Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


AUNT EZEKIEL: SIDHANI KAMA WEMA NI MTU WA KUFUNDISHWA

Staa wa filamu za Bongo, Aunt Ezekiel. Aunt Ezekiel ambaye ni rafiki wa karibu wa Wema Sepetu, amejibu kauli ya Diamond Platinumz kuwa Wema ana marafiki wanaomfundisha tabia mbaya na kwamba kama anataka kuendelea aachane nao. Staa mkubwa wa kike Bongo, Wema Isaac Sepetu 'Beautiful Onyinye' wakifanya yao na Aunt Ezekiel. Akiongea na Bongo5, Aunt Ezekiel ameeleza kuwa anachofahamu… ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo Movies

Aunt Ezekiel: Sitaki na Sina Tatizo na Mtu

Kutoka Mitandaoni: Staa wa bongo movies, Aunt Ezekiel ameamua kuvunya ukimya fufuatia comment mablimbali za mashabiki juu ya kile kinacho daiwa kuwa urafiki wake na staa mwenzake Wema Sepetu umeyumba.

Madai ya kuyumba kwa  ufafiki baina ya mastaa hao yameibuka kwa kasi baada ya hivi juzi kati kufanyika kwa baby shower ya Aunt na Wema kutokuwepo kwenye pati hiyo, kitu ambacho mashabiki na wapenzi wa mastaa hao wamekuwa wakihoji ina wezekana vipi Wema kukosa kwenye pati hiyo.

Kifuatia...

 

11 years ago

GPL

AUNT EZEKIEL: NITAHAKIKISHA NAMPA PENZI MUME WA MTU

Stori: Musa Mateja Makubwa! Staa wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel Grayson amefungukia madai ya kutoka na dansa wa Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ aitwaye Moze Iyobo ambaye ni mume wa mtu akisema hakuna ukweli wowote zaidi ya kutaka kuchafuliwa. Staa wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel.
Akizungumza na Ijumaa Wikienda wikiendi iliyopita, Aunt ambaye gazeti ndugu la hili, Risasi Mchanganyiko liliripoti tukio la...

 

10 years ago

GPL

AUNT EZEKIEL, HIVI KWELI WEWE NI MKE WA MTU?

NIMEWAHI kuzungumza mara kadhaa katika safu hii kuhusu huyu binti, mtoto wa nguli wa zamani wa soka Tanzania, Ezekiel Greyson ‘Jujuman’, aliyevuma sana akiwa na Simba. Anaitwa Aunt Ezekiel, staa wa filamu za Kibongo! Nilisema kuwa katika tasnia ya filamu, ni muigizaji mzuri kwa kupamba sinema kutokana na uzuri wa sura na umbo lake, lakini katika wasanii wanaotakiwa kwa weledi na viwango, bado ni mtu wa kati, ingawa...

 

10 years ago

Bongo Movies

Ommy Dimpoz:Diamond si yupo na Zari au? Sidhani kama amemind mimi kufanya kazi na Wema

Mwanamziki Ommy Dimpoz ameyasema hay oleo kwenye kipindi cha XXL cha Clouds FM alipokuwa anautambulisha wimbo wake wa Wanjera ambao mrembo Wema Sepetu amecheza kama Wanjera kwenye video wa wimbo huo na kushiriki kupiga picha za kuutangaza wimbo huo.

Ommy alisema haoni kama kuna tatizo lolote kati yake na swahiba wake huyo licha ya Diamond kutoandika chochote kuhusiana na wimbo huo kama ambavyo amekuwa akifanya kwa wasanii wengine.

 “Labda hajaposti yupo busy na simu yake, hata mimi kuna...

 

10 years ago

Bongo Movies

Aunt Ezekiel Aongea Mazito Bifu la Kajala, Wema

Staa wa Bongo Movies, Aunt Ezekiel amefunguka kuwa anatamani aone mastaa wawili ambao wana bifu kali, Wema Sepetu na Kajala Masanja wanamaliza tofauti zao kwani maisha ni mafupi.

Akizungumza na gazeti  na gazeti la Ijumaa Wikienda, Aunt alisema kati ya mabifu ambayo angependa yaishe ni la Wema na Kajala kwani wapo wasanii wamefariki dunia wakiwa na bifu huku wale waliobaki ambao walikuwa na mabifu nao wakitamani waamke walau mara moja wamalize tofauti zao lakini haikuwezekana.

“Jamani...

 

10 years ago

Bongo Movies

Urafiki wa Wema na Aunt Ezekiel Warejea Kwa Kishindo

Baada ya urafiki wao kuyumba kwa kipindi cha zaidi ya miezi miwili hivi iliyopita, mastaa wa Bongo Movies, Wema Sepetu na Aunt Ezekiel wameonyesha kumaliza tofauti zao na kurudisha urafiki wao kama ilivyo kuwa awali.

Urafiki wa Wema na Aunt ulionekana kuyumba na kufikia hatua ya Wema kutohudhuria baby shower party ya Aunt ambapo Aunt alidai kumualika Wema na hata havi karibuni aunt alipojifungua mtoto Wema hakusema chochote kwenye ukurasa wake mtandaoni ukizingatia kuwa wakati wa ushosti...

 

11 years ago

GPL

NJEMBA ‘AWAVUA’ NGUO WEMA, AUNT EZEKIEL

Stori: Mwandishi wetu Mastaa wawili wa Filamu za Kibongo, Wema Sepetu na Aunt Ezekiel walikipata cha moto walipokuwa kwenye msiba wa Adam Kuambiana, Bunju nje kidogo ya Jiji la Dar, baada ya kutukanwa na njemba mmoja aliyekuwa amelewa. Mastaa wawili wa Filamu za Kibongo, Wema Sepetu na Aunt Ezekiel wakiwa katika Msiba wa Adam Kuambiana. Sakata hilo lilijiri usiku mwingi wakati  mastaa hao walipokuwa wameenda kulala kwenya...

 

10 years ago

GPL

WEMA; HATA MIMI NINGEKUWA AUNT EZEKIEL NINGEGOMBANA NA WEWE

Staa wa filamu Bongo, Wema Sepetu.
Oscar ndauka
LICHA ya kupatana, habari ya mjini kwa sasa ni ugomvi mkali, wenye visa  vya kushangaza kati ya mastaa wawili wa sinema za Bongo, Wema Sepetu na Aunt Ezekiel.Hii ‘kapo’ siku za karibuni, ilikuwa nzuri kwa maana ya urafiki wao mkubwa.Urafiki wa Wema na Aunt ulianza pale Wema alipoutengua urafiki wake na staa mwingine wa fani hiyo, Kajala Masanja. Wema Sepetu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani