WEMA, IDRIS MAHABA NIUE!
![](http://api.ning.com:80/files/5W1fGMD3XQTs2bp1B9*le9Ut4V*dS8f0nQUpsGJSxPZ261jJRGJd97eaz6aj5arfTU0fOhoN2z9t1uJBSsF3bScJ0hbJC9Q2/1.jpg?width=650)
WAANDISHI WETU WAPENZI? Kwa mara nyingine Beautiful Onyinye, Wema Isaac Sepetu amesababisha kichwa cha habari kufuatia kunaswa ‘live’ usiku mnene akiwa na mshindi wa Shindano la Big Brother Hotshots 2014, Idris Sultan wakioneshana vitendo vya ‘nakupenda tu’ mbele ya kadamnasi, Risasi Mchanganyiko lina mkanda kamili. Beautiful Onyinye, Wema Isaac Sepetu akiwa na mshindi wa Shindano la Big Brother...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo01 Apr
WEMA, IDRIS MAHABA NIUE AU PROJECT
WAANDISHI WA GPLWAPENZI? Kwa mara nyingine Beautiful Onyinye, Wema Isaac Sepetu amesababisha kichwa cha habari kufuatia kunaswa ‘live’ usiku mnene akiwa na mshindi wa Shindano la Big Brother Hotshots 2014, Idris Sultan wakioneshana vitendo vya ‘nakupenda tu’ mbele ya kadamnasi, Risasi Mchanganyiko lina mkanda kamili.
Beautiful Onyinye, Wema Isaac Sepetu akiwa na mshindi wa Shindano la Big Brother Hotshots 2014, Idris Sultan.
NI ESCAPE ONE MIKOCHENIWawili hao walinaswa wakioneshana mahaba niue...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/rWr07F5d70vKRrKI8-7YO7*0jKQzyHGBCmSBN9juNSzAAIRiBLSSajtsEhEmgvJrgisNmcYyjI*SHiVrWrBFyXLbe-PuQFWs/wema.gif?width=650)
WEMA AONESHA MAHABA NIUE LIVE
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Xl3n4nptF*pyBac3zfF97oePOTEd-E0Akq1G4i-sApwgVjC3HsWaEq4DWlOly67kdMrN4gmL44XuXD6t357W6T2tkcRQ6iJ9/lungi.jpg)
LUNGI NA MAHABA NIUE
9 years ago
Bongo Movies22 Nov
Diamond, Kajala Mahaba Niue!
NI gumzo! Ubuyu motomoto ambao unasambaa kwa kasi ya ajabu kama moto wa kifuu mjini unadai kuwa, staa nambari moja Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ na mwigizaji Kajala Masanja wamedaiwa kuwa ni wapenzi na sasa ni mahaba niue, Risasi Jumamosi limesheheni full stori.
TUJIUNGE NA CHANZO
Kwa mujibu wa chanzo makini, uhusiano wa Diamond na Kajala unadaiwa kuibuka ghafla miezi kadhaa iliyopita lakini wamekuwa wakifanya siri nzito kabla ya hivi karibuni kukolea zaidi baada ya mpenzi...
10 years ago
Bongo531 Jan
New Video: Pasha — Mahaba Niue
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/SPs2IsiC3PKW3gC1I4jO3EbLVOy*q470RY5e*5QENypE8stHJoDI7JoCjNfEhRoEA510OmblePcQK9eUrQJYqTknz9eiHiwt/snura.jpg?width=650)
SNURA AGANDWA NA MAHABA NIUE
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/o-1NtXzEejJ2UUTfn2MAgg4Pv-AKLiRcencA2uMfRq*N27WyFJ4eicOuIzMiUkcoIv1rTEW5slNq38ilr-NVOSAQCVoGAhi5/SNURA.jpg)
MAHABA NIUE YAMFICHA SNURA
10 years ago
Bongo Movies02 May
Mahaba Niue, Adui Kuwa ‘Baby’!!
Ilianza kama utani lakini siku zilivyosonga ndivyo uhusiano wao ulivyowekwa wazi, hao ni watu wawili waliowahi kuwa maadui wakubwa miaka kadhaa nyuma.
Hapo nawazungumzia staa wa filamu Shamsa Ford na msanii wa Bongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ ambao kwa sasa wamezama kwenye mahaba niue.
Awali, wahusika wote walitumia nguvu kubwa kukanusha juu ya uhusiano wao lakini inatajwa kuwa mahaba yao ndiyo gumzo kuliko ya wengine wote katika Bongo Muvi na yanashika nafasi ya pili katika...