AUNT EZEKIEL: NITAHAKIKISHA NAMPA PENZI MUME WA MTU
![](http://api.ning.com:80/files/9677Xpk6OnVZ5sg4fK2f2TeK2LkMJ6GqsExjYADxg*twtG7aFwk6yM4AJM6Oc2I65c59GOejnkcAzRPGgLYT7AQGXC12oiu4/aunti.jpg)
Stori: Musa Mateja Makubwa! Staa wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel Grayson amefungukia madai ya kutoka na dansa wa Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ aitwaye Moze Iyobo ambaye ni mume wa mtu akisema hakuna ukweli wowote zaidi ya kutaka kuchafuliwa. Staa wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel. Akizungumza na Ijumaa Wikienda wikiendi iliyopita, Aunt ambaye gazeti ndugu la hili, Risasi Mchanganyiko liliripoti tukio la...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo Movies02 Nov
Aunt Ezekiel Awapa Makavu Wanaoponda Penzi Lake na Baba Cookie
Staa wa Bongo Movies, Aunt Ezekiel ‘mama Cookie’ ambaye amezaa na mcheza shoo wa msanii Diamond Platnumz, Moses Iyobo amewapa makavu wale wote wanaodani kuwa amepotea kwa kitendo chake cha kuzaa na mcheza shoo huyo.
Kupitia ukurasa wake mtandaon, Aunt aliweka picha hiyo hapo juu ya Iyobo na kuandika haya.
“Kazi ni kazi ilimradi mkono uende kinywani nyinyi na Maboss wenu mimi na Dancer wangu wote tunatembelea makalio pumbavuu kaza buti Dady Cookie wangu nakupenda hvyohvyo.....”
Ujumbe...
10 years ago
Bongo Movies12 May
Aunt Ezekiel: Sitaki na Sina Tatizo na Mtu
Kutoka Mitandaoni: Staa wa bongo movies, Aunt Ezekiel ameamua kuvunya ukimya fufuatia comment mablimbali za mashabiki juu ya kile kinacho daiwa kuwa urafiki wake na staa mwenzake Wema Sepetu umeyumba.
Madai ya kuyumba kwa ufafiki baina ya mastaa hao yameibuka kwa kasi baada ya hivi juzi kati kufanyika kwa baby shower ya Aunt na Wema kutokuwepo kwenye pati hiyo, kitu ambacho mashabiki na wapenzi wa mastaa hao wamekuwa wakihoji ina wezekana vipi Wema kukosa kwenye pati hiyo.
Kifuatia...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/JnNsxgX9lA1QtpBC8ItJqUn3nf6UHMxjTmYC2g9acG7vbbaMPcFkrLEf5YzrqRF-KbYRz2ZiqqFDR*2pIhxuVQCrZIMTs7jC/MAMAWEMA.jpg?width=650)
AUNT EZEKIEL, HIVI KWELI WEWE NI MKE WA MTU?
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/t8oueEU5ZFJe6VPWRxbxSOBSjR*jclh25heaO*n8N4igR7dbk3UxljDZPf*qpr21hweHa4CCKFQ2sNABJkCUEL*Sl6LnVg5w/auntezekiel1.jpg)
AUNT EZEKIEL: SIDHANI KAMA WEMA NI MTU WA KUFUNDISHWA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/VEmjh*oDsulok50a524A1Yb-jtCFxiOk*pROSe9wF2DuU6DlK-nYmgeQGTBkGCW413dD5kbO6q5Y86O5Id7Vpv-HqIXveyQn/aunty.jpg)
AUNT MUME WA MTU WANASWA!
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/vYFBfoh8eSo2MLHNKnL042Gj-iyb16nnZdsuf7nPTOyj5L0qHld3qQOoCv7sO16RwUceVeodUrw7p-kj3uxGnQGfsYJ7Tvu9/unga.jpg)
MUME WA MTU: SIMUACHI NG’O AUNT
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/KjzU17zlGiZFd8OjAv5sCq-tljnJpNBVOGoBfwBGT*xchIjPUd5JTb9mklFaQ-NPtNAYs-QX5-*Jpv-gUYDHtTpJnWu0DwGO/BACKWIKIENDA.jpg)
AUNT, MUME WA MTU MAHABA NIUE
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/dbDz8bz8Q7l-wHj5OnnlF5cRYGvWkpSl4m9PC1BWWJURUBuG7NCe3C-dWORDwz6afU38SaEyBzCNWgziybt560lUa1j5zMqi/MYGODZ.jpg)
MY GOD! MKE WA MTU AMWAFGIWA MAHARAGE YA MOTO, KISA NI MUME WA MTU
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/LzTY94yzCcIkwe79Xf*bMKoF4R9FbewQXeyINX6RzAGzhSuWOwPYDD5JgyVpjIVKOxRsXcX26sWJiOYVK9626gtBKHQVuzb2/mkewamtusumu.jpg?width=650)
MUME WA MTU AFA AKIWA NA MKE WA MTU