Inaelezwa kwamba awali inadaiwa kuwa, ...
10 years ago
Bongo511 Oct
Nora: Wema, Lulu, Wolper wanaweza, Batulli, Aunt Ezekiel, Chuchu Hans hamna kitu!