AUNT, MUME WA MTU MAHABA NIUE
![](http://api.ning.com:80/files/KjzU17zlGiZFd8OjAv5sCq-tljnJpNBVOGoBfwBGT*xchIjPUd5JTb9mklFaQ-NPtNAYs-QX5-*Jpv-gUYDHtTpJnWu0DwGO/BACKWIKIENDA.jpg)
Stori: Imelda Mtema Mahaba niue! Baada ya penzi la staa wa Bongo Movies, Aunt Ezekiel Grayson na dansa wa Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Moses Iyobo ‘Moze’ kushamiri kwa kasi ya umeme, wawili hao wamenaswa wakisindikizana kimalovee kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar. Staa wa Bongo Movies, Aunt Ezekiel Grayson akiwa na dansa wa Nasibu Abdul ‘Diamond...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/CgwvKmsfinq8A-dIxbZViWHFLtLhfrsxqIqXlg14F7f7Te5LZIhxc5MJOSfe0KEBTqcfi8Ct7Lg4Dcv2DjU3*XFH7-1d6hNv/aunti.jpg)
AUNT, IYOBO MAHABA NIUE ZENJI!
Imelda Mtema,
MAHABA nifilisi. Aunt Ezekiel Grayson Gwantwa na mzazi mwenzake, Moses Iyobo ‘Mo’ wameonesha wazi kinachoitwa mapenzi ni kikohozi baada ya kujiachia kimahaba hadharani wakiwa sanjari na ‘mtoto wao’, Cookie jambo lililozua miguno mingi ya chinichini. ....Soma zaidi===> http://bit.ly/1DUGFlt
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/VEmjh*oDsulok50a524A1Yb-jtCFxiOk*pROSe9wF2DuU6DlK-nYmgeQGTBkGCW413dD5kbO6q5Y86O5Id7Vpv-HqIXveyQn/aunty.jpg)
AUNT MUME WA MTU WANASWA!
Stori: Musa Mateja, Mwanza STAA wa filamu za Kibongo asiyekaukiwa na vituko, Aunt Ezekiel amenaswa live akijivinjari na mume wa mtu, Risasi Mchanganyiko linaripoti bila woga. Staa wa filamu za Kibongo asiyekaukiwa na vituko, Aunt Ezekiel (katikati) akiwa karibu na dansa wa Wasafi Classic, Moses Yobo. Aunt alinaswa akiwa na mnenguaji wa Wasafi Classic, Moses Yobo anayepiga mzigo chini ya Nasib Abdul ‘Diamond’ katika...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/vYFBfoh8eSo2MLHNKnL042Gj-iyb16nnZdsuf7nPTOyj5L0qHld3qQOoCv7sO16RwUceVeodUrw7p-kj3uxGnQGfsYJ7Tvu9/unga.jpg)
MUME WA MTU: SIMUACHI NG’O AUNT
Stori: IMELDA MTEMA Mcheza shoo wa Mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond,’ Moses Iyobo amefunguka kwa mara ya kwanza baada ya kuenea uvumi wa kutoka kimapenzi na mcheza filamu mahiri Bongo, Aunt Ezekiel kuwa hawezi kumuacha msanii huyo ng’o. Mcheza shoo wa Mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond,’ Moses Iyobo (katikati). Akizungumza na Ijumaa hivi karibuni, Moses alisema kuwa kutokana na maneno mengi...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/9677Xpk6OnVZ5sg4fK2f2TeK2LkMJ6GqsExjYADxg*twtG7aFwk6yM4AJM6Oc2I65c59GOejnkcAzRPGgLYT7AQGXC12oiu4/aunti.jpg)
AUNT EZEKIEL: NITAHAKIKISHA NAMPA PENZI MUME WA MTU
Stori: Musa Mateja Makubwa! Staa wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel Grayson amefungukia madai ya kutoka na dansa wa Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ aitwaye Moze Iyobo ambaye ni mume wa mtu akisema hakuna ukweli wowote zaidi ya kutaka kuchafuliwa. Staa wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel.
Akizungumza na Ijumaa Wikienda wikiendi iliyopita, Aunt ambaye gazeti ndugu la hili, Risasi Mchanganyiko liliripoti tukio la...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Xl3n4nptF*pyBac3zfF97oePOTEd-E0Akq1G4i-sApwgVjC3HsWaEq4DWlOly67kdMrN4gmL44XuXD6t357W6T2tkcRQ6iJ9/lungi.jpg)
LUNGI NA MAHABA NIUE
MAKUBWA! Baada ya kujichora tatuu mbalimbali mwilini mwake, kuonesha amechizika kimalovee, mwigizaji Lungi Maulanga amechora moja yenye sura ya mpenzi wake ambaye hakutaka kumtaja. Mwigizaji wa Bongo Muvi, Lungi Maulanga. Akipiga stori na mwanahabari wetu, Lungi alisema kuwa ana tatuu 12 mwilini mwake ambazo alizichorea pande za Dubai alipokuwa ameenda kutembea lakini mahaba niue ndiyo yalimtuma achore hiyo yenye muonekano wa...
10 years ago
Bongo531 Jan
New Video: Pasha — Mahaba Niue
Video mpya kutoka kwa Pasha wimbo unaitwa “Mahaba Niue” video imeongozwa na Allen Massala
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/SPs2IsiC3PKW3gC1I4jO3EbLVOy*q470RY5e*5QENypE8stHJoDI7JoCjNfEhRoEA510OmblePcQK9eUrQJYqTknz9eiHiwt/snura.jpg?width=650)
SNURA AGANDWA NA MAHABA NIUE
STAA wa wimbo wa Majanga, Snura Mushi anaonekana kugandwa na mahaba niue baada ya hivi karibuni kuanika hisia zake na kuonesha dhahiri kuwa amezama vilivyo kwenye penzi motomoto la jamaa yake aitwaye Hunter Sleiyum. Staa wa wimbo wa Majanga, Snura Mushi akiwa kwenye mahaba mazito na boyfriend wake aitwaye Hunter Sleiyum. Akizungumza na Ijumaa hivi karibuni, Snura aliwataka wanaume wakware waache kumsumbua kwa sababu...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/o-1NtXzEejJ2UUTfn2MAgg4Pv-AKLiRcencA2uMfRq*N27WyFJ4eicOuIzMiUkcoIv1rTEW5slNq38ilr-NVOSAQCVoGAhi5/SNURA.jpg)
MAHABA NIUE YAMFICHA SNURA
Na Mwandishi Wetu MAHABAT! Kuonesha kwamba mahaba yamemkolea, staa wa Bongo Fleva, Snura Mushi ‘Mamaa Majanga’ amedaiwa kukacha shughuli za muziki na kutumikia penzi lake kwa mahaba motomoto. Staa wa Bongo Fleva, Snura Mushi ‘Mamaa Majanga’ akiwa na mwandani wake, DJ Hunter. Kudhihirisha hilo, chanzo chetu kimevujisha picha za mrembo huyo akiwa na mchumba wake anayefahamika kwa jina moja la DJ Hunter...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/5W1fGMD3XQTs2bp1B9*le9Ut4V*dS8f0nQUpsGJSxPZ261jJRGJd97eaz6aj5arfTU0fOhoN2z9t1uJBSsF3bScJ0hbJC9Q2/1.jpg?width=650)
WEMA, IDRIS MAHABA NIUE!
WAANDISHI WETU
WAPENZI? Kwa mara nyingine Beautiful Onyinye, Wema Isaac Sepetu amesababisha kichwa cha habari kufuatia kunaswa ‘live’ usiku mnene akiwa na mshindi wa Shindano la Big Brother Hotshots 2014, Idris Sultan wakioneshana vitendo vya ‘nakupenda tu’ mbele ya kadamnasi, Risasi Mchanganyiko lina mkanda kamili. Beautiful Onyinye, Wema Isaac Sepetu akiwa na mshindi wa Shindano la Big Brother...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania